Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk eneo ambalo naona Magufuli akienda kufeli ni hili la viwanda. Inabidi atumie wataalamu kweli kweli, na siyo kufanya mambo kwa pupa au kisiasa.
Wazo la kuchukua hayo mashamba na viwanda toka kwa walioshindwa kutimiza masharti yake ni zuri na naliunga mkono asilimia mia.
Ila baada ya kuvichukua, what next? hapa ndo mawazo ya wataalamu yanahitajika sana. Kwa vyo vyote itakavyokuwa sitasapoti wazo la eti serikali ndo iviendeshe. Lengo iwe kutafuta mwekezaji mpya na si serikali kufanya biashara
Tunajiaminisha kwa matumaini yasiyokuwepo. Baadhi ya hivyo viwanda vilivyouzwa havipo tena au teknolojia ya wakati huo imepitwa na wakati...ni nafuu kujenga viwanda vipya kuliko kuvifufua hivyo! Kumbuka tuko katika mfumo tofauti wa kisiasa; serikali si mtendaji wa biashara. Sasa sijui mnataka huyo mwenye mali yake aliyoinunua kihalali na pengine kashindwa kuiendeleza afanyeje. Basi tukimaliza hayo ya viwanda turudi kwenye nyumba pia waliozibadilisha kinyume na mikataba wazirejeshe serikalini! Itaisha kutafutana uchawi. We shuold soldier on and build new industries with appropriate today's technology
kinga'amuz gan ambacho hawaonyeshi free channel?
Watu watamuingiza Magufuli bonge la mkenge
Why awanyan'ganye bila kuuliza nini kimewafanya washindwe?
je kina nani hao watakao pewa baada ya kunyang'anywa?
wata qualify vipi kupewa?
serikali ikiamua iviendeshe itaweza?
kwa miaka mingapi vitaweza leta faida?
huu mkenge ni mkubwa sana...time will tell....
Umemwelewa lakini au unahara tu,Ni bora mtu kama wewe uwe kaburini huenda kuoza kwa mwili wako kutarutubisha ardhi yetu ya Tanzania kuliko kuwa na mtu mwenye mawazo kama yako humu JF.
Ktk eneo ambalo naona Magufuli akienda kufeli ni hili la viwanda. Inabidi atumie wataalamu kweli kweli, na siyo kufanya mambo kwa pupa au kisiasa.
Wazo la kuchukua hayo mashamba na viwanda toka kwa walioshindwa kutimiza masharti yake ni zuri na naliunga mkono asilimia mia.
Ila baada ya kuvichukua, what next? hapa ndo mawazo ya wataalamu yanahitajika sana. Kwa vyo vyote itakavyokuwa sitasapoti wazo la eti serikali ndo iviendeshe. Lengo iwe kutafuta mwekezaji mpya na si serikali kufanya biashara
Itafika muda mtamwambia magufuli aweke idadi ya goli za kupiga wake zenu

Mheshimiwa rais, nikupongeze kwa juhudi zako tangu umeapishwa na watanzania tunakuombea afya njema na ulinzi wa mwenyezi mungu. Tunaomba serikali kupitia wizara yake ya makazi iangalie upya bei za kodi za nyumba kwa jiji la Dar.
Bei zimekuwa zikipanda kila kukicha bila utaratibu na hazilingani na ubora wa nyumba. Mbaya zaidi hakuna taasisi yoyote chini ya wizara ya makazi inayohusika kutatua suala hili.
Tunaomba wamiliki wa nyumba nao walipe kodi pamoja na madalali kwani hii ni biashara kama biashara zingine.
Hali ni mbaya na walio wengi wanashindwa kumudu bei za nyumba na kuongeza ugumu wa maisha na umaskin kwa ujumla.
Naam, serikali isijiingize moja kwa moja kwenye biashara, nakubaliana na wewe 100%,kwa sasa duniani nadhani ni China pekee(yenye ujamaa wa kweli),ambapo serikali inafanya biashara. Kwa kuwa sisi Ujamaa wa kweli umetushinda basi viwanda viwe vya umma kupitia PPP au Kiundwe chombo chenye meno ambacho kitaratibu kwa ukaribu Viwanda vyote kwa niaba ya Serikali. Kazi kuu ya Serikali iwe kutoa huduma.
Hiyo technology mpya inakataza hata kuchukua hayo maeneo ambayo yamegeuzwa matumuzi kama parking na yards?Umemwelewa lakini au unahara tu,
Teknolojia tuliyonayo ni tofauti na wakati viwanda vinabinafsishwa ni bora kujenga vipya kwa teknolojia ya kisasa.
Ulichotakiwa wewe ni kutoa maoni yako kuanzia alipoishia badala ya kutoa matusi.
Itafika muda mtamwambia magufuli aweke idadi ya goli za kupiga wake zenu
Naamini kama magufuri upo makini kwa kuwapigania watanzania walala hoi ebu basi tembelea kiwanda cha kuzalisha matunda Azam mbagala ujionee jinsi watanzania wanaopeleka matunda yao kiwandani kuuza wanavyo firisika hapo kiwandani na kurudi makwao masikini.watu wanapeleka lori la embe au nanasi na wanakalishwa hapo nje zaidi ya siku 3 hadi 5 kabla ya kupokelewa matunda yao na matokeo yake matunda yanaoza.