Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 831
- 770
Ulikuwa nchi gani kipind cha JKJpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa nchi gani kipind cha JKJpm hajafikia hata nusu ya alivyochukiwa Jk
Bado haohao Wa mijini bado wanaomiliki visimu sumbufu ni wachache.Yote hayo nimeeleza, kwamba
Na kama unaamini hao wengi ni wa mijini, pia kuna dhana nyingine kwamba walio na uelewa kidogo kwa Tanzania ni watu wa mijini kwa sababu ndiko angao ratio ya walioenda shule ni kubwa zaidi ukilinganisha na wale wa vijini!!!
Ukweli ni kwamba, tutabaki kumanga manga hadi atapotokea mtu mwingine...Sasa mtu mmoja akifariki ghafla, na hakuna mfumo endelevu, itakuwaje hapo?
Katiba tunayo na hatuifuati...Mkuu nimependa mchango wako, tatizo naliona kwa wanasiasa wenyewe, wao ni kikwazo cha kupatikana mgombea binafsi, laiti wangeachia njia hiyo kila mtu angetekeleza hisia zake binafsi. Sio huku ilani ya chama A inasema hivi, huku kiongozi anafuata anayotaka yeye.
Dar, ilikikataa chama cha mapinduzi, mikoani walikikubali chama cha mapinduzi.
Mwisho Wa siku matokeo unayajua. Mijini ni ujuaji tu , vijijini ni waamuzi Wa vitendo.
Kila zama na kitabu chake...
Tanzania ilimuhitaji Magufuli kwa wakati huu, na ndio wakati uliokubalika...
Hivi mbona ni kama tumesahau namna kila mmoja wetu alivyokuwa akimuomba Mungu wake tupate Rais anayekaza kidogo kuliko JK na waliopita?
Kuna wengine hadi tukadiriki kusema tunahitaji Rais dikteta (kwa maana ya mbabe), atayepatikana kwa njia za kidemokrasia, aje atunyooshe na aache alama itayobakia kuwa muongozo kwa marais wataokuja...
Sasa yule mtu tuliyekuwa tukitamani aje awe tofauti na waliotangulia ndio huyu kaja, hebu tuwe wastahimilivu wakati tukiendelea kuishi ndani ya kile tulichokitaka...
chenge na tibaijuka na ngereja?CHADEMA na ZITO KABWE na mafisadi ndio wanaomuombea mabaya rais, Watanzania wazalendo wote wanamuombea mema
Pole wee hatuendi popote tupo mpaka hasira ikuishe Mungu akuonee huruma...Umefuatilia mjadala au unarukia tu?
Kama katiba ya nchi inatoa haki kwa watu kufanya mikutano ya kisiasa, halafu anakuja mtu mmoja tu na kukataza mikutano ya kisiasa, kinyume na katiba, hapo mfumo uko wapi?
Ongeza volumeWaliomo humu JF wengi ni wapinga yale yote yanafanywa na JPM kwa sababu zao binafsi na kwa sababu za wale wanao watuma
Mapungufu yake sijawahi kuyakataa hata siku moja. Ni kweli anatumia ubabe na nguvu sehemu nyingine ambazo hazikutakiwa. Ila point yangu ni kuwa siyo mbaya kama wachangiaji wengi wanavyotaka tuamini.Kwa taarifa yako huku mitandaoni ndio pekee unaweza kuonyesha hisia zako hasi dhidi ya rais. Kwani rais wetu Kawa rais kwakuwa kachaguliwa na watanzania wote 55m? Hivi ukitaka kujua una malaria unatoa damu yote mwilini kwenda kuipima? Kwa hiyo kwa huu utetezi wako unaamaanisha wote wanaomkubali hawatumii mitandao, na wote wasiomkubali wanatumia mitandao! Rekebisha utetezi wako boss.
Mapungufu yake sijawahi kuyakataa hata siku moja. Ni kweli anatumia ubabe na nguvu sehemu nyingine ambazo hazikutakiwa. Ila point yangu ni kuwa siyo mbaya kama wachangiaji wengi wanavyotaka tuamini.
Hujuma IPI?Hao Dar si ndio hao kila siku wanafanyiwa hujuma za wazi, kama ingekuwa rahisi hivyo ni kipi kinafanya wahujumiwe? Jibu ni moja Dar/mijini ni turning point ya hao wa huko vijijini.
Hujuma IPI?
Walimsomesha Jesca John Pombe Magufuli hadi Chuo Kikuu wakati Form IV alipata Div IV:30!! Isitoshe, kati ya hao niliowataja hakuna hata mmoja ambae alipiga mabilioni kwa kununua kivuko kibovu na kwa kuogopwa kuandamwa akaamua akakifiche jeshini, na hakuna hata mmoja ambae alimpatia demu wake nyumba ya serikali.Hao unaowaita wanaelewa walishawahi kuifanyia nini nchi hii cha kustua zaidi ya kupiga?
Wanaelewa au wamelewa?
Bado tupo tupo sana...
Sasa kumbe kundi dogo, ya nini basi mnatoa mapovu dhidi ya kundi dogo?! Kwanini msilipuuze hilo kundi dogo?! Btw, mara ngapi Bashite amefanya upumbavu kwenye serikali yake na bado anae?! Kuna wasiasa wangapi waandamizi wa CCM wamefanya ufisadi wa kutisha nchi na hajawafanya chochote?!Bado haohao Wa mijini bado wanaomiliki visimu sumbufu ni wachache.
Propaganda ziliumbua watu kwenye kifo cha Mwl Nyerere na mpaka Leo kundi dogo linatumia nguvu kujifanya kundi kubwa kuaminisha watu kuwa wao ni wengi wasikilizwe.
Namuunga mkono JPM, - YY SIO MWANASIASA MZURI LKN ASICHOTAKA NI UPUMBAVU
Kama vile nakuona unavyong'onyea baada ya uovu wenu kushindwa...Pole...Maisha hayana stress ukiombea wenzako mema...Walimsomesha Jesca John Pombe Magufuli hadi Chuo Kikuu wakati Form IV alipata Div IV:30!! Isitoshe, kati ya hao niliowataja hakuna hata mmoja ambae alipiga mabilioni kwa kununua kivuko kibovu na kwa kuogopwa kuandamwa akaamua akakifiche jeshini, na hakuna hata mmoja ambae alimpatia demu wake nyumba ya serikali.
FYI, sijawahi kufanya kazi serikalini na haitatokea kufanya kazi serikalini hususani na serikali inayoongozwa na vilaza!!! On top of that, my life depends nothing from your government in any way! Hapo ndipo utakapogundua ulivyo lofa na majumuhisho yako unayoyafanya!!! Eti ninavyonyong'onyea... what a crap! We unadhani kwavile wewe unaishi kwa kupigia watu makofi unadhani kila mmoja yupo kama wewe!Kama vile nakuona unavyong'onyea baada ya uovu wenu kushindwa...Pole...Maisha hayana stress ukiombea wenzako mema...
pooza hasira usiumize moyo wako, kama hubabaiki hii serikali ya vilaza, povu lote hilo la nini? Waisiobabaika wanatulia majunbani mwao na wake/waume zao we hili povu tu linaashiria ni njaa kali tu asiyejua hata kesho yake...Pole!FYI, sijawahi kufanya kazi serikalini na haitatokea kufanya kazi serikalini hususani na serikali inayoongozwa na vilaza!!! On top of that, my life depends nothing from your government in any way! Hapo ndipo utakapogundua ulivyo lofa na majumuhisho yako unayoyafanya!!! Eti ninavyonyong'onyea... what a crap! We unadhani kwavile wewe unaishi kwa kupigia watu makofi unadhani kila mmoja yupo kama wewe!
Unaweza kuonesha ni wapi nimetoa povu?! Si maju'ha aina yako ndo mnashindwa kuelewa kilichoandikwa!! Watu tumeanza kuwa online wakati hata huyo Magu bado yupo shamba, kwahiyo huwezi kunipangia idiot!pooza hasira usiumize moyo wako, kama hubabaiki hii serikali ya vilaza, povu lote hilo la nini? Waisiobabaika wanatulia majunbani mwao na wake/waume zao we hili povu tu linaashiria ni njaa kali tu asiyejua hata kesho yake...Pole!
Hujajibu nikichouliza na ulichojibu sijauliza.Pole wee hatuendi popote tupo mpaka hasira ikuishe Mungu akuonee huruma...