Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Wangepewa hata zile Land cruiser 777 kama wanataka raha wakae pembeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba hii ya TZ haijawahi kuvunjwa ???? come on guys lets be seriazAtakuwa amevunja Katiba.
Atatumia katiba ipi? Mihemko soma kwanza katiba aliyoapa kuilinda inasemaje
Mnajua kitu kianaitwa posho nyie....et wasiende kabisa bungeni!!?? kwanza kunawengine wanona muda wa kuingia bungen unachelewa yaan wwnataman hata leo tu bunge lifunguliwe wachome ndani...wengine hutaman hata kulala humo humo....posho yaan posho nyie vip
sio kila sababu inamashiko na kutumika kususia hotuba ya rais bungeni. wito umefika wakati serikali kuwa chunguza ring leaders wa mipango hii na kujua their motives behind mambo kama haya. kama ni hujuma kwa taifa basi wapate stahiki zao.
Hapa hakuna hujuma kwa taifa, bali ni kuionyesha dunia dhuluma inayofanywa na serikali iliyopo madarakani kupoka maamuzi ya watanzania kwa nguvu.
Ikitokea hotuba ya Rais kuhutubia bunge imekwama lazima dunia iangalia kwa undani kuna nini nyuma ya pazia.
Siungi mkono hoja. Wapinzani lazima wawe wapinzani ili nchi iweze kusonga mbele.