Yote uliyoongea ni kweli tupu, na japo juu, lazima nami nikiri nilikuwa mmoja wao! Nakumbuka Washikaji walivyokuwa wananioa mtu wa hovyo kipindi cha kampeni! Nakumbuka walivyokuwa wanani-call na kuni-text wakitumaini ningemuunga mkono Lowassa lakini nikawa nawaambia wazi kwamba It's JPM!
Mkuu Chige,nafurahi kukuona tena hapa jukwaani.
Hayo mambo uliyoandika hapo juu ni ya msingi sana,si kwa Mh. JPM pekee,bali liwe somo kwa viongozi wote waliopewa dhamana ya kuwatumikia Watanzania,katika utendaji wao wa kila siku wahakikishe hawatengenezi chuki kwa watu wanaowaongoza dhidi yao kiuonevu.
Mimi ni muumini wa "turning point" na pia muumini mzuri wa imani ya kuwa kila binadamu anastahili kupata nafasi ya pili ili aje kujirekebisha,hivyo namwombea Mh. JPM ili ajirekebishe.
Du ! Haya kumekucha huko Jangwani mwenye news zaidi atujulishe hii ni kwa mujibu wa TBC ndo naangalia hapa, Rais Kikwete kadondoka live akihutubia. Rais Jakaya Kikwete akiwa amebebwa na walinzi pamoja na wasaidizi wakati alipoanguka Jukwaani Jangwani Masononeko na vilio mara baada ya Rais...
www.jamiiforums.com
Nimepitia comments za tukio hilo la kuanguka kwa kikwete mwaka 2010 na comments zinazosambaaa mitandaoni kwa Sasa.
Nithubutu kusema viongozi chukueni muda mjichunguze wapi hakupo sawa.. Comments za Sasa zinatisha , sio Tanzania ya miaka 10 nyuma . Sio kabisa.. Pitieni huo Uzi muone utofauti wake... Kuna sehemu Kama nchi tumekwama tunahitaji kujirudi kwenye asili yetu.. Watu pekee wa kuturudisha wananchi kwenye upendo, umoja na mshikamano wa kitaifa Ni viongozi wetu... Tunakoelekea si kuzuri kabisa , haihitaji rocket science kujua hili. Tusiishie kushupaza shingo.

Hao si kipimo, ni Watz walio mijini na wapenda kuchokonoa mambo ili kujua mambo.
Hizo Facebook, tweeter ,inst nk waliowengi ni Wa mijini na vijana ushabiki ndo Furaha yao.
Mm nakwambia sio shabiki Wa Jpm lkn nimemuelewa na kumshabikia pale aliposema yy yawezekana siyo mwanasiasa mzuri lkn anachosimamia HATAKI UPUMBAVU.
Unajitekenya wewe,JK alichukiwa Kama kiongozi ,nje ya hapo no....huyu kachukiwa kutokana na kukosa utu,na Mungu akimwezesha astaafu ataishi maisha magumu Sana,tofauti na wenzake!
Kuombewa kifo/uhai hakumfanyi mtu afe/aishi. Kila mtu amekuja kwa wakati wake na ataondoka kwa mda wake. Hizi chuki unazoziona wakati mwingine watu wapo kimkumbo tu, nakumbuka hata JK aliombewa mengi ya ajabu wakati anaumwa, lakini leo anaonekana kupendwa na kila mtu.
Simamia unachoamini katika maisha yako, haijalishi ndugu, majirani, workmates nk watakuonaje.
Man, issue sio kuwa kweli au si kweli... au kwamba ndo itatokea bali ni kwanini watu wafurahie namna hii tena dhidi ya kiongozi ambae tunaaminishwa anafanya makubwa!!
Na nimeweka mifano miwili hapa... lile la kujimwambafai, na lenyewe lilipokelewa kwa shangwe kweli kweli wakati JK alitumia neno "Viongozi" na wala sio "Kiongozi" let alone Rais! Lakini bado majority wakaamini JK kamlenga JPM! Na ndo maana nikahoji, hivi kauli ile ya JK angeitoa Mkapa wakati JK yupo Rais, ina maana bado watu wangeamini huyo anayejimwambafai ni JK kama ambavyo wengi walivyoamini huyo anayejimwambafai sasa ni JPM?!!
Hao si kipimo, ni Watz walio mijini na wapenda kuchokonoa mambo ili kujua mambo.
Hizo Facebook, tweeter ,inst nk waliowengi ni Wa mijini na vijana ushabiki ndo Furaha yao.
Mm nakwambia sio shabiki Wa Jpm lkn nimemuelewa na kumshabikia pale aliposema yy yawezekana siyo mwanasiasa mzuri lkn anachosimamia HATAKI UPUMBAVU.
Na kama unaamini hao wengi ni wa mijini, pia kuna dhana nyingine kwamba walio na uelewa kidogo kwa Tanzania ni watu wa mijini kwa sababu ndiko angao ratio ya walioenda shule ni kubwa zaidi ukilinganisha na wale wa vijini!!!
Uzuri ni kwamba Jiwe tayari anatambua kuwa hapendwi. Anachofanya ni kutumia "rungu lake" kutandika wasiompenda na hivyo basi hana muda wa kujitafakari ili apendwe.
Zaidi, Jiwe anapenda shari. Mathalani kulikuwa na haja gani kuwfokea wananchi wa Masasi kwa kuwaita wapumbavu akikumbushia tukio la mwaka 2012 la kuchoma moto mali za hospitali wakati tayari lilishasahaulika. Bali tukio hilo halikutokea wakati wa utawala wake. Lakini kama alikusudia kuwakemea mbona hakufanya hivyo katika ziara yake ya kwanza au wakati wa kampeni?
Kujitafakari kunawahusu viongozi watakuja baada yake. Wao wana hiyari ya kupita njia ya Jiwe ili na wao wachukiwe au la.

Hakuna anayetegemea kuwa hayuko fit, lakini ujumbe umemfikia kuwa kuna mahali hayuko sawa. Hizi zilizosikika ni sauti za watu kuwa kuna mambo hawaridhishwi nayo.
Magufuli n kiongoz makin sana, chuki nying znatoka kwa upinzan na wala sio ajabu maana n moja ya jukumu lao, wengine n wafuata upepo, wengne maslah yao yameguswa kwa namna moja ama nyingine unafkr watampendaje.
Pia chuki aziashirii kwamba ndo una makosa sana ata ukismamia hak utachukiwa mifano mingi ipo shulen na makazn viongoz wengi( waalimu, vilanja, maboss) ambao wanasimamia wajbu wao ipaswavyo ndo wanaoitwa wanoko ndo wanao chukiwa na weng so kuchukiwa sio ajabu.
Mwisho, tuendelee kumsaport mzee baba kuanzia personality yake mpaka utendaj uko direct proportion na mahitaj ya nchi yetu kufikia nchi ya ahad, uwajbakaj mbovu kwa viongoz na watumishi wa umma ndo umetufikisha hapa ila mzee baba anapambana nao vzur soon tutakua na watu makn watakao tupeleka kule tunapo taka kufka

Ulimwengu na walimwengu wana mambo sana enzi za yjakaya walimuita dhaifu na kutwa kuchwa vijembe vilitawala, sasa hivi Jpm nananyoosha mambo yaende sawa mameno meeengi , hivyo walimwengu wanataka nini? Yote ni ubatili.
Hao si kipimo, ni Watz walio mijini na wapenda kuchokonoa mambo ili kujua mambo.
Hizo Facebook, tweeter ,inst nk waliowengi ni Wa mijini na vijana ushabiki ndo Furaha yao.
Mm nakwambia sio shabiki Wa Jpm lkn nimemuelewa na kumshabikia pale aliposema yy yawezekana siyo mwanasiasa mzuri lkn anachosimamia HATAKI UPUMBAVU.
Kwani Tanzania inaongozwa na watu walio vijijini? Tanzania inaongozwa na watu walioko mijini, hao wa huko vijijini wao wanaburuzwa tu. Sasa kama mtu anauza gunia la viazi 45,000, mtu aliyeko mjini anapata 300,000 kwenye hilo gunia kwa kuuza chips huyo si wa kuburuza tu.
Kila rais ana wasiompenda. Akifanya mambo kumridhisha kila mtu ndio atafeli. Aendelee hivi hivi.
Trump ana watu wanatakia mabaya, uhuru kenyata hivyo hivyo, kagame hivyo hivyo. N ukichunguza kiundani wanaomtakia mabaya ni wale waaotaka siti yake pamoja na wafuasi wao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.