Jeffrey ni nani
ukweli mtupu Jumatatu hadi Jumatatu!
Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu Buana!, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Hata Gavana wa Uingereza hakuamini kama Mwalimu Nyerere na TANU wanaweza kuiongoza Tanganyika. Matokeo yake umeyaona mwenyewe.Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
P
We are a cutting edge, wholly unique nonprofit launched in 2016 with a simple goal: to build and promote democratic solutions for African nations.
Ni muanzilishi wa hii NGO
Pascal Mayalla, Magufuli Ni mwoga kuliko kunguru. Kwanini hakuwakemea wale Wasukuma wachawi wa Gamboshi waliposema watamuua mtu yeyote atakaye chukua fomu CCM kushindana na Magufuli?Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
upo sahihi mkuu.Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
Wanadhani Tanzania kuna serious na credible opposition ya kuweza kukabidhiwa Ikulu yetu!.
It's very unfortunately hawajui kuwa Tanzania hatuna upinzani wowote wa maana wenye uwezo wa kushika dola!. Huu upinzani uliopo ni upinzani uchwala!.
Kwa uchaguzi huu wa 2020, japo ni mchungu kumeza ila ndio ukweli wenyewe
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.
P
Anachoweza kusaidia ni ku'highlight' maovu yote yanayofanyika na kuyaweka wazi dunia iyajue yanapotokea.We are a cutting edge, wholly unique nonprofit launched in 2016 with a simple goal: to build and promote democratic solutions for African nations.
Ni muanzilishi wa hii NGO
Jeffrey ni nani
Nenda kagoogleJeffrey ni nani
Unapanga kuvuruga amani ya Tanzania, wewe utakuwa mhainiVanguard Africa... twende hatua moja zaidi.. ya kuwa na NGO/chombo ambacho kinaweza kumlazimisha dictator wa africa kuwa hapa hapana, tunakuja kama hili hutalirekebisha. Lakini hizi NGO za matamshi, kwa madikiteita kama wa kwetu ni kutwanga maji kwenye kinu! (najua ni ngumu kuwa na kitu kama hicho, lkn tunze kuona uwezekano wa hili)
Smith ameshawahi kuishi Tanzania miaka zaidi ya 4 na haya maoni yake aliyopost ni baada ya kufanya tafiti..Smith ni ka Beberu kadogo kako huko ubeberuni kajua ku twit basi ana m under rate Mh. Rais wetu, just ignore him, kujibu jibu vibeberu vya aina hii tutaonekana of low IQ.