Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ukute Gwajima boy naye kashachanjwa anatuzuga tu...Wengi watachanja bwashee!
Watanzania siyo wa kuwawekea dhamana kwenye jambo lolote.
We kamanda ushachanjwa?Magufuli alishawaaminisha kuwa chanjo haifai!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣☝️☝️☝️☝️☝️☝️☝️Waambie chanjo inaongeza nguvu za kiume, watu watahakikisha wamechanjwa chanjo za Kampuni zote
sinovac, Astrazeneca, pfizer, moderna, johnson, novavax nk
Chanjo nisizojua 10 years from now itakuwaje nichanje ya nini?, what if ikaenda kuvuruga sehemu sehemu za mfumo wangu na kusababisha hereditary deformities?We kamanda ushachanjwa?
Yule alishachanja kitambo tu!Ukute Gwajima boy naye kashachanjwa anatuzuga tu...
We ndo kamanda wa ukweli bana!!Chanjo nisizojua 10 years from now itakuwaje nichanje ya nini?, what if ikaenda kuvuruga sehemu sehemu za mfumo wangu na kusababisha hereditary deformities?.
Chanjo naziamini ila hii ya covid haina utafiti wa kutosha juu ya usalama wake
Halafu huku TZ COVID siyo serious kivile, kwa mujibu wa takwimu rasmi hawajaambukizwa watu wanaofika hata 3000
Magufuli mliyetuambia kila siku alikuwa hapendwi na wananchi wengi atawaaminishaje watu wengi wasiompenda!Magufuli alishawaaminisha kuwa chanjo haifai!