Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

Kunyweni bia hazijapanda bei, acheni kulialia.
 
Kama kuwateka kangoye, azori na Ben sa8 na kuwachinja ni siri pia??
Tnataka katiba mpya

Mbowe anajivunia kenge kama hawa, when his mafia plans goes successfully unnoticed ni kugonga mvinyo tu.
 
Ipo haja watu wajifunze jinsi ya kuzalisha diesel na petrol kwa kutumia malighafi taka za plastic zilizozagaa mitaani,hii itasaidia kusafisha mazingira pia.
KILA mwenye gari akijitengenezea mwenyewe mafuta inakuwa poa. Vipo viplant vidogo unaagiza China
 
Matumizi ya kodi zetu hayatakiwi yawe siri
Hawa jamaa ni wapuuzi hawana hata exposure dunia inaendaje. Nchi zote zenye akili bajeti za wananchi zinajulikana, nchi inayoficha matumizi ya jeshi siku zote huwa ina performance mbaya mno ikifikiwa kuhitajika kutumia hilo jeshi kujilinda. Mnavyodhania mnavyo mnajikuta hamna siku mkivamiwa.
Si waone hata South Africa jeshi lao lilivyo na transparency na bunge linaunda kamati kuchunguza matumizi na matatizo yaliyopo
 
Wezi tu,kuna siri duniani?
 
Na bado hao hao EWURA kwenye umeme wanapiga 3% ya manunuzi [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kazi za EWURA ni zipi ambazo zina gharana kubwa kiasi hicho cha kupewa 9/= kwa kila lita ya mafuta mara mamiioni ya lita kwa mwaka?
 
Hawa jamaa ni wapuuzi hawana hata exposure dunia inaendaje. Nchi zote zenye akili bajeti za wananchi zinajulikana, nchi inayoficha matumizi ya jeshi siku zote huwa ina performance mbaya mno ikifikiwa kuhitajika kutumia hilo jeshi kujilinda. Mnavyodhania mnavyo mnajikuta hamna siku mkivamiwa.
Si waone hata South Africa jeshi lao lilivyo na transparency na bunge linaunda kamati kuchunguza matumizi na matatizo yaliyopo

Kama hatutajifunza hapo Ukraine na Russia basi. Russia kadhalilika sana ndege vita, attacking hedikoptas na vifaru vyao vimenyanyaswa mno na waUkrine. Silaha zinazotumika nyingi ni za mabegani na Snipers wamechukua ujiko kweli kwenye hii vita.
 
Linchi lako la kiboya, kila kitu ni kuwakamua wananchi, mara miamala, ohh tozo na ushenzi mwingine kt mafuta,
sasa magari tumepaki na miamala tnafanya kwa mbaali tuwaone nyie mbwa mtamkata nani.
Mbwa nyie mnaokeraa bana
Chungulia barabarani uone foleni za magari, umepaki starlet yako (baby walker) unataka kumjumuisha na nani
 
Back
Top Bottom