Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
mkuu wenzako wanataka waongezewe then wewe unasema tena wapunguziwe??? cost of living zimepanda.
Sijasema wapunguziwe nimeomba hiyo tofauti iliyopo iangaliwe upya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu wenzako wanataka waongezewe then wewe unasema tena wapunguziwe??? cost of living zimepanda.
Sijasema wapunguziwe nimeomba hiyo tofauti iliyopo iangaliwe upya.
Zito kapenyeza Sumu kila kona Kafulila hapumui
Ki ukweli kmekuwa na tofauti kubwa sna baina ya watumish wa uma na ni tofauti hyo ambayo italfnya taifa hili kutawaliwa na wimbi la rushwa kwa watumish wachache lengo lkiwa ni kutka kufanana na wenzao walio na mishahara mikubwa na wakati nature ya kazi wanazofanya ni zilezile na kiwango cha elimu kikilinga na na hta baadhi yao kupitwa na wengne ila tofauti ni kuwa ww upo serikal kuu na mwngne yupo chini ya wakala wa serikali hivyo ni busara swala hili likaangaliwa kwa umakini sna ili kuwe na mgawanyo saw wa rasilimali za nchi kwa watumishi wote wa uma kwan wote tunajenga nyumba moja
Wakala aka Executive Agencies, au Mamlaka(authorities). Mfano Wa wakala ni TPA, TANROADS, Sumatra n.k
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.
Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.
Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.
Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.
Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.