Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Tanzania tu timu inaazima kocha halafu Chama cha soka kinakaa kimya. Kocha siyo kama Sox za kichezea kwamba hazina madhara. Tunataka kuona hili linasemwa na huyo mmiliki wa soka Tanzania. Timu 2 zinawezaje kuwa na kocha mmoja kwa wakati mmoja huku moja ikishukuru nyingine kwa kukubali kuazimwa?Kwaiyo Bumbuli kwa maneno mengine anasemaaaa....! Kosto akikutana Na Simba huyu Mgunda atawaelekeza Kosto Wafungishe
10 - 0 Maana Nane Na halafu Saba washafungwa.
Yaani Kule Utopolo Kweli wote Kichwani ni Maboga isipokuwa JK Na Mzee Manara.. Huyu Alikuwa Kiongozi Sasa fikiria shabiki Wa Kawaida anawaza nini?
Ficha ujinga wako basi. Kuna kocha mchezaji sembuse kuazimwa tena kwa mashindano ya nje. As long as Ana vibali vya kufanya kazi nchini kocha mmoja anaweza kufundisha hata club Tatu inategemeana na makubaliano ya kocha na vilabu husikaNi Tanzania tu timu inaazima kocha halafu Chama cha soka kinakaa kimya. Kocha siyo kama Sox za kichezea kwamba hazina madhara. Tunataka kuona hili linasemwa na huyo mmiliki wa soka Tanzania. Timu 2 zinawezaje kuwa na kocha mmoja kwa wakati mmoja huku moja ikishukuru nyingine kwa kukubali kuazimwa?
Only in Tanzania.Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;View attachment 2350067
Ilimradi na yeye acomment mkuu..yani kila kitu TFF izungumze TFF izungumzee duhhhFicha ujinga wako basi. Kuna kocha mchezaji sembuse kuazimwa tena kwa mashindano ya nje. As long as Ana Vitali vya kufanya kazi nchini kocha mmoja anaweza kufundisha hata club Tatu inategemeana na makubaliano ya kocha na vilabu husika
Yanga ilikuwa chini Mgunda?swala Kuna ubora wowote alio yesha dhidi ya Simba au aliuza mechi hizoHuyo Bumbuli nae kichwa maji tu, Coastal kufungwa 7-0 na Simba sio sababu, hata Yanga yake ilishawahi pigwa 5-0 na Simba, atulie.
Japo huu uamuzi wa Simba kumuazima Mgunda hata sijauelewa mantiki yake.
Mbona nyie tuliwabamiza goli 6-0,5-0,4-1 na bado 1998 tuliwaazima wachezaji 3 kucheza robo fainali ligi ya mabingwa afrika hii imekaajeOnly in Tanzania.
Unataka kusema nyie mlivyobamizwa 6-0,5-0,4-1 mliuza mechi kwa vile tu mlipata vichapo vikali kutoka kwa mnyama simba?Yanga ilikuwa chini Mgunda?swala Kuna ubora wowote alio yesha dhidi ya Simba au aliuza mechi hizo
Hajitambui huyoKwaiyo Bumbuli kwa maneno mengine anasemaaaa....! Kosto akikutana Na Simba huyu Mgunda atawaelekeza Kosto Wafungishe
10 - 0 Maana Nane Na halafu Saba washafungwa.
Yaani Kule Utopolo Kweli wote Kichwani ni Maboga isipokuwa JK Na Mzee Manara.. Huyu Alikuwa Kiongozi Sasa fikiria shabiki Wa Kawaida anawaza nini?
Coast wamesema hawana mkataba na Mgunda kwahyo kwenda simba ni matakwa yake binafsiNi Tanzania tu timu inaazima kocha halafu Chama cha soka kinakaa kimya. Kocha siyo kama Sox za kichezea kwamba hazina madhara. Tunataka kuona hili linasemwa na huyo mmiliki wa soka Tanzania. Timu 2 zinawezaje kuwa na kocha mmoja kwa wakati mmoja huku moja ikishukuru nyingine kwa kukubali kuazimwa?