Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

Status
Not open for further replies.
Yote hayo nimeeleza, kwamba
Na kama unaamini hao wengi ni wa mijini, pia kuna dhana nyingine kwamba walio na uelewa kidogo kwa Tanzania ni watu wa mijini kwa sababu ndiko angao ratio ya walioenda shule ni kubwa zaidi ukilinganisha na wale wa vijini!!!
Bado haohao Wa mijini bado wanaomiliki visimu sumbufu ni wachache.

Propaganda ziliumbua watu kwenye kifo cha Mwl Nyerere na mpaka Leo kundi dogo linatumia nguvu kujifanya kundi kubwa kuaminisha watu kuwa wao ni wengi wasikilizwe.

Namuunga mkono JPM, - YY SIO MWANASIASA MZURI LKN ASICHOTAKA NI UPUMBAVU
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Sasa mtu mmoja akifariki ghafla, na hakuna mfumo endelevu, itakuwaje hapo?
Ukweli ni kwamba, tutabaki kumanga manga hadi atapotokea mtu mwingine...

Kujenga mfumo kwenye nchi zetu sio kuwa haiwezekani, naamini itawezekana pale tu tutapo ondokana na fikra/dhana za mtawala na mtawaliwa na badala yake tufutate mfumo wa kiongozi na waongozwa..
 
Mkuu nimependa mchango wako, tatizo naliona kwa wanasiasa wenyewe, wao ni kikwazo cha kupatikana mgombea binafsi, laiti wangeachia njia hiyo kila mtu angetekeleza hisia zake binafsi. Sio huku ilani ya chama A inasema hivi, huku kiongozi anafuata anayotaka yeye.
Katiba tunayo na hatuifuati...

Tumeirekebisha na tukaikacha, tukarejelea ile ambayo tuliona haitufai...

Nchi ni ya vyama vingi na bunge ni la vyama vingi lakini bado maamuzi yake ni ya chama kimoja (mtindo wa wengi wape)...Kifupi tuna mfumo unaojichanganya changanya

Akiondoka Magufuli atayefuata baada yake naye atakuja na mambo ya kwake, usishangae naye akaja kumponda Magufuli na wananchi tutashangilia...
 
Dar, ilikikataa chama cha mapinduzi, mikoani walikikubali chama cha mapinduzi.

Mwisho Wa siku matokeo unayajua. Mijini ni ujuaji tu , vijijini ni waamuzi Wa vitendo.

Hao Dar si ndio hao kila siku wanafanyiwa hujuma za wazi, kama ingekuwa rahisi hivyo ni kipi kinafanya wahujumiwe? Jibu ni moja Dar/mijini ni turning point ya hao wa huko vijijini.
 
Kila zama na kitabu chake...

Tanzania ilimuhitaji Magufuli kwa wakati huu, na ndio wakati uliokubalika...

Hivi mbona ni kama tumesahau namna kila mmoja wetu alivyokuwa akimuomba Mungu wake tupate Rais anayekaza kidogo kuliko JK na waliopita?

Kuna wengine hadi tukadiriki kusema tunahitaji Rais dikteta (kwa maana ya mbabe), atayepatikana kwa njia za kidemokrasia, aje atunyooshe na aache alama itayobakia kuwa muongozo kwa marais wataokuja...

Sasa yule mtu tuliyekuwa tukitamani aje awe tofauti na waliotangulia ndio huyu kaja, hebu tuwe wastahimilivu wakati tukiendelea kuishi ndani ya kile tulichokitaka...

The great man theory of leadership is outdated just as the divine right of kings was centuries ago.

Hii ina maana gani? Dunia ya sasa does not necessarily need better leaders. Inahitahiji systems bora.

Whether kuwa na kiongozi mlegezo au mkazaji little will change kama systems ni mbaya. Systems change leadership; not the other way round.

Tanzania inahitaji kuwa na systems nzuri with organisations and structures that allow citizens to get the work done.

We need to change our systems (personal or psychological level), small systems (cultural level) and large/complex systems (societal level). We need systemic change kuanzia chini kabisa.

Tumezoea system ya kuwa na positional leadership ambayo inampa kiongozi mamlaka makubwa mno.

This prevents human networks from realising their potentials. Punishing the person in charge of something will change little.

Huwezi kumweka mtu mwingine under the very same system and expect different result. Because changing leaders will not change the systems from which they emerged.

Siku hizi tunaishi kwenye jammii ya kimtandao (network). Kumtugemea mtu mmoja alete mabadiliko could potentially dumb-down the shole network. Kazi ya kiongozi ni kuisaidia network ifanye maamuzi bora.

Ili network ifanye maamuzi bora inahitaji kuwa na organisational structures zinazojiendesha zenyewe (self-governance).

Mfano kuhusu Brexit, Boris Johnson (Waziri Mkuu wa Uingereza) angefanya atakavyo kama kusingekuwa na systems bora nchi humo.

He tried dumb-down the whole UK network, but failed kwa sababu ya kuwepo kwa systems imara in the form of Parliament and the judiciary)

Ifike mahali tutambue kuwa leadership is a property of a network in balance.
 
Umefuatilia mjadala au unarukia tu?

Kama katiba ya nchi inatoa haki kwa watu kufanya mikutano ya kisiasa, halafu anakuja mtu mmoja tu na kukataza mikutano ya kisiasa, kinyume na katiba, hapo mfumo uko wapi?
Pole wee hatuendi popote tupo mpaka hasira ikuishe Mungu akuonee huruma...
 
Kwa taarifa yako huku mitandaoni ndio pekee unaweza kuonyesha hisia zako hasi dhidi ya rais. Kwani rais wetu Kawa rais kwakuwa kachaguliwa na watanzania wote 55m? Hivi ukitaka kujua una malaria unatoa damu yote mwilini kwenda kuipima? Kwa hiyo kwa huu utetezi wako unaamaanisha wote wanaomkubali hawatumii mitandao, na wote wasiomkubali wanatumia mitandao! Rekebisha utetezi wako boss.
Mapungufu yake sijawahi kuyakataa hata siku moja. Ni kweli anatumia ubabe na nguvu sehemu nyingine ambazo hazikutakiwa. Ila point yangu ni kuwa siyo mbaya kama wachangiaji wengi wanavyotaka tuamini.
 
Kiwango cha kuamini kila mtu ana chake.
 
Hao Dar si ndio hao kila siku wanafanyiwa hujuma za wazi, kama ingekuwa rahisi hivyo ni kipi kinafanya wahujumiwe? Jibu ni moja Dar/mijini ni turning point ya hao wa huko vijijini.
Hujuma IPI?
 
Hao unaowaita wanaelewa walishawahi kuifanyia nini nchi hii cha kustua zaidi ya kupiga?

Wanaelewa au wamelewa?

Bado tupo tupo sana...
Walimsomesha Jesca John Pombe Magufuli hadi Chuo Kikuu wakati Form IV alipata Div IV:30!! Isitoshe, kati ya hao niliowataja hakuna hata mmoja ambae alipiga mabilioni kwa kununua kivuko kibovu na kwa kuogopwa kuandamwa akaamua akakifiche jeshini, na hakuna hata mmoja ambae alimpatia demu wake nyumba ya serikali.
 
Bado haohao Wa mijini bado wanaomiliki visimu sumbufu ni wachache.

Propaganda ziliumbua watu kwenye kifo cha Mwl Nyerere na mpaka Leo kundi dogo linatumia nguvu kujifanya kundi kubwa kuaminisha watu kuwa wao ni wengi wasikilizwe.

Namuunga mkono JPM, - YY SIO MWANASIASA MZURI LKN ASICHOTAKA NI UPUMBAVU
Sasa kumbe kundi dogo, ya nini basi mnatoa mapovu dhidi ya kundi dogo?! Kwanini msilipuuze hilo kundi dogo?! Btw, mara ngapi Bashite amefanya upumbavu kwenye serikali yake na bado anae?! Kuna wasiasa wangapi waandamizi wa CCM wamefanya ufisadi wa kutisha nchi na hajawafanya chochote?!

Au hicho unachosema upumbavu ni nini hasa?! Ni hizi mbwembwe dhidi ya middle to low rank officers huku akiwagwaya top government officials ndio unataka kutudanganya kwamba hapendi upumbavu?!
 
Walimsomesha Jesca John Pombe Magufuli hadi Chuo Kikuu wakati Form IV alipata Div IV:30!! Isitoshe, kati ya hao niliowataja hakuna hata mmoja ambae alipiga mabilioni kwa kununua kivuko kibovu na kwa kuogopwa kuandamwa akaamua akakifiche jeshini, na hakuna hata mmoja ambae alimpatia demu wake nyumba ya serikali.
Kama vile nakuona unavyong'onyea baada ya uovu wenu kushindwa...Pole...Maisha hayana stress ukiombea wenzako mema...
 
Kama vile nakuona unavyong'onyea baada ya uovu wenu kushindwa...Pole...Maisha hayana stress ukiombea wenzako mema...
FYI, sijawahi kufanya kazi serikalini na haitatokea kufanya kazi serikalini hususani na serikali inayoongozwa na vilaza!!! On top of that, my life depends nothing from your government in any way! Hapo ndipo utakapogundua ulivyo lofa na majumuhisho yako unayoyafanya!!! Eti ninavyonyong'onyea... what a crap! We unadhani kwavile wewe unaishi kwa kupigia watu makofi unadhani kila mmoja yupo kama wewe!
 
pooza hasira usiumize moyo wako, kama hubabaiki hii serikali ya vilaza, povu lote hilo la nini? Waisiobabaika wanatulia majunbani mwao na wake/waume zao we hili povu tu linaashiria ni njaa kali tu asiyejua hata kesho yake...Pole!
 
Unaweza kuonesha ni wapi nimetoa povu?! Si maju'ha aina yako ndo mnashindwa kuelewa kilichoandikwa!! Watu tumeanza kuwa online wakati hata huyo Magu bado yupo shamba, kwahiyo huwezi kunipangia idiot!
 
Pole wee hatuendi popote tupo mpaka hasira ikuishe Mungu akuonee huruma...
Hujajibu nikichouliza na ulichojibu sijauliza.

Kwa msingi huu nakubali hamuendi popote.

Mtabaki kwenye umasikini, maradhi na ujinga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom