Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye ametoa tip na ameeleza maeneo husika , kwa nini Iwe ngumu? Kuna ugumu gani kwa maofisa husika kujifanya wanunuzi kwenda kununua bidhaa hapo Kariakoo na hatimaye baada ya kujiridhisha kuwakamata?Mkuu ni vigumu sana kupeleka malalamiko ya aina hii kwa muhusika mkuu bila kujua hasa ni duka/maduka gani.
Ingekuwa ni vizuri sana ukayataja hayo maduka ili malalamiko yawe ya uhakika zaidi lakini kikubwa zaidi wahusuka wakuu wajue sehemu ya kuanzia.
Twitter naona ndio sehem sahihi ya kupeleka hii issue. Muheshimiwa anatumia twitterMh, Rais kwanza pole kwa majukumu mazito ya kulijenga Taifa hili kisha nikupongeze kwa mafanikio unayoyapata.
Mh, Dhumuni la ujumbe wangu kwako ni kukujulisha kuwa TRA (Tanzania Revenue Authority ) wameshindwa kufanya kazi ya eneo la kariakoo. Dar es salaam..
Kama ujuavyo kariakoo ni soko, Mataifa karibu yote tuliyo pakana nayo, kuna mzunguko mkubwa sana wa pesa, ajabu ni kuwa kuna uzembe ama makusudi inayofanywa na watendaji wako.
Mh, Rais ukwepaji wa kodi kariakoo umekithiri na unatuumiza sisi tunaolipa na kukatwa kodi zetu kihalali.. ukwepaji huu wa kodi tulisha utolea maelezo hapa lakini badala ya kupungua ndio unaongezeka.
Wafanyabiashara wanatoa risiti ambazo haziendani na mauzo wayafanyayo matharani mtu aweza kuuza bidhaa zenye thamani ya tsh milioni mbili lakini akatoa risiti yenye thamani ya tsh laki moja ama elfu hamsini tu.
Huu mchezo unafanywa na wafanyabiashara karibu wote w kariakoo.! Mnunuzi akijaribu kuikataa hiyo risiti anakuwa ametengeneza uadui na muuzaji. Akija wakati mwingine sio rahisi akauziwa bidhaa kwenye duka hilo.
Mh, Rais tutaendelea kupiga kelele hizi mpaka lini? Je wafanya biashara wa kariakoo ni wakubwa kuliko serikali yako?
Kama TRA hawawezi kufanya kazi yao vema kwanini waendelee kula kodi zetu kama mshahara?
Jambo hili likifumbiwa macho litaenea Nchi nzima..
ahsante kwa kunisikiliza natumai litafanyiwa kazi
Mzalendo halisi..
Wew vip. Hapa kama seeikali ipo serious si wanaenda watu kujifanya wananunua vitu na kama ni kweli wanakamatwa. Mbona simple sanaMkuu ni vigumu sana kupeleka malalamiko ya aina hii kwa muhusika mkuu bila kujua hasa ni duka/maduka gani.
Ingekuwa ni vizuri sana ukayataja hayo maduka ili malalamiko yawe ya uhakika zaidi lakini kikubwa zaidi wahusuka wakuu wajue sehemu ya kuanzia.
Mkuu, ni rahisi sana kuongea hoja hizo nzuri. But trust me hizo ni nadharia tu, kiuhalisia hakuna mpinzani wa kushinda mwaka 2020. Si udiwani wala si Ubunge...uchaguzi mkuu una WAANGALIZI WA KIMATAIFA.
..Siyo rahisi CCM kufanya UHUNI kama wanavyofanya sasa hivi ktk chaguzi za marudio.
..Pia ni kazi kubwa kuiba maeneo yote nchi nzima.
..Wapinzani wanatakiwa waelekeze nguvu kubwa zaidi kwenye kupata wabunge wengi zaidi.
..wapinzani wakiweza kufikisha asilimia 40+ ya wabunge CCM watakuwa hawana uwezo wa kupitisha miswada kimabavu bungeni.
..kila mswada, bajeti, itabidi ipitishwe kwa njia ya MARIDHIANO.
Mkuu, ni rahisi sana kuongea hoja hizo nzuri. But trust me hizo ni nadharia tu, kiuhalisia hakuna mounzani wa kushinda mwaka 2020. Si udiwani wala si Ubunge.
Wapinzani wenyewe ndiyo hawa ambao wameshindwa kabisa kuwapatia wananchi ownership ya usalama wa kura zao. Wameshindwa kuwafanya wafuasi wao waji feel responsible.
kuna andiko nimeliandika lakini bado najifikiria sana kuhusu kuliachia mitandaoni. Hilo lina mbunu na hila zote dhidi ya upinzani. Kwa kukumegea tu, wapinzani wajiandae kupikea watu kama akina Msukuma, Lusinde, Mkamia na wengineo wasio pendwa na wananchi. Kufikia hapo upinzani utakua umesha jifia rasmi.
Lengo ni kuufuta kabisa upinzani nchini kwa mbinu hizo
Ndugu, nikiweka risiti ama jina la duka hapa huoni hata kama maana nzima ya uchunguzi itakuwa imepotea? Hivi kweli ingekuwa duka moja tu kulikuwa na sabbu ya kuanzisha uzi hapa?Mkuu ni vigumu sana kupeleka malalamiko ya aina hii kwa muhusika mkuu bila kujua hasa ni duka/maduka gani.
Ingekuwa ni vizuri sana ukayataja hayo maduka ili malalamiko yawe ya uhakika zaidi lakini kikubwa zaidi wahusuka wakuu wajue sehemu ya kuanzia.
Mbona kuna tetesi kuwa,kaomba hifadhi katika nchi ya Canada.Hivyo akirudi kutoka kwenye matibabu harafu shughuli za kisiasa zikaruhusiwa kwa mujibu wa katiba, ndani ya muda mfupi upinzani utaimarika mara dufu.
That's why they wanted to kill him.Ndugu wanabodi:
Kwa yanayoendelea nchini hususani hili janga la hamahama ya wapinzani halina afya kwa taifa, kwani inalenga kulipeleka taifa kwenye mfumo wa chama kimoja. Mfumo ambao husisitiza kudumisha fikra za mwenyekiti wa chama.
Mfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti wa chama ni mfumo uliopitwa na wakati na haufai kwa maendeleo endelevu
Hivyo kama watanzania tunapenda maendeleo endelevuendelevu yapaswa tuipinge nia hiyo ovu ya kuua upinzani ili tubaki na chama kimoja kinachoshika hatamu.
Lakini bado tunatumaini kubwa la kuimarisha upinzani kwani bado tunayo silàha kubwa, silaha hiyo ni Mh, Tundu Lissu.
Huyu ni mpinzani asilia,historia yake inajitosheleza.Kipaji chake cha kuongea,kujenga hoja na taaluma yake inayoshabihiana na hulka yake ya kutetea haki za wanyonge vinamfanya kuwa nguzo kubwa ya upinzani kwa sasa.
Hivyo akirudi kutoka kwenye matibabu harafu shughuli za kisiasa zikaruhusiwa kwa mujibu wa katiba, ndani ya muda mfupi upinzani utaimarika mara dufu.
Nawasilisha.
Kupata 40% kwa awamu ni ngumu mkuu..tena kuna uwezekano ata wabunge wa 5 wasifike labda katiba ibadilishwe lakn kama ni hii, upinzani mwisho wake 2020[emoji51][emoji51]Upinzani waache kuchagua wagombea ubunge wanaotaka wao viongozi...waachie wananchi wa eneo husika watapata wabunge wengi 2020
Okay, tumeshaanza kuizoea hiyo singo!
Aiseee......Maskini Lissu wangu anakufa bila tumaini kabisa...anyway fight to the last standTatizo la Tanzania sio wapinzani..ni wananchi ...watanzania bado hawako tayari kutetea haki zao..popote pale..ni watu wa porojo nyingi..its our nature..asili yetu inafanana sana na wenzetu wa SADC...ndivyo tulivyo....
Tatizo lingine...Wanasiasa wa nchi hii hawana misimamo ya kiitikadi...mtu mwenye msimamo wa kiitikadi ni vigumu sana kuhamahama vyama...wanasiasa wetu ambao ni reflection ya sote tulivyo ..wanajali matumbo yao zaidi..watanzania wengi ndivyo tulivyo ..mkono kinywani tu.
Tatizo lingine...ni mwaka 1992..watanzania hawakuwa tayari na mfumo wa vyama vingi..walipiga kura na maoni ya zaidi ya asilimia 80 wakavikataa vyama vingi...Kipindi hicho CCM kwa influence ya Mwalimu Nyerere ikaamua KUVIANZISHA vyama vingi...vyama vikaanzishwa vingi kweli..lakini wengi hapa hata hamjui pia CHADEMA nayo ilianzishwa na CCM.Mnijibu hapa ,Je mtoto anaweza kumzaa baba au kumpindua baba kwenye nyumba?
Cha kufanyika;
Kuna wanasiasa ambao wako very legite wamejikuta kwenye hivi vyama watoto wa CCM na wakadhani wana fight same battle...wanasiasa kama kina Lissu..heche..mnyika..mdee....hawakujua kuwa wako kwenye same umbrella ya CCM.
Kwa hali iliyofika CHADEMA imeamuliwa kumaliza muda wake..wa miaka 20..mzazi.ameshaamua...hawa watu legite waunde chama chao ambacho kitakuwa the real opposition....
Its true Lissu ni karata pekee..but Lissu peke yake hawezi...na CHADEMA sio chama sahihi kwake...
TIME is now...
Wajijenge na wala wasilenge 2020..walenge 2025...hapa katikati zifanyike juhudi za makusudi za kuendelea kuwaamsha watanzania...Imani yangu ni kuwa CCM is a dying horse....haya yanayofanyika ni artificial