Ukiwauliza mishahara watasema tunakamilisha miradi,hakuna fedha,tutaongeza kabla ya kuondoka madarakani,tupo kwenye light tlak,uchumi unakua kwa over 7% nk.Watu wa ajabu wamekabidhiwa mamlaka.Wao wanajilipa vizuri na watu wao wanauhakika wa maisha bora.Jambo Moja ambalo lipo clear ambalo Mie kwa upande wangu linaniudhi Ni vitu kupanda Bei na kutoongeza mishahara.Hili linaniudhi kwelikweli.
Ila wanasiasa hili la mishahara haliwahusu wao kilio Chao Ni demokrasia ili wapate fursa ya ajira (Ubunge & Udiwani)
Wengine wote ni wapiga dili,hawana uzalendo,watetezi wa mabeberu,wapinzani na wasaliti.Huwezi kuamini kama ni Watanzania wenzetu kweli wanatufanyia haya?