Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
GottoloveU chama ni nini kama si watu? umelisoma bandiko langu vizuri au umeishia kusoma mstari mmoja tu!? Kwa ivo Khakha unataka kuniambia viwanja vilivyoporwa na CCM siyo "Issue serious". Kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Hakuna asiyeshangilia anachofanya Magufuli sasa hivi, hakika ameonesha madudu mengi sana yalifanyika kipindi cha utawa uliopita.
Ninaamini pale bandarini na tra kuna watu wa usalama wa taifa, na waliona makontena yakipotea bila kusema neno, au walisema kwa wakubwa wao kuhusu makontena hayo, sasa kwa nini hii idara isisafishwe na Magufuli ili kuwaondoa watu hao, hawakutekeleza wajibu wao ipasavyo, kodi nyingi ilipotea.
Wapo wanaoishi kama vigogo wa TRA wana utajiri uliopitiliza. Washughulikiwe haraka.

Usalama wa Taifa wamefanya kazi yao ndio maana madudu haya yameonekana ,tatizo hapa ni TAKUKURU hivi hawa jamaa kazi yao ni kukama mahakimu wa mahakama ya mwanzo na maafisa watendaji wa kata .
 
Napenda kumkumbusha BWANA mkubwa wa ccm ndugu madabida kuwa asijifanye kumpongeza na kuunga mkono hoja na juhudi za magufuli akidhani watanzania ni malofa,akumbuke kuwa ARVS zake ambazo zilikuwa feki zilitaka kuangamiza mamilion ya watanzania,na aelewe kuwa nayeye ni jipu lazima litumbuliwe.
 
Kuna Jamaa tupo nae Kitaa ni usalama wa taifa,jamaa Ana mpunga hatari Ana v8 matata na anashusha ghorofa ya kufa mtu hapa kitaani,sasa sijui kwa mshahara gani wanaolipwa wa kufanya hayo mambo,nahisi wanapiga madili makubwa makubwa.
 
ninachokiamini mimi, usalama walitoa taarifa, ila wamsoga nahisi hakutilia maanani, ila JPM ndo ametilia maanan
 
Bila hao usalama wa taiga rais hawezi kupata hizo taarifa nyeti wako kazini 24 hrs.
 
Kuna Jamaa tupo nae Kitaa ni usalama wa taifa,jamaa Ana mpunga hatari Ana v8 matata na anashusha ghorofa ya kufa mtu hapa kitaani,sasa sijui kwa mshahara gani wanaolipwa wa kufanya hayo mambo,nahisi wanapiga madili makubwa makubwa.

Mwache ale vyake ndugu, ndo wakat Wake.
 
eti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama tanesco, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu
 
Shirika linaongoza kwa kutumia vibarua, wapeni ajira hao vibarua miaka 10 mtu hana ajira. Ngoja magufuli aje atumbue hilo jipu.
 
eti leo unasimama kujitapa umewafukuza kazi maofisa 7 kutokana na ubadhirifu, swali siku zote ulikua wapi hadi uone MAJIPU YANATUNGULIWA?..
Kuna unaloficha ila jipo lako linatumbuliwa tena lipo jichoni mda si mrefu bz hata wewe ni walewale, pia hakuna shirika bovu kama tanesco, wewe hadi CUSTOMER CARE unajaza WAHANDISI mbinu za mabadiliko kwenye shirika hawana wapo kidilidili tu

jamaa amejistukia sana muda wote huo tenesco limekuwa shamba la bibi uwozo ,, leo hii nae et anajitutumua kutoa kauli
 
Kawawahi kufanya mambo mnalialia. Yaani nyie mlitaka asubiri kufukuzwa wakati wabadhirifu anawaona?

Kapata nguvu kuwatimua msimu huu maana walikua mawakala wa DaGama kwenye kufisidi shirika.

Mramba amehujumiwa muda mrefu sana na waliokua na mamlaka juu yake.
 
Nyani haoni kundule! Ngoja wakiliona lake! Muda fulani alikuwa Mungu mtu huko Shinyanga. Alivyoshika ukibosile makao makuu ndo akatupa jongoo na mti wake. Huo mwamba kumbe ulikuwa wa barafu. Wagombea urais wa vyama vikubwa walimshutumu hakujali sasa tunaona anavyohaha. Alitudanganya wakati wa kuhuisha umeme wa maji kwenda gesi, wapigaji wanafungulia maji ya mtera, kashfa za IPTL, escrow, umeme wa REA kugawiwa kwa upendeleo vinamla vidole. Katumbua majipu ya wenzake, lake kaficha nyumba. Ni swala la muda tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom