Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Inashangaza sana kuona kero muhimu kabisa na zinapoteza rasimilimali bila sababu za msingi bila rais kuchukua hatua. Rais Magufuli anasifika kwa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya kero za wananchi lakini kwa nini hizi zingine zinaonekana kama ni jambo la kawaida tu.
Mimi ninazo chache ambazo zinanifanya nisimuone Rais kama ni mtu ''bandidu'' asiyeogopa kuchukua hatua kali dhidi ya mtu au jambo lisilokuwa sawa.

  1. Kumtumbua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na tuhuma za kughushi vyeti vyake vya elimu ya kidado cha nne
  2. Mbio za mwenge wa uhuru.
  3. Umiliki wa Viwanja vya Mpira wa Miguu vilivyopokonywa na CCM ilihali vilijengwa na wananchi wote wakati wa chama kimoja. Mfano Kambarage-Shinyanga, Ali Hassan Mwinyi-Tabora, CCM Kirumba-Mwanza.
 
Ndio maana bangi inapigwa marufuku! We sijui bado unaipata wapi!
 
Sio bambidu kamanda, siyo dikteta wala nini, ni kama kikwete tu, huo udikteta huwa tunamsingizia tu. CCM ni ile ile pipooooos
 
Nlivyoona ile clip ambayo JPM anampiga mkwara yule mkandarasi, nikagundua jamaa ni mwepesi sana. Anatumia jazba kufanya maamuzi..
 
Inashangaza sana kuona kero muhimu kabisa na zinapoteza rasimilimali bila sababu za msingi bila rais kuchukua hatua. Rais Magufuli anasifika kwa kuchukua maamuzi magumu dhidi ya kero za wananchi lakini kwa nini hizi zingine zinaonekana kama ni jambo la kawaida tu.
Mimi ninazo chache ambazo zinanifanya nisimuone Rais kama ni mtu ''bandidu'' asiyeogopa kuchukua hatua kali dhidi ya mtu au jambo lisilokuwa sawa.

  1. Kumtumbua Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na tuhuma za kughushi vyeti vyake vya elimu ya kidado cha nne
  2. Mbio za mwenge wa uhuru.
  3. Umiliki wa Viwanja vya Mpira wa Miguu vilivyopokonywa na CCM ilihali vilijengwa na wananchi wote wakati wa chama kimoja. Mfano Kambarage-Shinyanga, Ali Hassan Mwinyi-Tabora, CCM Kirumba-Mwanza.
Peleka umbea huko eti kama jpm ni bandido. yeye sio bandido ndio maana hawezi fanya upuuzi.
 
"Wengi walioko kwenye orodha iliyokabidhiwa na Makonda ni waathirika wanaohitaji msaada wa matibabu na sio kuwafunga, tumepata watuhumiwa 5 tu wa dawa za kulevya" by Kamishna Siang'a 06 March 2017.
47e043dc97e496b9512a80d49e610c5b.jpg
 
UJUMBE WA WAZI KWA MH RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MH JOHN POMBE MAGUFULI

SALAM

Kabla ya yote kwanza naomba nikupongeze kwa ziara yako ya kikazi katika mikoa ya kusini mwa Tanzania
Ziara yako imekuwa na mafanikia mengi sana na makubwa sana hasa kutetea miradi ya watanzania

Mh rais naomba nikuhakikishie kuwa wakandarasi wa aina ile uliowakuta uko kusini hawapo huko tu hata kwetu kigoma wapo tena katika mradi kama huo huo wa maji

Mh raisi hii nchi hawa wakandarasi wameigeuza kuwa kama shamba la bibi wanakuja wanajichotoa fedha na kufanya kazi kwa jinsi wanavyotaka wao yaani unakuta mradi wa kukamilika miaka mitatu wanatumia miaka saba na hakuna kiongozi yeyote anayewakemea
Kwa jinsi hiyo tunaomba kwa dhati kabisa upange ratiba zako vizuri ili uanze ziara yako ya kikazi katika mikoa ya magharibu nina hakika utarudi na passport nyingi sana za hawa matapeli wa kigeni

Baada ya kuzungumza hayo sasa napenda nijikite moja kwa moja katika hoja yangu na dhumuni langu la kukuandikia ujumbe huu wa wazi kabisa kwa siku ya leo

Tukirudi nyuma kidogo naomba nikukumbushe wewe pamoja na watanzania wenzangu wanaosoma huu ujumbe kwamba katika kipindi cha miaka ya nyuma kulitokea ufisadi mkubwa sana katika akaunti ya fedha za malipo ya nje yaani kwa lugha ya kigheni ni EXTERNAL PAYMENT ACCOUNT (EPA), kulifanyika ufisadi mkubwa sana wa mabilioni ya fedha za walipa kodi wa Tanzania na waliohusika walikuwa ni watanzania wasiokuwa na mapenzi mema na nchi yao

Ufisadi huu ulifanywa na watanzania wenye elimu zao kubwa tu na zisizo na mashaka na wenye vyeti vingi sana vya taaluma zao
Sidhani kama katika ufisadi huu kuna mtanzania au kiongozi yeyote aliyeshiriki ambaye alitumia cheti cha mtu mwingine asiyekuwa na mashaka na elimu yake wote walikuwa wasomi wa daraja la juu kabisa
Raisi wa awamu ya nne mh Jakaya Mrisho Kikwete aliwaamuru watu wote walioshiriki katika huo ufisadi wazirudishe fedha wao wenyewe na akawapa siku za kurudisha

Tunafahamu kwamba na hakuna asiyefahamu kwamba watu hawa walipaswa kupelekwa mahakamani kushitakiwa kwa kosa la kuhujumu uchumi maana ndio sheria inasema hivyo lakini kwa busara alizokuwa nazo mkuu wa nchi na kwa kutumia mamlaka yake na nguvu yake kama raisi aliamua kuwaambia warudishe fedha na atawasamehee wote

Tunafahamu kabisa kuwa raisi ana nguvu kubwa sana ya mamlaka(presidential power)
Ana uwezo wa kuamuru chochote kile na kuagiza lolote lile na mh Kikwete alitumia nguvu hiyo na kwa swala hili aliamua kuwaambia warudishe fedha na hatowapeleka mahakamani na hakuna mtu yeyote wa Tanzania awe mwandishi wa habari, mwanasiasa wala mchungaji na askofu yeyote aliyejitokeza kupingana na maamuzi hayo ya Kikwete

Mh raisi katika awamu iliyopita ya kipindi cha kwanza cha utawala wa JK kulitokea pia sakata la ufisadi wa richmond ambalo pia viongozi wote waliohusika katika huo ufisadi walikuwa ni wasomi wa ngazi za juu kabisa na wenye vyeti vingi sana na wasio na shaka katika elimu zao
Katika ufisadi wa richmond hakuna kiongozi aliyeshiriki ambaye hana elimu au ana elimu ya magumashi wotr ni wasomi wa ngazi za juu kabisa

Mh Rais katika kipindi mwisho ya utawala wa awamu ya nne kulitokea ufisadi mkubwa sana kuhusu mitambo ya ufuaji umeme ya Dowans na skendo hii iliitwa escrow

Viongozi wa serikali kwa kushirikiana na wawekezaji waliamua kugawana fedha za umma zilizokuwa katika account maalumu ya escrow ili kusubilia mahamuzi ya mahakama
Nakumbuka pia katika skendo hii wote walioshiriki ni wasomi wa ngazi za juu hapa Tanzania na wenye elimu na vyeti karibia hamsini

Mh raisi hakuna mtanzania asiyejua madhara ya madawa ya kulevya na hakuna asiyejua faida kubwa wanayopata wafanyabiashara wa madawa ya kulevya
Hakuna biashara yenye faida kubwa kama biashara hii

Kwa mujibu wa taharifa za shirika la umoja wa mataifa linalopambana na biashara ya madawa ya kulevya inasadikiwa kuwa kilo moja ya madawa ya kulevya inauzwa kwa kiasi kisichopungua milioni mia nne (tsh 400,000,000) na kwa mwaka mapato yanayotokana na biashara ya kulevya ni zaidi ya tilioni mia tisa na tisini na nane za kitanzania kwa dunia nzima
Biashara hii inawahusisha wafanyabiashara matajiri wakubwa sana hapa duniani na biashara yenye mtandao mkubwa sana hapa duniani

Mh Raisi ukisoma hata kuhusu vita ya kupambama na madawa ya kulevya marekani utaona tu kwamba yeyote anayeteuliwa kupambana na hii biashara hua hatoki salama ni lazima wafanye mbinu yeyote ile kuhakikisha wanamtoa katika nafasi yake na wanatumia nguvu kubwa ya fedha waliyokuwa nayo kufanya kila linalowezekana kuhakikusha mpambanaji wao mkuu anatoka katika hiyo nafasi ili wabaki salama waendelee kufanya biashara yao kwa usalama mkubwa
Kiongozi yeyote anayeamua kupambana na hawa wauza unga ni lazima kwanza yeye binafsi aamue kuwa yupo tayali kwa lolote lile hata kifo

Mh raisi vijana wengi sana wa kitanzania wamekuwa mateja, vijana wengi sana ndoto zao za maisha zimeishia njiani kwa sababu ya biashara hii ya madawa ya kulevya
Vijana wengi sana wa kitanzania wamekamatwa wapo wamefungwa katika magereza ya china uko wanasubilia kunyongwa ebu tujiulize wangekuwa ni kaka na dada zetu wa damu leo hii tungepingana na vita ya madawa ya kulevya.?

Mh raisi tumemkosa chid benzi ambaye alikuwa msaniii bora kabisa wa hip hop hapa Tanzania kisa madawa ya kulevya, leo hii sio chid benz tena anaweza kuwa hata chid boda boda
Hakuna msanii aliyekuwa bora kabisa katika rnb kama Tid, leo hii yupo wapi? Tid wa zeze, siamin na siku kama hizi hayupo tena na kamwe hawezi kutokea tena hapa Tanzania
Hakuna msanii wa kike aliyekuwa bora kabisa kama Ray C na sauti yake nyororo sana amekwisha kabisa amebaki na sauti ngumu kama ya kala pina, haya yote ni madhara ya madawa ya kulevya

Na ni wengi sana wameumia na vijana wengi sana wapo mitaani wamekuwa mateja wakutupwa kwa sababu ya haya madawa ya kulevya
Mbona matajiri wao watoto wao hawali unga? Kwanini wanawauzia watoto wa masikini? Kwanin wanawatumia watoto wa masikini kubeba na kusafirisha unga? Kwanini wasiwatumia watoto wao?

Hawa wafanyabiashara wanajua kabisa kuwa hii biashara sio nzuri na haifai kabisa ndio maana familia zao hazijishughulishi na hii biashara

Mh raisi toka Tanzania ipate uhuru hakuna kiongozi yeyote yule ambaye amediriki kupambana na biashara ya madawa ya kulevya kwa njia yeyote ile hata kama njia sio salama kama alivyofanya mkuu wa mkoa wa dar es salam

Viongozi wote walikuwa wanatisha tu na kupiga biti lakini vijana wenzetu mtaani kila inapoongia siku mpya ndio wanazidi kuathirika na matumizi ya madawa ya kulevya
Hata kama walikuwa wanapambana kimya kimya basi vita vyao vilikuwa havina matokeo chanya maana mtaani matumizi ndio yameongezeka sana imefika kipindi madawa yanauzwa kama karanga katika viunga vya mkoa wa Dar es salaam

Mh raisi kwa vyovyote vile hakuna ambaye anania njema na taifa la Tanzania na mwenye mapenzi mema na vijana wa kitanzania atapuuza juhudi za mkuu wa mkoa wa Dsm katika kupambana na madawa ya kulevya
Hata kama alikosea lakini amethubutu sana kuonesha anachukizwa na biashara ya madawa ya kulevya na yeyote anayethubutu huyo ndio mpigana naji wa kweli

Mh raisi haya yote yanayotokea leo kuhusu mkuu wa mkoa ni mapambano ya wauzaji na wafanyabiashara wa madawa ya kulevya wanaona kwamba Makonda ndio adui yao namba moja kwa hali yeyote ili watafanya lolote lile kuhakikisha huyu mtu anapoteza nafasi yake ya ukuu wa mkoa ili wao sasa wafanya kazi zao za kihuni kwa amani tele
Makonda kijana wa watu yupo kwenye mapambano makali sana katika maisha yake
Kwanini hizi kashfa za makonda kutumia cheti cha mtu zimekuja baada ya yeye kuanza mapambano na wauza madawa?

Makonda alikuwa mkuu wa wilaya kinondoni kwanini hawajasema toka kipindi hicho?
Makonda alivyoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa hawakusema kuwa anaitwa Daudi bashite
Kama ushahidi walikuwa nao kuhusu yeye kufoji vyeti kwanini wameanza baada ya kutajwa kuhusika na madawa ya kulevya?
Na kwanini anayeongoza mapambano ya kuhusu vyeti ni mmoja wa watu walioitwa kuhojiwa kuhusu madawa ya kulevya.?

Makonda alienda adi kanisani kwa Gwajima akiwa na Samuel sitta(rip) na askofu Gwajima alimpokea sasa kwanini hakumwambia ukweli kuwa anatumia cheti cha mtu? Kwa hiyo amejua makonda sio jina lake halisi baada ya kutajwa kuhusika na biashara ya madawa?
Mh raisi hizi ni mbinu za wauza unga kuhakikisha makonda anatoka katika nafasi yake ili wawe huru na biashara yao haramu
Kama Makonda akitolewa katika nafasi yake ya ukuu wa mkoa maaana yake wauza unga wamefanikiwa katika vita hii na kamwe vijana wenzetu wataendelea kuangamia sana maana kila kiongozi sasa ataogopa kupambana na hii biashara

Kwa mamlaka uliyopewa kikatiba na kwa nguvu uliyonayo kama raisi wa nchi hii na amiri jeshi mkuu nakuomba chonde chonde usitengue nafasi ya mkuu wa mkoa Paul c Makonda kufanya hivyo ni sherehe kubwa kwa wauza unga
Tunaomba usiangalie swala la vyeti maana hii vita ni muhimu kuliko vyeti vya makonda wala kusikia hizi kelele lazima utambue kuwa watanzania hatupendi kuona mwenzetu akifanikiwa, hao wenye vyeti wametusaidia nini katika kupambana na madaya kulevya.?
Wanaojiita wasomi ndio walioshiriki katika fisadi zote uko nyuma na hata ukisikia watumishi hewa ni hawa hawa wasomi wetu ndio wapiga dili wakubwa hapa nchini

Nakutakia kazi njema katika kujenga taifa imara la Tanzania
Kidumu chama cha mapinduzi

NDIMI

RAPHAEL LUKINDO
0765499321
 
Wacha maneno wewe Mwambie Makonda alete vyeti kisha aendelee kupambana na madawa ya kulevya.

Wewe unadhani kama kweli Makonda vyeti siyo vyake atakuwa na moral authority gani ya kukaa kwenye vikao vya ulinzi na usalama vya mkoa na akina kamanda Sirro na kuweka mikakati ya kuondoa jinai mkoani Dar?

Huyo Gwajima unayemsema kutajwa kwenye orodha kapimwa kama anatumia hawakuyakuta, wamemsachi hawakuyaona, na wala hawajamfungulia kesi yoyote ya madawa ya kulevya. Kwa nchi zinazozingatia haki za raia shutuma hizo peke yake zisizothibitishwa dhidi ya Gwajima zilitosha kumng'oa Makonda!!

Hebu msikilize Mheshimiwa Raisi alivyokwishasema juu ya kufoji vyeti
 
Attachments

Kwahiyi unataka kutuaminisha kua Pombe alikua anapiga blablaa tu kuhusu vyeti feki,vyeti vya kugushi na watumishi hewa? tunataka moja ya kugushi vyeti iishe ndio tuingie idara ya maji.
 
Umeanza VIZURI mwisho umeandika pumba...tu.....kwani MATEJA yalishikiwa BUNDUKI yavute?au yalivuta kwa HIYARI YAO?mwambiye DAUDI BASHITE tunataka VYETI.. Sio maneno
 
Barua hii haikupaswa kuwa ya wazi, maana umeongea kwa uchungu sana na naamini mlengwa ataipenda. Lakini hapa ulipoileta waliopo hapa wapo very determined kuiona Tanzania ikiwa safi...leta vyeti baba, maneno peleka KTM waweke kwenye khanga.
 
ndugu hongera sana .kwa ushauri wako .
 
Hivi kwani Makonda akileta vyeti kuna mtu atamzuia kupambana na madawa ya kulevya?
Au kwa mfano akivileta hivyo vyeti ndiyo unga utakuwa umeruhusiwa kuuzwa Dar?
 
Wacha maneno wewe Mwambie Makonda alete vyeti kisha aendelee kupambana na madawa ya kulevya.

Wewe unadhani kama kweli Makonda vyeti siyo vyake atakuwa na moral authority gani ya kukaa kwenye vikao vya ulinzi na usalama vya mkoa na akina kamanda Sirro na kuweka mikakati ya kuondoa jinai mkoani Dar?

Huyo Gwajima unayemsema kutajwa kwenye orodha kapimwa kama anatumia hawakuyakuta, wamemsachi hawakuyaona, na wala hawajamfungulia kesi yoyote ya madawa ya kulevya. Kwa nchi zinazozingatia haki za raia shutuma hizo peke yake zisizothibitishwa dhidi ya Gwajima zilitosha kumng'oa Makonda!!

Hebu msikilize Mheshimiwa Raisi alivyokwishasema juu ya kufoji vyeti
Madawa hayo utaipata
 
Pombe mwenyewe kasema hataki watu waliofoji vyeti sasa wewe unamshauri ujinga gani?
Kutumia cheti cha mtu mwingine ni kosa la jinai na Bashite hayupo juu ya sheria

Haijalishi anapigana vita gani kama ni muhalifu ashughulikiwe ipasavyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom