Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitufe cha like hakipo....nalazimika nikunukuu.
Ukumbi wa diamond jubilee ulikuwa kimya pale mama Mghwira aliposema tunataka katiba mpya kama kichocheo halali cha kuleta mabadiliko.
Hakika zile ndio siasa.......siasa mpya.....Huyu mama ametokea kupendwa ghafla.
Hawa vijana nao kwakweli awana nidhamu kabisa sijui ni kwa sababu ya improper preparation za uongozi, unstructured ascendency to leadership maana mtu anaweza kufika juu bila ya merit or whatever the cause; yaani bungeni leo imekuwa fujo kabisa wakati wa maswali kila upande, jamaa wana poor etiquette za leadership utadhani wako mtaani wabunge wanaropka ovyo 'wape somo hao'; and the likes of nonsense calls kwakweli ni aibu.Namuomba Rais Wangu DR Magufuri teuzi zake ziangalie Hilo la umri Mdogo Na pia kutowaongezea muda wazee wote ambao Ni wakuu wa mikoa Na wilaya kwani Ni Wakati wa kupimzika Na kubaki Kama washauri WA ulinzi Na usalama Na kupisha promotion zifanye kazi Na kuajiri vinana wapya.