Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

Maoni ya mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta nchini

Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu

Ova
Acheni ungese...kipindi wanaleta zile ndege Za vita walizisifu Sana Na kuanza kuzipitisha Tanzania nzima.
Bongo vifaru vilivyopo Ni vya Enzi Za mwalimu
Na Mimi naongea kama mtu WA ndani kabisa
 
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.

Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
View attachment 2214474
View attachment 2214492

Taka taka huyu mtu!
Bei ya mafuta Zambia ni chini zaidi ya TZ na sisi Tunduma tunaenda Nakonde Zambia kununua mafuta kwa bei ya chini sana.Au Zambia wao vita vya Ukraine haviwahusu tena wanalipia bandari ya Dar kupitisha mafuta yao!

Hii takataka iambiwe kuwa bei ya lita moja ikifika bandari ya Dar toka tulipo nunua ni tsh 1,500 kisha hiyo lita inaingizwa zaidi ya kodi 20 na kufanya bei ifikie 3,000+

Iambieni hiyo takataka amshauri afute kodi za mafuta ibaki sales tax na emission tax tu uone kama mafuta hatutapata kwa tsh 2,500
 
Taka taka huyu mtu!
Bei ya mafuta Zambia ni chini zaidi ya TZ na sisi Tunduma tunaenda Nakonde Zambia kununua mafuta kwa bei ya chini sana.Au Zambia wao vita vya Ukraine haviwahusu tena wanalipia bandari ya Dar kupitisha mafuta yao!
Aina hiyo ya watu ni vibaraka, ni wale wanatumwa wakaseme bila kujua kuna wasomi wanaelewa kumpita anachokisema
 
Ushawahi kuuliza vifaru na meli za kivita tunanunuaje?
Acheni kutuonea mmeshindwa kukata huko kwenye makinikia na mnakouza gesi ya mtwara ili mnunue hayo mavifaru mnakuja kumbebesha mwananchi ambaye hajui hata kesho yake ale nini. Tumieni busara na akili kwenye matozo yenu
 
Kumshabiki kenge, nawe unakuwa kenge AUTOMATIKALI.

wese mpaka linafika bandari salama haizidi 1600, ila yanapigwa kodi hayo, tena kodi za kichizi chizi mpaka kufika 3000 na chenji chenji.

Ni vile tu sisi watanzania ni mapopoma huwa tunaishia kupiga kelele mtandaoni kwa muda mfupi halafu jii, tunakubali maisha yaende.
Ingekuwa ni mataifa wanachi wanajielewa, hapa watu wapo road, kodi za kiboya zoote zinatolewa.

Hii amani tunayoaminishwa ndio imetufanya watanzania kuwa wapumbavu kuliko viumbe woote duniani.
 
Ulitaka hizo procurement za jeshi zitangazwe itv? Toka tupate uhuru umeshawahi kusikia kwenye media jeshi limenunua vifaru? Acha kubalehe uzeeni.
Wenzio shahawa wanatumia kutungia mimba wewe unatumia kufikiri. Ukitangaza procurement za jeshi unakufa? Mbona silaha zote tulizonazo zinajulikana unamficha nani. Vifaru vya miaka ya 1960s vile ndio unasema tunanunua kwa kodi za kila siku? Stupid
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
Yaani hiki pia ndicho walichofanya TRA nao hadi magari nayo yaonekane ni anasa sana bongo.

Serikali haimsaidii kabisa mtanzania,inazidi kumuumiza,haiwezekani bei ya kununulia hiyo bidhaa huko ilipozalishwa iwe ndogo kuliko bei ya kuigomboa ikiwa Tz.

Kiukweli tuna udhaifu mkubwa sana wa kubuni vyanzo vya mapato mwisho wa siku anayeumizwa ni mwananchi
 
Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu

Ova
Hakuna siri kwenye kumiliki silaha. Zote tunazijua hazikai mfuko wa shati kwamba haizonekani. Kenya wana silaha kibao na wanatumia hela ya budget halisi iliyoidhinishwa na Bunge. Tanzania ile Navy yetu haina hata zana za kutosha kuzuia uvuvi haramu wala uokoaji sembuse maritime security.

Tukija kwenye military helicopters uko ndio hopeless kabisa
 
Yaani hiki pia ndicho walichofanya TRA nao hadi magari nayo yaonekane ni anasa sana bongo.

Serikali haimsaidii kabisa mtanzania,inazidi kumuumiza,haiwezekani bei ya kununulia hiyo bidhaa huko ilipozalishwa iwe ndogo kuliko bei ya kuigomboa ikiwa Tz.

Kiukweli tuna udhaifu mkubwa sana wa kubuni vyanzo vya mapato mwisho wa siku anayeumizwa ni mwananchi
Kodi tu ya kuimport tu gari unanunua gari.
Still wanaprimitive idea ya kuona gari ni anasa
 
Hakuna siri kwenye kumiliki silaha. Zote tunazijua hazikai mfuko wa shati kwamba haizonekani. Kenya wana silaha kibao na wanatumia hela ya budget halisi iliyoidhinishwa na Bunge. Tanzania ile Navy yetu haina hata zana za kutosha kuzuia uvuvi haramu wala uokoaji sembuse maritime security.

Tukija kwenye military helicopters uko ndio hopeless kabisa
Matumizi ya kodi zetu hayatakiwi yawe siri
 
Halafu huyo anayehojiwa kwenye hiyo video ni mpumbavu mmoja tu,ni kada la mataahira CCM,yupo Serikalini huko Kilosa ni kiafisa tawala,kinasubiri teuzi ,kinaitwa Malupu na kilishawahi kugombea urais kikaliwa mil1 moja yake ya fomu 2020.

Sasa hv kimehamishiwa Mbeya chuo gani sijui,hakiwezi kuongea ukweli wa kumsaidia mama zaidi ya kumpamba ili aendelee kupata teuzi.
 
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.

Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
View attachment 2214474
View attachment 2214492
Haya MÀTAGA ya Morogoro ndiyo yametufiksha hapa tulipo,
Ndiyo maana mbunge wao aliwapa mabasi machakavu ya kupeleka wafu wakazikwe badala ya kupeleka madawa Mahospitalini ili wasife.
 
Tuzitoe halafu tupe mbadala wa mapato
Linchi lako la kiboya, kila kitu ni kuwakamua wananchi, mara miamala, ohh tozo na ushenzi mwingine kt mafuta,
sasa magari tumepaki na miamala tnafanya kwa mbaali tuwaone nyie mbwa mtamkata nani.
Mbwa nyie mnaokeraa bana
 
Back
Top Bottom