Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

Uchaguzi 2020 Maoni ya Jeffery Smith juu ya Uchaguzi wa Tanzania 2020

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
The Magufuli regime in #Tanzania “knows they cannot win on an equal political playing field ... They use any means necessary, including violence, to try to silence the opposition. This is a clear sign of weakness, not strength."

1592965865509.png

Fears that President Magufuli will create a dictatorship in Tanzania
President Magufuli during an official visit to Kenya the year after he took office promising to tackle corruption

President Magufuli during an official visit to Kenya the year after he took office promising to tackle corruption

THOMAS MUKOYA/REUTERS

Tanzania dissolved its parliament and set course for an election in October days after an opposition leader was badly beaten and laws were passed granting senior government figures immunity from prosecution.

There is growing concern that President Magufuli, who took office in 2015 promising to tackle corruption, wants to create a dictatorship.

A range of amendments approved by MPs will protect senior ministers from any legal action in the course of governing. Critics say the legislation effectively hands “powers to continue violating constitutional rights” to President Magufuli whose time in office has been marked by crushing freedoms and dissent.

The latest beating of a senior opposition figure came only hours after Tundu Lissu, Mr Magufuli’s most high-profile critic, announced he would return from exile

Fears that President Magufuli will create a dictatorship in Tanzania
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.

Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.

Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.

Unawezaje kumhukumu mtu kuwa hawezi wakati hapewi nafasi?
 
We are a cutting edge, wholly unique nonprofit launched in 2016 with a simple goal: to build and promote democratic solutions for African nations.
Ni muanzilishi wa hii NGO

Vanguard Africa... twende hatua moja zaidi.. ya kuwa na NGO/chombo ambacho kinaweza kumlazimisha dictator wa africa kuwa hapa hapana, tunakuja kama hili hutalirekebisha. Lakini hizi NGO za matamshi, kwa madikiteita kama wa kwetu ni kutwanga maji kwenye kinu! (najua ni ngumu kuwa na kitu kama hicho, lkn tunze kuona uwezekano wa hili)
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.

Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
Pascal Mayalla, Magufuli Ni mwoga kuliko kunguru. Kwanini hakuwakemea wale Wasukuma wachawi wa Gamboshi waliposema watamuua mtu yeyote atakaye chukua fomu CCM kushindana na Magufuli?
Kwanini fomu ya urais CCM Tanzania 🇹🇿 Bara itolewe moja tu?
Jibu rahisi ni kwamba Magufuli kausoma upepo, kwamba hata angeshindana na Kingwendu kamati kuu ingempiga chini na kumpendekeza Kingwendu, full stop.
Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli
 
Aiseeeee akili za wasomi wa nchi hii wengi huwa zinanipa shida sana wakati mwingine mpaka najikuta naghairi kwenda kusoma degree yangu ya kwanza, nikuulize swali? Unafikiri wakati tunakabidhiwa nchi na wakoloni mwaka 1961, tulikuwa credible enough kuweza kukabidhiwa nchi? Au unaongea tu hutaki kufikirisha akili yako kureason?
 
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.

Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
upo sahihi mkuu.
hata wakoloni na wapiga debe wao nao pia walikuwa wakisema hivi hivi dhidi ya Mwalimu Nyerere enzi za kupigania Uhuru wa Tanganyika.
ni historia inajirudia.
 
We are a cutting edge, wholly unique nonprofit launched in 2016 with a simple goal: to build and promote democratic solutions for African nations.
Ni muanzilishi wa hii NGO
Anachoweza kusaidia ni ku'highlight' maovu yote yanayofanyika na kuyaweka wazi dunia iyajue yanapotokea.

Na ili hili liweze kuwa la msaada zaidi, ni jukumu la vyama hivi vya upinzani kuwa makini sana na hujuma zote wanazofanyiwa, kuzitambua, kuzikusanya na kuziwekea ushahidi kamili wakati wowote zinapotokea.

Kwa hiyo, wapinzani ni lazima wawe na njia mahsusi kila mara, za kukusanya ushahidi wa matukio yote yanapotokea. Hii ni kazi wanayotakiwa wawe wamejiandaa vyema kuifanya.

Haya mambo ya akina Mbowe kuvunjwa mguu, na kugeuziwa kbao, hayakukoma na Lissu kumiminiwa risasi na kudaiwa ni CHADEMA wenyewe waliomfanyia hayo.

Kama mifano yote hii bado haijawapo mafunzo, sijui ni nini kitawafunza.

Hivi vyama ni lazima viwe na vitengo imara vya ulinzi wakati huu; ulinzi ni pamoja na kukusanya taarifa mbalimbali juu ya matukio yanayokihusu chama.

Mkuu, 'Sky Eclat', ni kama ninakufuatilia kila mahali! Nitakomea hapa.
 
Vanguard Africa... twende hatua moja zaidi.. ya kuwa na NGO/chombo ambacho kinaweza kumlazimisha dictator wa africa kuwa hapa hapana, tunakuja kama hili hutalirekebisha. Lakini hizi NGO za matamshi, kwa madikiteita kama wa kwetu ni kutwanga maji kwenye kinu! (najua ni ngumu kuwa na kitu kama hicho, lkn tunze kuona uwezekano wa hili)
Unapanga kuvuruga amani ya Tanzania, wewe utakuwa mhaini
 
Smith ni ka Beberu kadogo kako huko ubeberuni kajua ku twit basi ana m under rate Mh. Rais wetu, just ignore him, kujibu jibu vibeberu vya aina hii tutaonekana of low IQ.
Smith ameshawahi kuishi Tanzania miaka zaidi ya 4 na haya maoni yake aliyopost ni baada ya kufanya tafiti..
Sometimes kama hamjui kitu ni Bora utulie Kwanza......makachero wapo wengi wanafanya Yao ili chama chenu cha kijani kipigwe chini October
 
Back
Top Bottom