Acheni ungese...kipindi wanaleta zile ndege Za vita walizisifu Sana Na kuanza kuzipitisha Tanzania nzima.Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu
Ova
Wa adjust hapa.14. Fuel levy 513.00
Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
View attachment 2214474
View attachment 2214492
Au madege ya airwing
Anayajua haya?Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
View attachment 2214474
View attachment 2214492
Na ile budget ya Ulinzi inayopitishwa Bungeni ni ya kazi gani!? Acheni ufisadi hauna afya kwa Taifa!!Ushawahi kuuliza vifaru na meli za kivita tunanunuaje?
Aina hiyo ya watu ni vibaraka, ni wale wanatumwa wakaseme bila kujua kuna wasomi wanaelewa kumpita anachokisemaTaka taka huyu mtu!
Bei ya mafuta Zambia ni chini zaidi ya TZ na sisi Tunduma tunaenda Nakonde Zambia kununua mafuta kwa bei ya chini sana.Au Zambia wao vita vya Ukraine haviwahusu tena wanalipia bandari ya Dar kupitisha mafuta yao!
Wapewe BOT yote yajichotee wanavyotaka,tuone Kama shida zao zitaisha zote!!Basi wapewe 20/= kabisa hawa ni moja ya Wazalendo waTz.
Acheni kutuonea mmeshindwa kukata huko kwenye makinikia na mnakouza gesi ya mtwara ili mnunue hayo mavifaru mnakuja kumbebesha mwananchi ambaye hajui hata kesho yake ale nini. Tumieni busara na akili kwenye matozo yenuUshawahi kuuliza vifaru na meli za kivita tunanunuaje?
WaongezeTuzitoe halafu tupe mbadala wa mapato
Wenzio shahawa wanatumia kutungia mimba wewe unatumia kufikiri. Ukitangaza procurement za jeshi unakufa? Mbona silaha zote tulizonazo zinajulikana unamficha nani. Vifaru vya miaka ya 1960s vile ndio unasema tunanunua kwa kodi za kila siku? StupidUlitaka hizo procurement za jeshi zitangazwe itv? Toka tupate uhuru umeshawahi kusikia kwenye media jeshi limenunua vifaru? Acha kubalehe uzeeni.
Yaani hiki pia ndicho walichofanya TRA nao hadi magari nayo yaonekane ni anasa sana bongo.1 Litre of Petrol
1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5
Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162
Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta𤣠Tanzania nchi yaanguu..!
Hakuna siri kwenye kumiliki silaha. Zote tunazijua hazikai mfuko wa shati kwamba haizonekani. Kenya wana silaha kibao na wanatumia hela ya budget halisi iliyoidhinishwa na Bunge. Tanzania ile Navy yetu haina hata zana za kutosha kuzuia uvuvi haramu wala uokoaji sembuse maritime security.Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu
Ova
Kodi tu ya kuimport tu gari unanunua gari.Yaani hiki pia ndicho walichofanya TRA nao hadi magari nayo yaonekane ni anasa sana bongo.
Serikali haimsaidii kabisa mtanzania,inazidi kumuumiza,haiwezekani bei ya kununulia hiyo bidhaa huko ilipozalishwa iwe ndogo kuliko bei ya kuigomboa ikiwa Tz.
Kiukweli tuna udhaifu mkubwa sana wa kubuni vyanzo vya mapato mwisho wa siku anayeumizwa ni mwananchi
Matumizi ya kodi zetu hayatakiwi yawe siriHakuna siri kwenye kumiliki silaha. Zote tunazijua hazikai mfuko wa shati kwamba haizonekani. Kenya wana silaha kibao na wanatumia hela ya budget halisi iliyoidhinishwa na Bunge. Tanzania ile Navy yetu haina hata zana za kutosha kuzuia uvuvi haramu wala uokoaji sembuse maritime security.
Tukija kwenye military helicopters uko ndio hopeless kabisa
Haya MĆTAGA ya Morogoro ndiyo yametufiksha hapa tulipo,Nimependa hoja zilizotolewa na mkazi wa Morogoro kuhusu kupanda kwa bei za mafuta.
Watanzania wote tungekuwa na uelewa kama wake, hakika tungeacha kueneza uzushi juu la suala hilo kwa kuwa kupanda kwa bei za mafuta ni tatizo la dunia nzima na siyo Tanzania pekee.
View attachment 2214474
View attachment 2214492
Linchi lako la kiboya, kila kitu ni kuwakamua wananchi, mara miamala, ohh tozo na ushenzi mwingine kt mafuta,Tuzitoe halafu tupe mbadala wa mapato
Kama kuwateka kangoye, azori na Ben sa8 na kuwachinja ni siri pia??Mambo yanafanyika kwa siri hayo mkuu
Ova