Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Gharama hiyo ni ndogo sana ukifananisha na waliyoyabeba kwa taifa hili iwe kwa uzuri au ubaya...

Kwani wako wangapi??
Marais 3
Waziri mkuu 9
Makamu 3

Wengine kina nani???
 
Kumbe aliwatukana wapiga kura wake!! Halafu hao hao anataka wampe kura, mmmh kasheshe.
 
Sijasema wapunguziwe nimeomba hiyo tofauti iliyopo iangaliwe upya.

Ki ukweli kmekuwa na tofauti kubwa sna baina ya watumish wa uma na ni tofauti hyo ambayo italfnya taifa hili kutawaliwa na wimbi la rushwa kwa watumish wachache lengo lkiwa ni kutka kufanana na wenzao walio na mishahara mikubwa na wakati nature ya kazi wanazofanya ni zilezile na kiwango cha elimu kikilinga na na hta baadhi yao kupitwa na wengne ila tofauti ni kuwa ww upo serikal kuu na mwngne yupo chini ya wakala wa serikali hivyo ni busara swala hili likaangaliwa kwa umakini sna ili kuwe na mgawanyo saw wa rasilimali za nchi kwa watumishi wote wa uma kwan wote tunajenga nyumba moja
 
Asante sana mawazo haya...magufuli angalie
 
mmoja wa ma tx wake maana jamaa ummhh ni km yule shabik wa simba kagulu lkn kwa down low !!!

si alijifanyaga ni mpambe wa fast jet sasa km alitoswa ipo maneno...
 
Nimeongea hivo kutokana na uwezo wake wakukabiliana na mambo hayupo making lamwisho linakua la kwanza na lakwanza kuwa la mwisho mtu asiejua anakokwenda kila njia kwake ni sahihi
kwasasa anatapa tapa anagusa hiki ata akija isha ana hamia kwenye lingine mfano mzuri tu ishu ya Muhimbili (mpaka sasa hajajua dawa ni ipi katika sekta ya afya)
anashona viraka baada ya muda anakuta vimechanika tena
itamchanganya akili uchumi utadidimia hali ya maisha itakua ngumu apo ndipo utapoona anatoa tamko kila mtanzania alale sa mbili kesho awai kufanya kazi lakini pia jeshi litapewa agizo kuahurutisha watu
mfano mzuri ishu ya 9 disemba watu watafanya kazi kwa mtutu kwani ni lazima aje mwanajeshi ili usafi ufanyike?
kodi na michango tunayo toa halmashauri vinafanya nini
hii mipango zimamoto anayo itaka yakumpa umaarufu kwenye Media itamponza
 
Kwani huko US amekosa nini mpaka arudi huku kuziba nafasi za watu?
 
Mbona unalia lia sana mkuu wapi JPM amegusa maslahi yako..? 9 desemba au Muhimbili..?
 
Aliekutuma mwambie amechelewa sana. Na bado mtalia sana
 
Kama ni hivyo,Bora u-dictator kwa sasa...if it's in favour for the well being of the majority(mwananchi wa hali ya chini)..
 
kafulila ilikua iwe isiwe ni lazima apigwe chini kwa maagizo kutoka juu; wewe uliona figisu figisu kwenye matokeo ya zitto?
 
Hii thread iwe Maalum kwa Maoni, Ushauri na Mapendekezo mbalimbali kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Mimi namuomba, Mheshimiwa Rais mteuliwa, kwa heshima na taadhima hili ni ombi binafsi kwako.

Nnaomba uhakikishe huyu mrembo wa ACT Bi Anna Mghwira unamuingiza bungeni na unampa wadhifa anaostahiki, huyu mama ni kichwa adhyim na adim kabisa.

Nimemfatilia mikutano yake mingi sana ya kampeni, anatoa vitu kichwani utafikiri ana word processor inayopanga na kuchuja anachokizungumza kutoka kichwani bila kusoma.

Halikadhalika leo kanifurahisha sana alipostukizwa na kutoa hotuba pale Diamond, ilikuwa fupi na imelenga points zote nzuri na ameeleweka vyema kabisa.

Anna heko sana na nitakuunga mkono katika siasa zako.

Atatekeleza Sera zipi za ACT au CCM ni lazima itampasa kutekeleza Sera za ccm je pale ambapo act watapingana na Sera za ccm na wakati huo act wanazipinga itakuwaje na atatakiwa kuandamana kuzipinga nae ataandamana tambua ni lazima katiba ibadilishwe iendane na hayo uyatakayo kama ilivyo kwa wamarekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom