Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Ni Ahadi Ambayo Uliitoa Katika Kampeni Zako Mh Miwa. Kiu Kweli Wananchi WanaShindwa Kumudu Gharama za Vifaa Vya Ujenzi.

Nakupelekea Watu Wengi Kuwa Watumwa wa Wenye Nyumba, na Wengine Kujenga Nyumba Zilizo chini ya Viwango.

Chonde Chonde, Mh Rais Tunakuomba Uliangalie Jambo Hili Kwa Jicho la Kuwa komboa Wanyonge wa Nchi Hii, Ambao wamekosa Matumaini ya Kumiliki Nyumba.

Tafadhali. Mheshimiwa Lifanyie Kazi Jambo Hili.
 
Tatizo kubwa kweli hata mm nimeshindwa kuezeka kibanda changu hadi now nakufanya finishing mkuu liangalie hili tena kwa jicho la uruma
 
Hio sahau gharama za viwanda vyetu ni kubwa angalia umeme kuna vat ewura rea...magari ya kusafisha cement...diesel kuna road toll...mfuko wa barabara.vat import duty dereva nae aibe diesel kidogo mmmm.bado sumatra road licence bima
mishahara nk
nchi hii biashara nzuri ni ya kuendesha bank kila mwaka sijawahi sikia bank ina loss
 
Wandugu,

Nimekuwa nikijiuliza mbona kimbunga cha utumbuaji majipu unaoendelea maeneo mbalimbali hauonekani hata kwa kiwango kidogo kwenye sekta ya elimu?

Au hatuna majipu kwene eneo hili au ni tatizo la wahusika kutokujua watumie mguu wa kulia au wa kushoto au hawana hakika kama miguu waliyonayo sasa ni yao?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sekta ya Elimu. Serikali yenyewe ndio Jipu. Wajitumbue wenyewe.
 
Mheshimiwa waziri Mkuu tunakuomba unende kule Kigamboni ukahoji kwa nini lile shirika la Uvuvi TAFICO limekufa, maana majengo yake karibuni yatasombwa na maji ya bahari.
 
Last edited by a moderator:
Mh. Rais naomba uliangalie kwa makini jipu kuu la utosi linalotutesa wananchi wako!

Ada za shule, zahanati kila kijiji au ujenzi holela mabondeni hayo ni matokeo tu ya jipu kuu!

Jipu hilo ni kiwango cha juu cha riba ya mikopo kwa watumishi wa umma na watanzania wengine wa kipato cha kati-chini na chini kabisa!

Banks zinakata hadi 20% na makampuni binafsi yanafikia hadi 40%, kwa jinsi hii hakuna jinsi kundi hili kubwa ktk jamii yetu litaweza kushiriki ktk kujenga uchumi!

Nakuapia kwa pesa za makontena na walipa kodi wengine wachache ndani ya nchi haziwezi kukufanya uboreshe huduma za jamii, ada itaichemsha serikali yako hata bila ya kuizungumzia afya!

Mfano bora, tazama elimu ya chuo kikuu, wengi wame afford thru mkopo! Hao hawaisumbui tena serikali kwa kuwa kama marejesho yatasimamiwa then watu watajisomesha!

Ujenzi holela utakufa tu pale nitakapopata mkopo na kuweza kumudu gharama ya kiwanja kilichopimwa! Hata wakulima wetu wataboresha pembejeo!

Sio kama watanzania niliowasema hapo juu hawakopi, la hasha Hawa ndio wanaokuza sekta ya microfinance na bank nyingi nchini huku wakikuibia muda serikali kufanya vijikazi vya kimachinga kuikimbiza riba ya hayo mabank au makampuni binafsi!

Hazina ilitoa mikopo yenye riba ya 5% kwa baadhi ya watumishi wengi walikopa na sidhani kama serikali ilifilisika kwa hilo!

Hebu kakae na boss mpango muone ni jinsi gani mabank yetu yaweze kuleta tija kwa wananchi na yasiwe mwiba!

Kwa mnaoishi Europe na sehemu nyingine za dunia hebu semeni experiences zenu na mikopo na jinsi inavyowakomboa wananchi na serikali zao!

Mh. JIPU HILI LIKITUMBUKA nitakuwa nacheka ninapoenda TRA au mamlaka yeyote kulipa kodi!
 
Last edited by a moderator:
Mh. Raisi naomba uliangalie kwa makini jipu kuu la utosi linalotutesa wananchi wako! Ada za shule, zahanati kila kijiji au ujenzi holela mabondeni hayo ni matokeo tu ya jipu kuu!
Jipu hilo ni kiwango cha juu cha riba ya mikopo kwa watumishi wa umma na watanzania wengine wa kipato cha kati-chini na chini kabisa!
Banks zinakata hadi 20% na makampuni binafsi yanafikia hadi 40%, kwa jinsi hii hakuna jinsi kundi hili kubwa ktk jamii yetu litaweza kushiriki ktk kujenga uchumi!
Nakuapia kwa pesa za makontena na walipa kodi wengine wachache ndani ya nchi haziwezi kukufanya uboreshe huduma za jamii, ada itaichemsha serikali yako hata bila ya kuizungumzia afya!
Mfano bora, tazama elimu ya chuo kikuu, wengi wame afford thru mkopo! Hao hawaisumbui tena serikali kwa kuwa kama marejesho yatasimamiwa then watu watajisomesha!
Ujenzi holela utakufa tu pale nitakapopata mkopo na kuweza kumudu gharama ya kiwanja kilichopimwa! Hata wakulima wetu wataboresha pembejeo!
Sio kama watanzania niliowasema hapo juu hawakopi, la hasha Hawa ndio wanaokuza sekta ya microfinance na bank nyingi nchini huku wakikuibia muda serikali kufanya vijikazi vya kimachinga kuikimbiza riba ya hayo mabank au makampuni binafsi!
Hazina ilitoa mikopo yenye riba ya 5% kwa baadhi ya watumishi wengi walikopa na sidhani kama serikali ilifilisika kwa hilo!
Hebu kakae na boss mpango muone ni jinsi gani mabank yetu yaweze kuleta tija kwa wananchi na yasiwe mwiba!
Kwa mnaoishi Europe na sehemu nyingine za dunia hebu semeni experiences zenu na mikopo na jinsi inavyowakomboa wananchi na serikali zao!
Mh. JIPU HILI LIKITUMBUKA nitakuwa nacheka ninapoenda TRA au mamlaka yeyote kulipa kodi!
Benki haziweki riba kiholela mkuu, bank zinachukua mikopo pia ili ziweze kukopesha, kwahiyo untaka Magufuli afanyaje?
 
Benki haziweki riba kiholela mkuu, bank zinachukua mikopo pia ili ziweze kukopesha, kwahiyo untaka Magufuli afanyaje?
Ni kweli bank zinalipa!
Chukulia mfano wa Barclay's wao wanatoa APR ya kuanzia 4.9% kwao UK lkn huku Bongo wanaokopa nadhani ni 18-20%! Hii sio bank wanaamua, ni policy za nchi husika! Ulaya ni wachache sana wanaoishi nje ya mikopo, lkn ndio tija pekee ktk ukuaji wa uchumi!
For your information hata hapa Bongo wafanyakazi wa bank husika wanachukua loan kwa less than 10%! Something is wrong somewhere!
Mimi sio mchumi, so sinasifa sana za kujadili jambo hili lkn kwa kuwa kuna wajuzi wao wanaweza kunielimisha! Kama wewe ni field yako hebu ongea kitaalam zaidi kwa mfano kama hizi international banks why zina deal tofauti na customers ktk nchi tofauti hasa ktk hili la loans! Bank zetu ni local so huwezi kuzitolea mifano!
Nb: Mods sijui kama kuchukua huu mfano wa Barclay's ni kosa Ila kwa kuwa nimeiona advert ktk mtandao wao wakati najiridhisha juu ya majibu ya mdau nikaamua kutumia!
 
Umongea jambo la msingi sana ila watakao kukuelwa ni wachache sana. Duniani kote ukiwa na uwezo mkubwa wa pesa basi jua hakuna utakalo shjndwa.
 
Habari za leo ndugu wana JF, leo naomba tujadili juu ya hili suala la mishahara ya watumishi wa Serikali kutofautiana kwa kiwango kikubwa.

Mimi nashindwa kuelewa ni kwa nini, hasa Wizara ya Elimu kuna tofauti kubwa kati ya wafanyakazi walio walimu na wasio walimu kwenye mishahara na hata kwenye maslahi mengine kama vile kupandishwa vyeo kwa wakati semina n.k

Ndugu zangu imekuwa ni jambo la kawaida katika hii wizara kuona mwalimu akipandishwa cheo, kuwa na mshahara mkubwa ukilinganisha na mfanyakazi mwingine asiye mwalimu hata kama wana level moja ya elimu, kupata semina wezeshi na kupewa kipaumbele kwenye mambo mengi kuliko mfanyakazi asiye kuwa mwalimu.

Mambo haya ndugu zangu yanawakatisha tamaa sana wafanyakazi wasio walimu hasa kwenye vyuo vya ualimu, unaweza ukakuta mwalimu anakuwa na mtiririko mzuri wa kupanda madaraja na vyeo kuliko asiye mwalimu na hata ukiangalia utofauti wa mishahara kati ya mwalimu na asiye mwalimu ni mkubwa sana, sasa huwa najiuliza ni kwanini hali hii iko hivi? ni kwanini huyu mwalimu athaminiwe kuliko mtumishi asiye mwalimu wakati wote ni waajiriwa wa Serikali moja, wizara moja na waziri mmoja, naibu waziri mmoja, katibu mkuu mmoja.

Ndugu zangu nayasema haya sio kwa kuwaonea wivu walimu hapana, nasema ili wahusika najua wanajua haya ila wameamua kukaa kimya kwa kuwa wao hawaumizwi na hali hii, haiwezekani mtu unakaa zaidi ya miaka nane pasipo kupandishwa daraja na unapofika wizarani maafisa utumishi wanatoa majibu yasiyoridhisha, halafu mwalimu aliyeajiriwa juzijuzi tu anapandishwa vyeo haraka anakuacha wewe ukiwa kwenye cheo na daraja hilohilo, hali hii haivumiliki inaumiza wafanyakazi tena inashusha morali ya ufanyaji wa kazi.

Naomba Rais, Waziri Mkuu, Katibu mkuu kiongozi, Waziri wa Elimu, Naibu waziri wa Elimu, Katibu Mkuu wa wizara ya Elimu waliangalie hili kwa ukaribu ili wafanyakazi wote wawe na haki sawa na iyo haki itowele kwa wakati unaostahili haiwezekani kuwe na tofauti kubwa ya mshahara kati ya mwalimu na asiye mwalimu, tofauti kubwa ya kupandishwa vyeo kati ya mwalimu na asiye mwalimu, wote sisi ni watumishi wa umma tunapaswa kupewa stahiki zetu kwa usawa sio kama hali ilivyo sasa.

Ndugu Waziri nakuomba sana Rais wetu amekuamini kuwa utamsaidia kazi na ndio maana amekuteuwa kuwa waziri wa wizara hii ya elimu ivyo basi tunakuomba shughulikia swala hili mapema iwezekanavyo.

Asante nawasilisha.
 
Ktk kuelekea uteuzi wa ma RC, ma DC na wakurugenzi wa H/shauri; lazima atengue teuzi za harakaharaka zilizofanywa kishkaji. Pia ktk teuzi hizo hapo juu, nashauri ma DC wengi wawe maafsa safi wa halmashauri kwani wanajua kwa undani jinsi halmashauri zinavyofanya kazi. TISS wanaweza kusaidia sana kwenye hilo. La mwisho, jaribu kuteua wakurugenzi wa h/shauri kwa mujibu wa mwongozo wa utumishi serikali za mitaa. Sifa ya mkurugenzi ni: awe mchumi/planner, awe ni admnistrator/ human resource person. Lkn sasa wakurugenzi wengi ni waalimu na bila shaka ukilegeza wahandisi ndio watajaa kwa kuwa katibu mkuu ni mhandisi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom