mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Ndg Njali Nakuunga mkono Kwa Dr.Ndalichako Na mimi naomba uniunge mkono Kwa Ubunge maalum Kwa Ndg.Ludovic na Kuwa Waziri kamili wa Fedha he has done so much for his country bila kuyumbishwa Na yeyote kwenye repot Zake.Japokuwa alikosa kiongozi mwenye sifa Za wawajibisha aliowabainisha kufanya uubadhilifu na ufisadi kwenye repot Zake.Ameibua Madudu mengi bila woga.ni mzalendo wa Kweli hajajilimbikizia Mali wala kupokea Rushwa.Angekuwa Na Rais JPM Pengine wangewajibishwa
Hopefully unamaanisha ndg ludovic utooh huyu jamaa ni kichwa sana na alikua hataki kupelekwa peleka, ma auditors na wahasibu aliwapigania sana. Naunga mkono hoja mkuu wangu