Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Hesabu ni Rahisi Sana.
Na-Assume
Watanzania Wanaomsupport Lissu tuko= 5000000(5 million).

Kila Mmoja Atadeposit 2,000/= kila Mwezi karibia na Tarehe 15.

Total itakuwa 10,000,000,000(10 Billion).

Hii ni zaidi ya Mshahara,posho,pension na Marupurupu ya Mbunge Kwa Miaka 5.

Watanzania Tukiamua Tunaweza.

TUMCHANGIE TUNDU LISSU SASA.

TUNDU LISSU RAIS 2020.

"Mopao Mokonzi"
 
Jamani dingi unajua haileweki kuna mda tunaweza mtupia rawama kibao kumbe siyo yeye ni watendaji wake wanatenda haya kujipendekeza kwa baba maana baba hasomeki unachoona bora yeye anakikataa unachoona kibaya yeye ndio anakikubali yani kama kinyonga vile usije kushangaa kesho anatoka hadharani anaraumu kwanini waliompiga risasi tundu lisu mpaka Leo hawajapatikana hapo ndio utashangaa

Niwakumbushe issue ya kutekwa kwa MO
Dingi ndio kafanya tushindwe muuelewa kabisa maana eti naye anashangaa kama sisi tunavyoshangaa
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Unamshauri JPM avunje katiba ili aingilie maamuzi ya mhimili Mwingine!!. Kinacho muumiza Lisu ni Kutochagua Lugha ya kuongea. Unaacha matibabu na kujiuguza, unaenda kutukana Viongozi. Inamsaidia nini Lisu Kumtukana Rais, Bunge, na Nchi kwa ujumla?
Lisu anapita ughaibuni na kuomba wafadhili wasitoe misaada ya maendeleo kwa Watanzania. Misaada ambayo inawasaidia watanzani wote alafu yeye anaomba achangiwe matibabu na watanzania haohao ambao ataki wasaidiwe. Lisu mdomowake uwe unachagua maneno ya kuongea maana kila anavyojaribu kuizamisha Tanzania anajikuta anazama mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Sasa rais atamalizaje swala la bunge? si mtaanza kusema rais anavunja katiba anaingilia mihimili mingine?
 
Huyu Lissu mnapandisha chati kupita uhalisia wa jinsi alivyo. Walipouawawa watu kibiti, mkuranga na rufiji ile haukuwa ni doa kwa taifa, mpaka mwanasiasa mmoja alipojeruhiwa ndipo linapokuwa ni doa kwa Tanzania.

Wale wapuuzi waliotaka kuanzisha nchi ndani ya nchi kama kina al shabab hawakuwa ni doa kwetu, ni mpaka mwanasiasa mmoja apigwe risasi ndipo tuite doa.

Acheni hizi siasa za uoga.
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Wema!!?? wema kwa mwanasheria ambaye anajua nje ya mipaka Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania ndiye nembo ya Taifa hivyo kumdhihaki ni kulidhihaki Taifa?!!! yajayo yanafurahisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu kuna nyumba za ibada zinaruhusu watu hawa kuingia na kupakwa majivu !
Kwa mtazamo na imani zenu, unatamani waumini waende na kadi zao za vyama vyenu ndio wapakwe majivu.
Kumbuka: Madikteta hatari ni wale wanaonekana kabla hata hawana madaraka bado.
 
Habari wakuu,

Nimejaribu kufikiri sana juu ya wema alionao rais magufuli kwa wananchi wake na watanzania kwa ujumla, nikawaza pia na najua ipo siku rais magufuli na awamu yake wata staafu pia kama ilivyo taratibu za nchi yetu.

Mh Rais inawezekanaje mbunge kapigwa risasi waliompiga hawajulikani hadi leo?, kama haitoshi pesa ya matibabu kanyimwa kwa hoja za ajabu ajabu na zilizojaa dharau na kiburi cha madaraka, amejaribu kupambana na stahiki zake amenyimwa sasa.

Ni Mungu yupi mnaye mwabudu?, ni mioyo ipi mlionayo?, ni watanzania wapi manohubiri kuwatumikia??, mnadhani watanzania upole wao ni ujinga wao??, Lisu amefanya nini hadi mumtende hivi?

Ingilia kati mh rais , maliza hili swala kwa busara na kumwogopa Mungu mnayeenda makanisani kila siku kumwabudu, dhambi hii haitawaacha salama kamwe, hata kama siyo leo hata miaka ya badaye mtajutia unyama huu, hata kama siyo nyinyi hata vizazi vyenu vya nne vitajutia.

Najiuliza mnapoudhuria misiba huwa mnajifunza nini au mnawaza nini? , hamtakuwa waheshimiwa milele ipo siku mtaitwa marehemu na vyoote mtaviacha.

Inauma sana kuona binadamu mwenzio anonewa kiasi hiki . Limalizeni hili swala waheshimiwa maana ipo siku mtatakiwa kujibu kwa lazima.
Hakuna kipindi ambacho kulikuwa na doa kubwa kwa serikali yetu kama lile tukio ambalo SMT ilimrudisha Kassim Hanga Zbar wakati wakijua kuwa hakua na hatia yeyote ila ni fitna za kisiasa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom