DALALI MKUU
JF-Expert Member
- May 7, 2022
- 2,011
- 4,705
nenda umuombe mashawishi mama Akupe Sehemu ya asali akishindwa njoo leta Mrejesho hapa. tatizo hamujamuelewa mleta madaHuyo January na Nape wanamshawishi nani hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nenda umuombe mashawishi mama Akupe Sehemu ya asali akishindwa njoo leta Mrejesho hapa. tatizo hamujamuelewa mleta madaHuyo January na Nape wanamshawishi nani hapo?
Mabeyo alivoanza Mbwembwe wakat anapewa taarifa ya kustaafu nadhan ndipo alipopoteza reputation...Ni kweli ana nguvu ...naona watu wa Tiss walimbeba pale mama alipompiga chini...akarudishwa..
Lakini Mabeyo ana nguvu pia anastahili top ten ...Mama anamsikiliza Sana
Labda ndiye anaamua nani awe rais.Munamkuza jamaa ananguvu gani yakukaa no 1 kupita viongozi wote hadi Raisi
Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Mpango ana nguvu gani? Zaidi ya cheo.Ina maana VP MPANGO hayupo????
USHOGA NI NGUMU SANA KUISHA KWA SYYLE HII.Habari,
Kila nchi ina watu wenye ushawish na watu wenye nguvu.
Wazungu husema power is no permanent and is always shifting, kwa sasa hawa ni watu wenye nguvu na ushawishi sana.
1. H.E Samia Hassan
2. Jakaya Kikwete
3. Abrahaman Kinana
4. Hussein Mwinyi
5. January Makamba
6. Freeman Mbowe
7. Mwigulu Nchemba
8. Ridhwan Kikwete
9. Innocent Bashungwa
10. Nape Nnauye.
Bonus
1. Rostam Aziz
2. Sylivester Koka
3. SS Bakheresa
.....
Extra..
1. Yuda Thadei Ruwaichi
2.George Mkuchika
3.George Simbachawene
4.Abubakar Zuber
5.Fedrick Shoo
6.Zitto Kabwe.
Kwa ground hizo ndio machinery zenye nguvu Tanzania kwa kipindi hiki..
This is so just you know, don't mess with any.
Huyo Silvester Koka ndo nani!?
AahhaaaaaaaMbuge wa kibaha mjini. Nadhani atakuwa mtoa mada, amwjiweka. Maana huyo koka hata Hana impact
Vita ya ujuhumu uchumi mwaka 1984 nilikuwa darasa la tano mkuuDaaah hivi mkuu una miaka mingapi samahani kwa kuuliza lkn
Umeme unakatakata na mabando yamepanda lakini mama anawaelewaHuyo January na Nape wanamshawishi nani hapo?