Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Kinachoendelea hivi sasa inabidi kiwe funzo kwa Rais J.P Magufuli!

JK alipoleta msamiati wa "kujimwambafai" tu, mitandao ikaripuka kwa vigelegele! Magazeto karibu yote yakaifanya habari hiyo kuwa ukurasa wa mbele!

Si tu kwa mstari wa mbele, lakini karibu yote yaliashiria kana kwamba huyo aliyeambiwa aache kujimwambafai ni JPM!

Hata wana-CCM wenyewe, kama vile Mkuu wa Mkoa wa Iringa Ali Hapi, nae akaamini kabisa anayeambiwa aache kujimwambafai ni Rais Magufuli!

Kwanini hadi wana-CCM na wenyewe waamini JK kamsema Magufuli wakati yeye alisema Viongozi waache kujimwambafai?!

Lau kama kauli ile ingetamkwa na Mkapa wakati JK yupo rais, sidhani kama wananchi wangemshuku JK kwamba ndie anajimwambafai!!

Sasa kwanini JPM ionekenane ndie anajimwambafai?! Kumbe hata wana-CCM wenyewe wanafahamu kwamba Magufuli anajimwambafai!

Limekuja hili sasa!

Hivi sasa zinapoonea habari juu ya afya JPM, bila kujali kama ni za kweli au za uongo, kwa mata nyingine, mitandaoni kumeibuka shangwe, huku wengine wakisema wazi "...atangulie safari ya milele!"

Hata wakati JK alipoenda kutumbuliwa tezi dume, sidhani kama waliokuwa wanamuombea arudi akiwa kwenye sanduku walikuwa ni wengi namna hii!

Sasa ikiwa hadi wananchi anaowaongoza miongoni mwao kuna wanaouuombea afe, basi hilo ni tosha kumfanya ajitafakari unless!!

Generally speaking, kwa Tanzania inaonekana jamii iliyopo Mtandaoni ndio jamii yenye uelewa zaidi, hususani walio Jamiiforums na Twitter!

Kwa maana nyingine, miongoni mwa wale wanaoonekana kuwa na uelewa zaidi, watafanya sherehe wakisikia rais wao ame-rest in peace!!

Na ukweli ni kwamba, ni mpumbavu na punguani tu ndie anaweza kudiriki kusema hawa wanaomuombea JPM mabaya ni mafisadi! Hao mapunguani tayari tumeanza kuwasikia wakiongea hizi kauli za kipunguani!
Nini kipya? Hakuna! Ukweli ni huu: watanzania tuu wavivu na wazembe sana. Hili limeshakuwa ndiyo utamaduni wetu. Kanuni za maisha zinasema kubadilisha huu utamaduni ni vigumu sana na kuna vikwazo vingi. Mimi sishangai watu kulalamika. Hata mjerumani alipotutawala aliitwa katili na alichukiwa. Lakini ukweli ni kuwa alikuwa anajaribu kubadilisha uvivu na uzembe wetu. Kikwete kwa sababu aliendekeza uzembe watu wansema sasa wanamkumbuka.
 
Man, nimeongelea suala la wananchi kumwombea rais wao mabaya, tena kifo! Sasa suala la kulalamika umelitoa wapi? Mbona watu hawazungumzii suala la "kupigishwa kwata", lakini wanawahesabu akina Tundu Lissu, Azory, Ben Saanane, and the like?! Ina maana hilo ndilo lipo kwenye list ya kuwanyoosha watu wasiwe wavivu?!
 
Man, nimeongelea suala la utamaduni wetu wa uzembe na uvivu wa kuwaombea mabaya viongozi wanaotulazimisha kufanya kazi kwa bidii. BTW Hilo la kusema ''wananchi'' kumwombea rais mabaya ni hisia. Tanzania ina zaidi ya wananchi milioni 55 na hawa walio kwenye matumizi ya mtandao ni wachache sana.
 
Na nimeshasema kwamba "hao wa mitandaoni" ! Hatuwezi kujua maoni nje ya mtandao kwa sababu huko watu si rahisi kupata maoni ya wengi sehemu moja!!

Lakini pili, nimeshasema kwamba inaaminika ratio ya watu walio mitandaoni ndio angalau kidogo imeenda shule hata kwa kidato cha IV na hivyo kuwa na uelewa kidogo ukilinganisha na wale wengine!!

Sasa huoni ni jambo la kuogofya kuona wale wale wenye uelewa kidogo, ndio miongoni mwao wanaonekana kufurahia mambo kama haya?!
 
Nikikumbuka jinsi kamanda Alphonce Mawazo jinsi alivouliwa dah na mpaka leo watesi wake hawajulikani! Nikikumbuka jinsi Ben saa8 alivopotea,Nikikumbuka jinsi Lissu alivomiminiwa marisasi km yote mchana kweupe,Nikikumbuka jinsi wapinzani walivokua wananunuliwa waachie ubunge,udiwani na uenyekiti wao na kisha mabilioni kutumika kuwachagua tena ktk chama kingine bila kujali kuna makadamnasi kibao uko mavijijini hawana ata maji safi,Nikikumbuka jinsi anavodhalilisha maraia kwenye mikutano yake dah!
#Mungu Fundi
 
we mpuuzi kweli: Mungu mwenyewe hapendwi na kila mtu ndo iwe binadam? mbna kila mtu anachukiwa uwe unajua au hujui: same as kuna mtu anakupenda kwa kujua ama kutojua, hio ni kawaida kwa binadam: atangulie asitangulie who cares cause ata wewe sku yako mbna inakuja, kila ukilala ukiamka unajiongezea nafasi nzuri zaidi ya kutangulia mpaka siku ifikapo:

inawezekana una ugonjwa wa akili kwa sababu haiwezekan hujakosewa unamchukia mtu bila sababu: we jiandae zako sku yako ikifika uwe na cha kujibu ulifanya nn ulivokua duniani, umchukie magu umpende analo la kusema alilofanya duniani: sasa we mwenzetu sjui una nn la kuonyesha? ama utamwambia sir God ulikua jamii forum

kupewa uhuru wa kuongea haimaniishi ndo uongee kama hujaenda shule
 
Jambo Moja ambalo lipo clear ambalo Mie kwa upande wangu linaniudhi Ni vitu kupanda Bei na kutoongeza mishahara.Hili linaniudhi kwelikweli.
Ila wanasiasa hili la mishahara haliwahusu wao kilio Chao Ni demokrasia ili wapate fursa ya ajira (Ubunge & Udiwani)
Kiuchumi, kwa kawaida ("ceteris paribus" wanavyosema wenyewe wachumi), kuna mambo mawili yanayokinzana ambayo hayawezi kuambatana, mpaka kuwe na uchumi usio wa kawaida.

1. Kunaweza kuwepo na nafasi za kazi nyingi, ajira ikawepo bwerere, mishahara ikapanda kwa kanuni za kiuchumi za demand and supply (wafanyakazi wachache ajira zimewazidi, waajiri inawabidi waongeze mishahara kuvutia wafanyakazi). Hili ni jambo zuri kwa waajiriwa. Lakini, ubaya wake linapelekea bei za vitu kupanda. Wafanyabiashara wanaona watu wana hela, ajira zipo, wanapandisha bei. Watu watanunua tu bidhaa, kwa sababu hela wanazo. Hapo tunaona habari ya ajira kupanda kusababisha bei za bidhaa kupanda. You win some, you lose some.

Unaweza kulalamika bei za bidhaa zinapanda, lakini usilalamike sana, kwa sababu bei zimepanda kutokana na neema ya ajira kuongezeka.

Uchumi unauma na kupuliza. Wanasema uchumi unakupa mitihani na njia za kuikabili. Kama mtihani ni kwamba bei za vitu zinapanda, njia ya kuukabili mtihani ni kutumia uwepo wa ajira nyingi. Katika soko la ajira nyingi ukiona bei za vitu zinapanda sana unaweza hata kuacha kazi moja ukapata nyingine yenye mshahara unaoendana na kupanda kwa bei ya vitu.

2. Upande wa pili wa uchumi classical, under ceteris paribus (kikawaida, wanasayansi wanasema "Standard Temperature and Pressure" ) unasema kwamba:-

Kukiwa na ukosefu mkubwa wa ajira, kazi zikawa adimu, ujumla wa bei za vitu kupanda (inflation) utapungua. Kwa sababu, uwezo wa watu kununua vitu (purchasing power) utapungua, waajiri hawatapandisha sana mishahara. Wafanyabiashara wakipandisha bei, vitu vitadoda kununuliwa.

Hapa tunaona uchumi unauma na kupuliza tena. Kama uchumi umeuma kwa kukosekana kwa ajira, basi unapuliza kwa kufanya mfumuko wa bei kiujumla (inflation) upungue au kutokuwepo kabisa.

Kama nakusoma vizuri na kama nausoma uchumi wa Tanzania vizuri, uchumi wa Tanzania si wa kawaida. Haupo katika mafungu yote mawili hayo juu ya chumi za kawaida.

Kwa sababu, ni uchumi ambao una tabia mbili ambazo kikawaida hazitakiwi kufuatana pamoja, lakini kwa Tanzabia zinafuatana pamoja.

Uchumi wa Tanzania unaonekana kuwa na ajira ndogo, ambazo kikawaida zinatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei, lakini Tanzania tunaona tuna ajira ndogo, halafu hapo hapo kuna mfumuko wa bei pia.

Hili linawezekanaje?

Hili linawezekana kama nchi ina intake kubwa katika soko la ajira kuliko soko la ajira linavyoweza kumudu kuichukua intake hiyo. Halafu hapo hapo infirmal sector haijawa imara kuchukua waliobaki.

Katika mfumo kama huo, ambao characteristicts zake ni population growth ya 2.5 - 3%, ambayo kwa sasa tushaipita (2017 figures zinaonesha population growth ya Tanzania ni 3.1%), ni vigumu kudhibiti ukosefu wa ajira, kwa sababu kika mwaka watu wengi sana wanaingia kwenye soko la ajira, lakini hawapati sehemu zinazoweza kuwachukua nankuwapa ajira.

Na hapo hapo, ni vigumu sana kudhibiti mfumuko wa bei, kwa sababu, kuna watu wengi tu wana ajira na biashara zao, na wana oesa nzuri tu za kuweza kutengeneza demand nzuri tu katika soko.

Hapo utaona kuna tatizo la mipango ya matumizi ya mitaji na uzalishaji. Kwa sabau, kati ya wale wale waliokosa ajira, kungekuwa na mioango mizuri ya kutumia mitaji kuzalisha, hao hao wangeajiriwa na kutumika kutengeneza bidhaa na huduma ambazo wangeuziana hao hao wenyewe.

Wengine wangeajiriwa vuwanda vya nguo, wakatengeneza nguo, wakawauzia wenzao. Wengine wangeajiriwa mashamba makubwa ya kilimo, wakakima, wakalisha wenzao. Wengine wangeajiriwa mahospitalini, wakatibu na kuhudumia wengine.

Wengine wangekuwa wanasheria, wakatisaidia kwenye mambo ya haki.

Tatizo letu tumekuwa na jamii iliyo na exclusivity.

Walimu wa Chuo Kikuu wanatamba kwamba Chuo Kikuu cha Dar hakijapata First Class shahada ya sheria kwa miaka thelathini, kama vike hilo ni jambo zuri.

Rais anaita watu vilaza, bila kujali ukweli kwamba mfumo wa elimu na maisha wa Tanzania unafanya hata mambo ya kawaida yawe magumu. Kitu kama ajira, ambacho kwa kweli ni haki ya msingi ya utu (human right) na kila mtu, mpaka watu wenye matatizo ya mtundio wa ubongo wanaofungiwa ndani, anatakiwa awe na ajira inayoendana na uwezo wake, vinginevyo tutakuwa tunajipunja wenyewe wote kama jamii.

Tukiweza kuondoa hizi habari za kizamani za kujutapa Chuo Kikuu hakijatoa First Calass degree ya sheria miaka thelathini au arobaini, tukijua kwamba tunaweza kujenga viwanda vyetu, tukatengeneza nguo zetu, tukauza nguo, anayenunua nguo anamlipa anayetengeneza nguo, anayetengeneza nguo anamlipa mkulima anayelima chakula, anayelima chakula anamlioa tabibu anayemtibu, na wote hawa ni wale wale wahitimu ambao bila kujioanga wangekisa ajira, tutaweza kufanya mengi.

What we have here is a failure if imaginatiin, leadership and organization.

Tuna tatizo la population growth pia, lakini hata hilo ukiliangalia sana halijafumuka kiasi cha kutuzidi (linaelekea huko).

Wangekuwepo viongizi wa maana wangejua kufanya excess population kuwa market ya bidhaa zetu, kwa kuipa ajira na pirchasing power.

Tatizo tuna a double whammy. Everywhere you look.

A weak currency to promote exports, but no exports.

High unemployment, but a quirky high inflation too.

Bad leadership, but a surprisingly complacent (and even jubilant) populace.

We are cut from a different cloth.
 
Nikikumbuka jinsi kamanda Alphonce Mawazo jinsi alivouliwa dah na mpaka leo watesi wake hawajulikani! Nikikumbuka jinsi Ben saa8 alivopotea,Nikikumbuka jinsi Lissu alivomiminiwa marisasi km yote mchana kweupe,Nikikumbuka jinsi wapinzani walivokua wananunuliwa waachie ubunge,udiwani na uenyekiti wao na kisha mabilioni kutumika kuwachagua tena ktk chama kingine bila kujali kuna makadamnasi kibao uko mavijijini hawana ata maji safi,Nikikumbuka jinsi anavodhalilisha maraia kwenye mikutano yake dah!
#Mungu Fundi

kama una ushahidi wowote wa kua unaemfikiria ndo kahusika kafungue kesi: kama huna uhakika ni bora unyamaze, mnapenda kuunganisha vitu wala hamna ushahidi: mbna wabunge wenyewe kwa wenyewe wanapigana kupata ubunge, wengine wanaendeana mpaka kwa waganga: kabla hujatoa conclusion kua na ushahidi kwanza
 
Sijamaanisha avunjiwe heshima au aendelee "kutandika" watu. Bali siwezi kusema kumvunjia heshima ni sawa eti kwavile "anatandika" wasiompenda. Pia sijamaanisha kwamba hasijitafakari kwa yale anayoyatenda dhidi ya wananchi wake.

Nilichokiandika nimemaanisha kwamba ni vigumu kwa Jiwe kujitafakari na kuwa kiongozi mwema kwasababu anaamini watu hawampendi na yeye anawachukia kwakuwa hawampendi. Kwahiyo anachofanya ni kutekeleza dhidi ya wananchi wake ni itikadi ya "kama mbwai na iwe mbwai"
Kwa nini unaona ni sawa kumuheshimu rais asiyejitafakari, na hivyo asiyejiheshimu, anayewatukana bilanstaha, anayewatandika ovyo na kuwachukia wananchi wasiompenda?
 
Kiuchumi, kwa kawaida ("ceteris paribus" wanavyosema wenyewe wachumi), kuna mambo mawili yanayokinzana ambayo hayawezi kuambatana, mpaka kuwe na uchumi usio wa kawaida.

1. Kunaweza kuwepo na nafasi za kazi nyingi, ajira ikawepo bwerere, mishahara ikapanda kwa kanuni za kiuchumi za demand and supply (wafanyakazi wachache ajira zimewazidi, waajiri inawabidi waongeze mishahara kuvutia wafanyakazi). Hili ni jambo zuri kwa waajiriwa. Lakini, ubaya wake linapelekea bei za vitu kupanda. Wafanyabiashara wanaona watu wana hela, ajira zipo, wanapandisha bei. Watu watanunua tu bidhaa, kwa sababu hela wanazo. Hapo tunaona habari ya ajira kupanda kusababisha bei za bidhaa kupanda. You win some, you lose some.

Unaweza kulalamika bei za bidhaa zinapanda, lakini usilalamike sana, kwa sababu bei zimepanda kutokana na neema ya ajira kuongezeka.

Uchumi unauma na kupuliza. Wanasema uchumi unakupa mitihani na njia za kuikabili. Kama mtihani ni kwamba bei za vitu zinapanda, njia ya kuukabili mtihani ni kutumia uwepo wa ajira nyingi. Katika soko la ajira nyingi ukiona bei za vitu zinapanda sana unaweza hata kuacha kazi moja ukapata nyingine yenye mshahara unaoendana na kupanda kwa bei ya vitu.

2. Upande wa pili wa uchumi classical, under ceteris paribus (kikawaida, wanasayansi wanasema "Standard Temperature and Pressure" ) unasema kwamba:-

Kukiwa na ukosefu mkubwa wa ajira, kazi zikawa adimu, ujumla wa bei za vitu kupanda (inflation) utapungua. Kwa sababu, uwezo wa watu kununua vitu (purchasing power) utapungua, waajiri hawatapandisha sana mishahara. Wafanyabiashara wakipandisha bei, vitu vitadoda kununuliwa.

Hapa tunaona uchumi unauma na kupuliza tena. Kama uchumi umeuma kwa kukosekana kwa ajira, basi unapuliza kwa kufanya mfumuko wa bei kiujumla (inflation) upungue au kutokuwepo kabisa.

Kama nakusoma vizuri na kama nausoma uchumi wa Tanzania vizuri, uchumi wa Tanzania si wa kawaida. Haupo katika mafungu yote mawili hayo juu ya chumi za kawaida.

Kwa sababu, ni uchumi ambao una tabia mbili ambazo kikawaida hazitakiwi kufuatana pamoja, lakini kwa Tanzabia zinafuatana pamoja.

Uchumi wa Tanzania unaonekana kuwa na ajira ndogo, ambazo kikawaida zinatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei, lakini Tanzania tunaona tuna ajira ndogo, halafu hapo hapo kuna mfumuko wa bei pia.

Hili linawezekanaje?

Hili linawezekana kama nchi ina intake kubwa katika soko la ajira kuliko soko la ajira linavyoweza kumudu kuichukua intake hiyo. Halafu hapo hapo infirmal sector haijawa imara kuchukua waliobaki.

Katika mfumo kama huo, ambao characteristicts zake ni population growth ya 2.5 - 3%, ambayo kwa sasa tushaipita (2017 figures zinaonesha population growth ya Tanzania ni 3.1%), ni vigumu kudhibiti ukosefu wa ajira, kwa sababu kika mwaka watu wengi sana wanaingia kwenye soko la ajira, lakini hawapati sehemu zinazoweza kuwachukua nankuwapa ajira.

Na hapo hapo, ni vigumu sana kudhibiti mfumuko wa bei, kwa sababu, kuna watu wengi tu wana ajira na biashara zao, na wana oesa nzuri tu za kuweza kutengeneza demand nzuri tu katika soko.

Hapo utaona kuna tatizo la mipango ya matumizi ya mitaji na uzalishaji. Kwa sabau, kati ya wale wale waliokosa ajira, kungekuwa na mioango mizuri ya kutumia mitaji kuzalisha, hao hao wangeajiriwa na kutumika kutengeneza bidhaa na huduma ambazo wangeuziana hao hao wenyewe.

Wengine wangeajiriwa vuwanda vya nguo, wakatengeneza nguo, wakawauzia wenzao. Wengine wangeajiriwa mashamba makubwa ya kilimo, wakakima, wakalisha wenzao. Wengine wangeajiriwa mahospitalini, wakatibu na kuhudumia wengine.

Wengine wangekuwa wanasheria, wakatisaidia kwenye mambo ya haki.

Tatizo letu tumekuwa na jamii iliyo na exclusivity.

Walimu wa Chuo Kikuu wanatamba kwamba Chuo Kikuu cha Dar hakijapata First Class shahada ya sheria kwa miaka thelathini, kama vike hilo ni jambo zuri.

Rais anaita watu vilaza, bila kujali ukweli kwamba mfumo wa elimu na maisha wa Tanzania unafanya hata mambo ya kawaida yawe magumu. Kitu kama ajira, ambacho kwa kweli ni haki ya msingi ya utu (human right) na kila mtu, mpaka watu wenye matatizo ya mtundio wa ubongo wanaofungiwa ndani, anatakiwa awe na ajira inayoendana na uwezo wake, vinginevyo tutakuwa tunajipunja wenyewe wote kama jamii.

Tukiweza kuondoa hizi habari za kizamani za kujutapa Chuo Kikuu hakijatoa First Calass degree ya sheria miaka thelathini au arobaini, tukijua kwamba tunaweza kujenga viwanda vyetu, tukatengeneza nguo zetu, tukauza nguo, anayenunua nguo anamlipa anayetengeneza nguo, anayetengeneza nguo anamlipa mkulima anayelima chakula, anayelima chakula anamlioa tabibu anayemtibu, na wote hawa ni wale wale wahitimu ambao bila kujioanga wangekisa ajira, tutaweza kufanya mengi.

What we have here is a failure if imaginatiin, leadership and organization.

Tuna tatizo la population growth pia, lakini hata hilo ukiliangalia sana halijafumuka kiasi cha kutuzidi (linaelekea huko).

Wangekuwepo viongizi wa maana wangejua kufanya excess population kuwa market ya bidhaa zetu, kwa kuipa ajira na pirchasing power.

Tatizo tuna a double whammy. Everywhere you look.

A weak currency to promote exports, but no exports.

High unemployment, but a quirky high inflation too.

Bad leadership, but a surprisingly complacent (and even jubilant) populace.

We are cut from a different cloth.

Kukiwa na ukosefu mkubwa wa ajira, kazi zikawa adimu, ujumla wa bei za vitu kupanda (inflation) utapungua. Kwa sababu, uwezo wa watu kununua vitu (purchasing power) utapungua, waajiri hawatapandisha sana mishahara. Wafanyabiashara wakipandisha bei, vitu vitadoda kununuliwa.

umeelezea vizuri apa... but nakuchallenge: AJIRA sio human right kwamba unaweza kwenda mahakamani kuidai, it all boils down to the needs: hakuna any inclussive reason ya kupandisha mishahara kwa ukanda huu wetu kwa sababu itakua wastage of government resources: if you do that people will feel wealthier and ela zote ndogo ztakua hazina thaman tena, hii kupandikizwa kwamba kila mwaka lazma mishahara ipandishwe haikutakiwa kuwepo, mtu hupandishwa mshahara kutokana na umuhimu wake katika ofisi, lets say nchi za wenzetu mtu anapandishwa mshahara na hapo hapo anapewa hisa za kampuni ni kutokana na umuhimu wake kwa hio kampuni, some people have good working minds , its not easy to let them join another company: hio moja

la pili, kuna kila dalili nchi zetu zkabaki maskini milele na milele unless tubadilike, nchi zilizoendelea hawategemea serikali tu, wananchi wanajituma sana juu chini, unakuta kampuni moja imeajiri watu zaidi ya 50,000 mpaka 100,000 na ina matawi dunia nzima: tukiwa na watu kama hawa ukiachana na kwamba mwenye biashara atakua tajiri mkubwa lakini ajira zitakua nyingi sana na lawama za ajira kwenye serikali ztaisha kwa sababu sisi nchi zetu zilivo kila mtu watu wanawekea mkono serikali, akuna ajira, serikali inanyooshewa vidole, akuna miundombinu serikali inanyooshewa kidole, madhara yake ndo serikali inabidi kuweka mazingira mazuri ya wawekezaji kutoka nje kwa sababu wananchi wa hio nchi hawana msaaada wowote
 
sjaona sehem magufuli ametukana: kuita mtu mpumbavu sio tusi ni mwenendo wa mtu: ama kuita mtu mjinga , haya sio matusi ata Yesu kuna sehem wnafunzi wake walimwambia anakuja kukamatwa na Pilato i think akawajibu akasema: nenda kamwambieni huyo Mbweha: huezi sema katukana as if his habits znaendana na this animal
 
First things first.

Ajira ni human right na hata katiba ya Tanzania inasema kila mtu ana haki ya kuwa na ajira ambayo ana uwezo nayo.

(1) Everyone has the right to work, to free choice of employment, to just and favourable conditions of work and to protection against unemployment.

— Universal Declaration of Human Rights, United Nations General Assembly

December 10, 1948.

Tujikite hapo kwanza.
 
Wengi wapi? Wanaokesha JF na twitter? Kama ni hivyo basi Mbowe angekuwa rais siku nyingi. JF na twitter ni minority katika Tanzania na JPM hawezi kuacha kuwatumikia Watanzania walio wengi waliomchagua kuleta maendeleo yao. Kwa bahati nzuri wanaomchukia ni wale ambao keki ya Taifa imeondolewa midomoni mwao.

Jambo ambalo wengi hawafahamu ni kwamba Tanzania itaendelea kuwa Tanzania na kufanya yale ambayo yamekuwa yakifanyika Tanzania leo Kesho na keshokutwa hadi pale tutakapofikia maendeleo yanayostaili nchi yetu. JPM ameonyesha hilo na hakuna wa kuwazuia Watanzania tena kulifanya hilo la kuleta maendeleo ya kweli kwa raia wa Tanzania.
 
Kiuchumi, kwa kawaida ("ceteris paribus" wanavyosema wenyewe wachumi), kuna mambo mawili yanayokinzana ambayo hayawezi kuambatana, mpaka kuwe na uchumi usio wa kawaida.

1. Kunaweza kuwepo na nafasi za kazi nyingi, ajira ikawepo bwerere, mishahara ikapanda kwa kanuni za kiuchumi za demand and supply (wafanyakazi wachache ajira zimewazidi, waajiri inawabidi waongeze mishahara kuvutia wafanyakazi). Hili ni jambo zuri kwa waajiriwa. Lakini, ubaya wake linapelekea bei za vitu kupanda. Wafanyabiashara wanaona watu wana hela, ajira zipo, wanapandisha bei. Watu watanunua tu bidhaa, kwa sababu hela wanazo. Hapo tunaona habari ya ajira kupanda kusababisha bei za bidhaa kupanda. You win some, you lose some.

Unaweza kulalamika bei za bidhaa zinapanda, lakini usilalamike sana, kwa sababu bei zimepanda kutokana na neema ya ajira kuongezeka.

Uchumi unauma na kupuliza. Wanasema uchumi unakupa mitihani na njia za kuikabili. Kama mtihani ni kwamba bei za vitu zinapanda, njia ya kuukabili mtihani ni kutumia uwepo wa ajira nyingi. Katika soko la ajira nyingi ukiona bei za vitu zinapanda sana unaweza hata kuacha kazi moja ukapata nyingine yenye mshahara unaoendana na kupanda kwa bei ya vitu.

2. Upande wa pili wa uchumi classical, under ceteris paribus (kikawaida, wanasayansi wanasema "Standard Temperature and Pressure" ) unasema kwamba:-

Kukiwa na ukosefu mkubwa wa ajira, kazi zikawa adimu, ujumla wa bei za vitu kupanda (inflation) utapungua. Kwa sababu, uwezo wa watu kununua vitu (purchasing power) utapungua, waajiri hawatapandisha sana mishahara. Wafanyabiashara wakipandisha bei, vitu vitadoda kununuliwa.

Hapa tunaona uchumi unauma na kupuliza tena. Kama uchumi umeuma kwa kukosekana kwa ajira, basi unapuliza kwa kufanya mfumuko wa bei kiujumla (inflation) upungue au kutokuwepo kabisa.

Kama nakusoma vizuri na kama nausoma uchumi wa Tanzania vizuri, uchumi wa Tanzania si wa kawaida. Haupo katika mafungu yote mawili hayo juu ya chumi za kawaida.

Kwa sababu, ni uchumi ambao una tabia mbili ambazo kikawaida hazitakiwi kufuatana pamoja, lakini kwa Tanzabia zinafuatana pamoja.

Uchumi wa Tanzania unaonekana kuwa na ajira ndogo, ambazo kikawaida zinatakiwa kudhibiti mfumuko wa bei, lakini Tanzania tunaona tuna ajira ndogo, halafu hapo hapo kuna mfumuko wa bei pia.

Hili linawezekanaje?

Hili linawezekana kama nchi ina intake kubwa katika soko la ajira kuliko soko la ajira linavyoweza kumudu kuichukua intake hiyo. Halafu hapo hapo infirmal sector haijawa imara kuchukua waliobaki.

Katika mfumo kama huo, ambao characteristicts zake ni population growth ya 2.5 - 3%, ambayo kwa sasa tushaipita (2017 figures zinaonesha population growth ya Tanzania ni 3.1%), ni vigumu kudhibiti ukosefu wa ajira, kwa sababu kika mwaka watu wengi sana wanaingia kwenye soko la ajira, lakini hawapati sehemu zinazoweza kuwachukua nankuwapa ajira.

Na hapo hapo, ni vigumu sana kudhibiti mfumuko wa bei, kwa sababu, kuna watu wengi tu wana ajira na biashara zao, na wana oesa nzuri tu za kuweza kutengeneza demand nzuri tu katika soko.

Hapo utaona kuna tatizo la mipango ya matumizi ya mitaji na uzalishaji. Kwa sabau, kati ya wale wale waliokosa ajira, kungekuwa na mioango mizuri ya kutumia mitaji kuzalisha, hao hao wangeajiriwa na kutumika kutengeneza bidhaa na huduma ambazo wangeuziana hao hao wenyewe.

Wengine wangeajiriwa vuwanda vya nguo, wakatengeneza nguo, wakawauzia wenzao. Wengine wangeajiriwa mashamba makubwa ya kilimo, wakakima, wakalisha wenzao. Wengine wangeajiriwa mahospitalini, wakatibu na kuhudumia wengine.

Wengine wangekuwa wanasheria, wakatisaidia kwenye mambo ya haki.

Tatizo letu tumekuwa na jamii iliyo na exclusivity.

Walimu wa Chuo Kikuu wanatamba kwamba Chuo Kikuu cha Dar hakijapata First Class shahada ya sheria kwa miaka thelathini, kama vike hilo ni jambo zuri.

Rais anaita watu vilaza, bila kujali ukweli kwamba mfumo wa elimu na maisha wa Tanzania unafanya hata mambo ya kawaida yawe magumu. Kitu kama ajira, ambacho kwa kweli ni haki ya msingi ya utu (human right) na kila mtu, mpaka watu wenye matatizo ya mtundio wa ubongo wanaofungiwa ndani, anatakiwa awe na ajira inayoendana na uwezo wake, vinginevyo tutakuwa tunajipunja wenyewe wote kama jamii.

Tukiweza kuondoa hizi habari za kizamani za kujutapa Chuo Kikuu hakijatoa First Calass degree ya sheria miaka thelathini au arobaini, tukijua kwamba tunaweza kujenga viwanda vyetu, tukatengeneza nguo zetu, tukauza nguo, anayenunua nguo anamlipa anayetengeneza nguo, anayetengeneza nguo anamlipa mkulima anayelima chakula, anayelima chakula anamlioa tabibu anayemtibu, na wote hawa ni wale wale wahitimu ambao bila kujioanga wangekisa ajira, tutaweza kufanya mengi.

What we have here is a failure if imaginatiin, leadership and organization.

Tuna tatizo la population growth pia, lakini hata hilo ukiliangalia sana halijafumuka kiasi cha kutuzidi (linaelekea huko).

Wangekuwepo viongizi wa maana wangejua kufanya excess population kuwa market ya bidhaa zetu, kwa kuipa ajira na pirchasing power.

Tatizo tuna a double whammy. Everywhere you look.

A weak currency to promote exports, but no exports.

High unemployment, but a quirky high inflation too.

Bad leadership, but a surprisingly complacent (and even jubilant) populace.

We are cut from a different cloth.

Kuongezea: so far mpaka apa tulipofikia its wide open sisi ni wa kujilaumu kwa kua ndo tumefikisha nchi ilipofika apa ilipo, serikali inatumia ela nyingi kupeleka watu kusoma nje ya nchi lakini mpaka leo upande wa maendeleo hatujaanza kuvuna matunda ya hizi investment za elimu: ukiachana na ilo kumekua na movement ya the usage of internet, since imekuja people still havent taken advantage of it fully: ajira zmejaa online, i have friend ndo kwanza anaingia chuo lakini ni freelancing , and he has no any ideas of asking of employment: he works online and all his earned money comes from online, its even a more good thing as your adding foreign money to your country but why do people still complain?
 
sjaona sehem magufuli ametukana: kuita mtu mpumbavu sio tusi ni mwenendo wa mtu: ama kuita mtu mjinga , haya sio matusi ata Yesu kuna sehem wnafunzi wake walimwambia anakuja kukamatwa na Pilato i think akawajibu akasema: nenda kamwambieni huyo Mbweha: huezi sema katukana as if his habits znaendana na this animal
Sawa. Basi na sisi tukimuita Magufuli mpumbavu, mjinga, etc, msitufunge kwa "Lese Majeste"

Tuangalie kama kauli hizo ni kweli kwa mwenendo wake.

Mtu mwanamme anayejadili mpaka mapungufu ya mke wake, na kutoa kauli za kummendea Makamu wake wa Rais, kama si mpumbavu, basi hakuna mpumbavu dunia hii.
 
First things first.

Ajira ni human right na hata katiba ya Tanzania inasema kika mtu ananhaki ya kuwa na ajira ambayo ananuwezo nayo.

(1) Everyone has the right to work, to free choice of employment, to just and favourable conditions of work and to protection against unemployment.

— Universal Declaration of Human Rights, United Nations General Assembly

December 10, 1948.

Tujikite hapo kwanza.

unaelewa english>?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom