Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
305
Reaction score
728
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.

Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
Kazi za EWURA ni zipi ambazo zina gharana kubwa kiasi hicho cha kupewa 9/= kwa kila lita ya mafuta mara mamiioni ya lita kwa mwaka?
 
Kazi za EWURA ni zipi ambazo zina gharana kubwa kiasi hicho cha kupewa 9/= kwa kila lita ya mafuta mara mamiioni ya lita kwa mwaka?
EWURA wangeifutilia mbali kbs haina tija hata robo. Akina Kaguo wapo kuneemesha ufupi tu. Wanalipana pesa ndefu sana TPDC angeweza kuifanya hii kazi.
 
Ushawahi kuuliza vifaru na meli za kivita tunanunuaje?
 
Mara ya mwisho Tanzania kununua vifaru ni lini, type na model gani na units ngapi. Meli za kivita ninachojua hatuna hatujawahi nunua kuna used tulipewa na China bure.

Bajeti ya wizara ya ulinzi ipo
Ulitaka hizo procurement za jeshi zitangazwe itv? Toka tupate uhuru umeshawahi kusikia kwenye media jeshi limenunua vifaru? Acha kubalehe uzeeni.
 
Tuzitoe halafu tupe mbadala wa mapato
 
Muta sema YOTE...where is BEN SAƀNANE
 
Mara ya mwisho Tanzania kununua vifaru ni lini, type na model gani na units ngapi. Meli za kivita ninachojua hatuna hatujawahi nunua kuna used tulipewa na China bure.

Bajeti ya wizara ya ulinzi ipo
Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu

Ova
 
Kuna hoja inakwepwa hapa tuambiane ukweli. Bei ya mafuta kwa nchi rafiki na urusi na zisizofungamana upande wowote, NAM, haijaathiriwa na vita hii. Sasa Tanzania tuko NAM, kwanini tuathiriwe?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…