Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Ni kweli ana nguvu ...naona watu wa Tiss walimbeba pale mama alipompiga chini...akarudishwa..
Lakini Mabeyo ana nguvu pia anastahili top ten ...Mama anamsikiliza Sana
Mabeyo alivoanza Mbwembwe wakat anapewa taarifa ya kustaafu nadhan ndipo alipopoteza reputation...
 

Toa bashungwa na Sylvester koka.
 
USHOGA NI NGUMU SANA KUISHA KWA SYYLE HII.
 
Bila kumuweka tajiri wetu anaekubali hasara ili tupate furaha, huu ni uzushi na upopoma pro max
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…