Maoni ya Hassan Bumbuli kuhusu Kocha Juma Mgunda

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kupitia ukurasa wake wa twitter ameweka maoni yake kama ifuatavyo;
FDAEED49-D60D-49F7-9338-0AF5FCF63D22.jpeg
 
Kwaiyo Bumbuli kwa maneno mengine anasemaaaa....! Kosto akikutana Na Simba huyu Mgunda atawaelekeza Kosto Wafungishe
10 - 0 Maana Nane Na halafu Saba washafungwa.
Yaani Kule Utopolo Kweli wote Kichwani ni Maboga isipokuwa JK Na Mzee Manara.. Huyu Alikuwa Kiongozi Sasa fikiria shabiki Wa Kawaida anawaza nini?
 
Ni Tanzania tu timu inaazima kocha halafu Chama cha soka kinakaa kimya. Kocha siyo kama Sox za kichezea kwamba hazina madhara. Tunataka kuona hili linasemwa na huyo mmiliki wa soka Tanzania. Timu 2 zinawezaje kuwa na kocha mmoja kwa wakati mmoja huku moja ikishukuru nyingine kwa kukubali kuazimwa?
 
Ficha ujinga wako basi. Kuna kocha mchezaji sembuse kuazimwa tena kwa mashindano ya nje. As long as Ana vibali vya kufanya kazi nchini kocha mmoja anaweza kufundisha hata club Tatu inategemeana na makubaliano ya kocha na vilabu husika
 
Ficha ujinga wako basi. Kuna kocha mchezaji sembuse kuazimwa tena kwa mashindano ya nje. As long as Ana Vitali vya kufanya kazi nchini kocha mmoja anaweza kufundisha hata club Tatu inategemeana na makubaliano ya kocha na vilabu husika
Ilimradi na yeye acomment mkuu..yani kila kitu TFF izungumze TFF izungumzee duhhh
 
Huyo Bumbuli nae kichwa maji tu, Coastal kufungwa 7-0 na Simba sio sababu, hata Yanga yake ilishawahi pigwa 5-0 na Simba, atulie.

Japo huu uamuzi wa Simba kumuazima Mgunda hata sijauelewa mantiki yake.
Yanga ilikuwa chini Mgunda?swala Kuna ubora wowote alio yesha dhidi ya Simba au aliuza mechi hizo
 
Unataka kusema nyie mlivyobamizwa 6-0,5-0,4-1 mliuza mechi kwa vile tu mlipata vichapo vikali kutoka kwa mnyama simba?
 
Kwaiyo Bumbuli kwa maneno mengine anasemaaaa....! Kosto akikutana Na Simba huyu Mgunda atawaelekeza Kosto Wafungishe
10 - 0 Maana Nane Na halafu Saba washafungwa.
Yaani Kule Utopolo Kweli wote Kichwani ni Maboga isipokuwa JK Na Mzee Manara.. Huyu Alikuwa Kiongozi Sasa fikiria shabiki Wa Kawaida anawaza nini?
Hajitambui huyo
 
Ni Tanzania tu timu inaazima kocha halafu Chama cha soka kinakaa kimya. Kocha siyo kama Sox za kichezea kwamba hazina madhara. Tunataka kuona hili linasemwa na huyo mmiliki wa soka Tanzania. Timu 2 zinawezaje kuwa na kocha mmoja kwa wakati mmoja huku moja ikishukuru nyingine kwa kukubali kuazimwa?
Coast wamesema hawana mkataba na Mgunda kwahyo kwenda simba ni matakwa yake binafsi
 
Back
Top Bottom