Tanzania opposition is not strong and is not credible!!!
Kuuwawa kwa George Floyd Marekani alisemaje ?
Sasa P kuiongoza Tanzania kunahitaji akili gani? Hivi kama M ameweza nani atashindwa kuongoza, huo upinzani una nini mpaka ushindwe kuongoza?Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!.
NGO feki hizo,huyo anatumika tu na mabeberu wenzieWe are a cutting edge, wholly unique nonprofit launched in 2016 with a simple goal: to build and promote democratic solutions for African nations.
Ni muanzilishi wa hii NGO
Wishful thinkingHivi magu mbona analazimisha watu wasahau hata yale mazuri aliyoyafanya? Hivi anajua kuwa mwelekeo ni kuwa ataondolewa vibaya kwenye hicho kiti kwa hii tabia inayo lazimishwa na wapambe wake ambao moto ukiwaka watamkana kuwa alikuwa haambiliki?
Yeye kama anaendesha mambo mpaka "atajisikiaje atakapoamka" halafu kina Pascal Mayalla wanamsifia kuwa hakuna kama yeye basi shauri yake. Kuna siku kilio kitakuwa chake pekee na wanae kina Jeska hao kina Pascal wakigongeana glass za whiskey!
Mbona spika alimfukuza lisu ubungeTukio la hivi karibuni la KUUWAWA kwa George kwa ubaguzi wa rangi kule Marekani mbona alikaa kimya?
Tutaacha lini mawazo ya kitumwa?
Wanajidanganya tu, wangejua upinzani Tanzania hata Ngazi ya mashina hawana ,hawajui hata wana mtaji wa wapiga kura wangapi ,Duh...!. Hawa mabeberu wa kizungu, wanahaha sana!. Wanadai kukiwa na uwanja sawa wa ushindani, Magufuli na CCM hawawezi kushinda!.
Duh...!.
Masikini Wazungu hawa tuwasamehe bure tuu!...
Kwa vile unakula kekiUnapanga kuvuruga amani ya Tanzania, wewe utakuwa mhaini
nimegoogle tayariNenda kagoogle
Japo nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao, na serikali haingilii imani za watu wake, hivyo miongoni mwa dini hizo ni dini za asili. Hao unaowaita wachawi wa Gamboshi sio wachawi bali ni 'wazee' wataalamu wa kiasili wa Kisikuma, ambao wanatumia utaalamu wa sayansi za asili, kufanya 'mambo' na kwa kutumia utaalamu huo, wamebaini ni rais Magufuli pekee ndiye aliepangiwa kuendelea kuwa rais wa JMT, na kwamba yoyote ambaye angechukua fomu CCM kumpiga, kifo cha kiasili kingemkumba.Pascal Mayalla, Magufuli Ni mwoga kuliko kunguru. Kwanini hakuwakemea wale Wasukuma wachawi wa Gamboshi waliposema watamuua mtu yeyote atakaye chukua fomu CCM kushindana na Magufuli?
Kwanini fomu ya urais CCM Tanzania 🇹🇿 Bara itolewe moja tu?
Jibu rahisi ni kwamba Magufuli kausoma upepo, kwamba hata angeshindana na Kingwendu kamati kuu ingempiga chini na kumpendekeza Kingwendu, full stop.
Simiyu: Waganga wa jadi kutoka Gamboshi na Bariadi wadai kumloga Mwana CCM atakayechukua fomu kumpinga Magufuli
Duh...!. Huku ni kumtishia maisha Jesca kuwa kuna kitu kitamfika Baba Jesca!, hili ni kosa la jinai la kusababisha kilio kwa maneno!.Kuna siku kilio kitakuwa chake pekee na wanae kina Jeska hao kina Pascal wakigongeana glass za whiskey!