Hivi ni akina nani hao mkuu 🤔 asee mi mwenyewe nilishaona hii kitu aseekuna watu wana nguvu ya kuwapelekesha hao top ten mpaka extra na wasifanye lolote ndo wana run nchi hao wote ni front tu na hamuwezi kuwajua
😁😁😁 deep stateNi kweli kabisa kuna watu wapo nyuma ya pazia na sijui ni akina nani labda the rothschild family ya kibongobongo asee
Umesahau lisu😂Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawish sana..
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any...
Hujui kama Waziri wa Ulinzi ndiye Rais mwingine wa mipaka ya Nchi yako?Bashungwa ana nguvu gani? Ungemuweka hata Mo Dewji na GSM
Hao wengine ni wafuasi tu,wenyewe ni JK na Rostam Aziz!Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawish sana..
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any...
Deep state ndo nn tena😁😁😁 deep state
Tunajadiri wenye nguvu sio wanaoingiza shingapi kwasiku kwamaana hio list siingekuwa ya majiri na MO anvekuwa wakwanzaBlack market we unajua anaingiza shs ngapi kwa siku
Acha kabisa
Hivi Rais anaweza shtushwa na kauli ya waziri wa ulinzi au mkuu wa majeshi???..Hujui kama Waziri wa Ulinzi ndiye Rais mwingine wa mipaka ya Nchi yako?
Kwaiyo hapo unasemaje wanaoiongoza nchi ni jk na rostam sioTunajadiri wenye nguvu sio wanaoingiza shingapi kwasiku kwamaana hio list siingekuwa ya majiri na MO anvekuwa wakwanza
Andrew chenge ni nani kwaniHivi Rais anaweza shtushwa na kauli ya waziri wa ulinzi au mkuu wa majeshi???..
By the way hapa tunapiga soga tu, huwezi kujua nani ana nguvu kama haupo kwenye hiyo system of power
Mfano mimi naweza kuhisi Andrew Chenge ana power kuliko wengi waliopo kwenye hiyo list Ila watu wa system wakawa na list yao tofauti kabisa
Gugo bro 😁Deep state ndo nn tena
OkGugo bro 😁
Google tu brother inaonekana vitu vingi vingi bado hujavisomaAndrew chenge ni nani kwani
Sasha ni nani kwanjHivi ninyi mnaelewa
SASHA
MAJALIWA
JAKAYA
hawa ndo watatu ukinibishia ni wewe Ila Nina Maana kubwa
Ni mbunge wa zamani wa jimbo la Kibaha mjini, sijui huyu jamaa Fortilo amemtaja kwasababu gani?Huyo Silvester Koka ndo nani!?