Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,077
- 8,828
Subiri atakujibu pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania ni moja na nilazima tuwe kitu kimoja hivyo basi anapaswa kutusikiliza wote bila kujali ukandaUngekuwa Mwanza au chato angekusikiliza
HahahahaSubiri atakujibu pm
Ungekuwa Mwanza au chato angekusikiliza
Mkuu acha masihara ujue tunaumia wkt resources tunazoUngekuwa Mwanza au chato angekusikiliza
Unaakili nyingi sana wwTungetumia fursa hiyo kuuza mazao kwenye nnchi zenye migogoro ya kisiasa kama Sudani, Somalia nk. Tungewapelekea michicha ya kutosha ili wapate nguvu ya kupigana haswaa
Hivi kweli Rais anaweza kunijibu pm mm?Subiri atakujibu pm
Ni nani wa kwenda kuyafukunyua huko kabatiniMawazo mazuri nchi hii sehemu yake ni kabatini.
Mkuu maneno yako yamenitishaUmejiripua kama yule mama mjane
Pambana kivyako mkuu huyo atakupotezea muda kumfikiliaMkuu acha masihara ujue tunaumia wkt resources tunazo
Serikali hii ya sasa kipaumbele chake sio kilimo maana sio juhudi zozote za kuinua kilimo. Huwezi kuzungumzia viwanda wakati kilimo kiko hoi?! Kilimo kwanza hutoa chakula cha kulisha nguvukazi ya viwandani na kwingineko lakini pia hutoa malighafi kwa ajili ya viwanda.kilimo pia huongeza pato la taifa kwa kuuza ziada ya chakula nje na kupata fedha za kigeni! Kilimo pia ni chanzo kikubwa cha ajira. Nchi Ina maji mengi ardhi kubwa yenye rutuba na nguvukazi ya kutosha. Serikali ijenge miundo mbinu ya umwagiliaji na Ku mechanize kilimo ili kiwe cha tija na cha kisasa! Tuachane na kilimo cha kutegemea mnvua na jembe la mkono.Tungetumia fursa hiyo kuuza mazao kwenye nnchi zenye migogoro ya kisiasa kama Sudani, Somalia nk. Tungewapelekea michicha ya kutosha ili wapate nguvu ya kupigana haswaa
kwani hivi wabunge wa cdm na cuf wanatekeleza ilani gani......wajuvi mnijuze kidogoKila chama kilikuwa na ilani yake, sasa kusema ampe ubunge then cheo anachostahili Serikalini una maana gani? Je akiwa serikalini atakuwa anatekeleza ilani ipi kati ya ile ya ACT ya kwake na hii yenu ya CCM?