Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Habari,

Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawish sana..

1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.

Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa

Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..

This is so just you know, don't mess with any...
Umesahau lisu😂
 
Hao wengine ni wafuasi tu,wenyewe ni JK na Rostam Aziz!
 
Hujui kama Waziri wa Ulinzi ndiye Rais mwingine wa mipaka ya Nchi yako?
Hivi Rais anaweza shtushwa na kauli ya waziri wa ulinzi au mkuu wa majeshi???..

By the way hapa tunapiga soga tu, huwezi kujua nani ana nguvu kama haupo kwenye hiyo system of power

Mfano mimi naweza kuhisi Andrew Chenge ana power kuliko wengi waliopo kwenye hiyo list Ila watu wa system wakawa na list yao tofauti kabisa
 
Andrew chenge ni nani kwani
 
images (16).jpeg
 
Back
Top Bottom