Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Hivi ATCL wana ndege ngapi?
Na Mali zipi zitakamatwa?
Na Mali zipi zitakamatwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio siri kuwa CCM ni chama kilicholea na kuhifadhi ufisadi nchini.
Kupata mtu mwadilifu ndani ya CCM ni sawa na kocha kutafuta wachezaji wa kusajili MOI.
Chama kilihangaika kumpata mgombea urais mwadilifu kikakosa kikabidi kumpata mwenye nafuu kidogo,na kumnadi kwa pesa nyingi za kukufuru, na kufanikuwa kumchagulusha.
Sasa tujiulize huyo waziri mkuu na mawaziri wasio na kashfa ndani ya chama chetu watapatikanaje?
Nimesikia majina yanatajwatajwa lakini yote yana madoa ya ufisadi. Subiri wateuliwe uone jinsi watu watakavyoanza kuweka hadharani madudu yao.
Ludovic ndo MTU hapo
You are (You're) wrong.Your wrong
Nitashangaa sana huyu anayetajwa na vijana wa bavicha kama Dr mihogo asipokuwemo, labda akatae mwenyewe.Anne Kilango tena...yani katika watu wote umeona huyo mama anafaa? Namshauri raisi atumie nafasi zake 10 kuteua watu makini kumsaidia, Kilango sio mmoja wao.
Unadhani wote tungekuwa na akili za kuipigia makofi CCM kama nyinyi huyo Magufui angeakuwa na hii kasi?
Unadhani bila Magufuli kuzomewa kwenye kampeni angeshutuka?
Jiulize mbona alipokuwa waziri hii kasi ya leo haikuwepo?
Jiuluze kama upinzani ungekuwa na nguvu uliyonayo leo hii Magufuli na wenzake serikalini wangejimilikisha nyumba za serikali?
Unadhani Magufuli angebadilika kama wote tungeimba CCM?
Kwa akili zenu hata kama CCM ingempitisha mtu tofauti na Magufuli mmengacha kuipa kura?
Hata kama Ukawa ingemsimsmisha mtu tofauti na Lowassa wewe ungeipa kura ukawa?
Acheni ujinga wenu na hata huyu Magufuli bado tunaendelea kumuangali na akibadilika na sisi tunambadilikia ingawa nyinyi naamini hata akija kuzembea mtaendelea tu kumpigia makofi kisa katoka CCM.
We unashangaza sana!
Sawa...
Lakini kwa upande mwingine tunaangalia waziri au viongozi kwa ujumla wawe mfano kwa walio chini yao.
Wawe mfano katika kuchapa kazi lakini pia katika kubana matumizi ya fedha za umma.
Naamini kabisa sio mawaziri peke yao wana kazi nyingi, wapo watendaji wengi chini yao na pengine wengi wana kazi nyingi kuliko mawaziri.
Na naamini pia waziri mchapa kazi anaweza kuwa productive vya kutosha akiutumia mda wake akiwa ofisini vyema.
Lakini kama ni suala la kuutumia mda wa safari basi sio vibaya waziri akaonyesha mfano wa uzalendo kwa kuajiri dereva wake kama ulivyoajiri wewe...
Siku hizi huyu Mzee Mwanakijiji sielewi uwezo wake umeenda wapi?
Hii ni mbaya kama nina bifu na boss si namlipua tu
Magufuli anajua wizi wote.
Bandari stay tuned..