Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Sioni vibaya hata mtu akichelewa kuzinduka; karibu Salary...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh. Magufuli, kama unataka kufanikiwa kujua madudu yaliko katika Taasisi na mashirika ya umma nchini,lenga kukutana na watumishi wa ngazi za chini na sio vibosile tu na utoe fursa kwa kila mtumishi kuandika kikaratasi cha matatizo yaliyoko katika Taasisi husika bila kuweka jina lake na kisha karatasi hizo zikafanyiwe kazi na tuhuma/matatizo yatakayokuwa yamejitokeza yachunguzwe na hatua zichukuliwe kwa watakaobainika kuwa wazembe na kusababisha mateso kwa wafanyakazi au ubadhirifu n.k.
Mh. Rais,Watumishi wa ngazi za chini ndio wanaoweza kukueleza ukweli na si vigogo au watumishi wandamizi katika Idara,Wizara na Taasisi mbalimbali za umma.
Tunaomba juhudi hizi zisiwe za muda tu bali zidume kwa miaka yote 5.
Pia ili kuwatendea haki wakurugenzi, hakikisha bajaeti wanazaomba na kutengewa wanazipata kwa wakati na zinazotosheleza mahitaji yao ili kama ni uzembe basi uwe ni uzembe wao wenyewe wa kushindwa kusimamia utekelezaji wa mipango waliojiwekea.
Furaha yangu sio ushindi wa CCM ... Ni ushindi wa Mgalatia .... Katika vipindi vinne ya taasisi ya uraisi watz tumeshuhudia Wavaa njiwa na wapiga soga mkiharibu nchi yetu, safari hii kaingia tena mwenye UCHUNGU na Tanganyika...... Mtaisoma namba.
Haaaa umeanza lini kuwakubali wagalatia?
Safari hii lazima mnyooke wavaaa kininja  Mlizoe vibaya sana na Kichwa Maji wa Msoga
Mjinga mkubwa wewe!CCM kwa ushabiki wenu wa kijinga ndio mmeifikisha nchi hapa kwani nyie hata angepitishwa Assumpter mmengempa kura tu.Hatupokei ushauri wa chadema.asante
Mh. Magufuli, kama unataka kufanikiwa kujua madudu yaliko katika Taasisi na mashirika ya umma nchini,lenga kukutana na watumishi wa ngazi za chini na sio vibosile tu na utoe fursa kwa kila mtumishi kuandika kikaratasi cha matatizo yaliyoko katika Taasisi husika bila kuweka jina lake na kisha karatasi hizo zikafanyiwe kazi na tuhuma/matatizo yatakayokuwa yamejitokeza yachunguzwe na hatua zichukuliwe kwa watakaobainika kuwa wazembe na kusababisha mateso kwa wafanyakazi au ubadhirifu n.k.
Mh. Rais,Watumishi wa ngazi za chini ndio wanaoweza kukueleza ukweli na si vigogo au watumishi wandamizi katika Idara,Wizara na Taasisi mbalimbali za umma.
Tunaomba juhudi hizi zisiwe za muda tu bali zidume kwa miaka yote 5.
Pia ili kuwatendea haki wakurugenzi, hakikisha bajaeti wanazaomba na kutengewa wanazipata kwa wakati na zinazotosheleza mahitaji yao ili kama ni uzembe basi uwe ni uzembe wao wenyewe wa kushindwa kusimamia utekelezaji wa mipango waliojiwekea.
Unadhani wote tungekuwa na akili za kuipigia makofi CCM kama nyinyi huyo Magufui angeakuwa na hii kasi?Sioni vibaya hata mtu akichelewa kuzinduka; karibu Salary...
Nitamdhalau Mh Magufuli nikwaon hao makada wakiteuliwa kuwa mawaziri. Dhamana uliyopewa na chama chako hoi ni kubwa, 2020 sio mbali

Ndani ya Chama, Makamba ni senior kwa Mh Magufuli fahamu hilo