Maoni: Watu Kumi wenye nguvu zaidi Tanzania kwa sasa (Ten most powerfull people)

Umekariri, Powerful hapo ni police. Hakuna cha Samia Wala dagaa wengine wengine.

Bila police CCM ni wepesi kama mabua
 
Daaah! Ongea na mshua huyu na ding ake mama ndo kawatukuza haya bwana waache wavimbe wakati wao huu. Si wengine kulakula yetu2 yamashaka
 
Unawajua maaskofu wewe au umezaliwa juzi?
 
Wapo wapi akina Majaliwa Majaliwa Majaliwa Taslimu na Philips Mapambo?
 
Deep State Kwa Tanzania;
1. Jeshi + usalama Wa taifa na vyombo vingine.


2. Kanisa Katoliki.

3. Wakuu wa Vyombo vya dola (Rais, Jaji, Spika).

4. Watu wa CCM.

5. Wastaafu wenye akili, Butiku, Waryoba na wenzao.

6. Wafanyabiashara; Mo, Rostam etc


7. Mabalozi & Majasusi wa nchi za kijamaa na Kibepari (Note; Tanzania haina msimamo Kwa sababu ya umaskini wake).

Hayo ndio makundi 7 yanayoongoza show hapa nchini na sio mtu mmoja kama wengine wanavyodai.

NB. Nimetoa hiyo elimu bure kwa sababu ya mwezi mtukufu vinginevyo nisingekubali.
 
Kwenye orodha yako ingepaswa pia kuwa na watu kama Mohamed Enterprise na Gharib Said. Nguvu zao katika uwekezaji ikiwemo soka unajidhihirisha kwa uwazi kabisa. Aidha hawakosekani pia baadhi ya viongozi wa kidini kama vile Mwamposya na
Gwajima ambao wakiamua kufanya mihadhara ya kidini utaona kwa udhahiri kabisa nguvu za mvuto wao.
 
Ridhiwani Kikwete mnajaza upepo wa bure hana influence yoyote zaidi ya kivuli cha JK
Hata Bashite alithubutu kumtaja kati ya wauza "sembe" wakubwa.
Fact, hata Diamond wa Bongo flavor ana influence zaidi ya Ridhiwani. Huyu dogo mikoani ndanindani wala hawamtambui.
 
Inatafakarisha.
 
Eti usingekubali, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wapi ww
 
Useless list.
If yes, is it necessary?.
There's only one most powerful person in the country: The president.
 
Hakuna nguvu hapo ni vyeo tuu vya kupita, miaka 2 iliyopita alikuwa Makonda na wapuuzi wenzake ambao sasa wanajificha kama pacha wanaowindwa msituni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…