#COVID19 Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

#COVID19 Maoni ya wananchi kuhusu Chanjo ya Corona

Chanjo ya Corona: Utachanjwa au hutochanjwa?

  • Nitachanjwa

    Votes: 18 34.6%
  • Sitochanjwa

    Votes: 24 46.2%
  • Sina hakika

    Votes: 10 19.2%

  • Total voters
    52
Screenshot_20210730-083802~2.png
 
Waambie chanjo inaongeza nguvu za kiume, watu watahakikisha wamechanjwa chanjo za Kampuni zote
sinovac, Astrazeneca, pfizer, moderna, johnson, novavax nk
Watachanjwa zaidi Dar es Salaam, sababu shida ya nguvu za kiume ipo huko. Ushasikia mikoani wanalia nguvu za kiume? Hata Tafiti ya muhimbili ulisema Dar es Salaam ndio ina shida ya nguvu za kiume.
 
Tunachanja behind the scenes

Afu hadharani tunapinga kwa nguvu zote teh
 
Hii ngoma ni ngumu sana kuicheza. USA wao wameamua kuhonga US dolla 100 kwa kila atakaekubali kuchanjwa.
 
[emoji4]
Tina hadi kwa chanjo wataka connection!

Zitafika tu kipande yenu na utapata...
Maana nchi ishakua ngumu hii bila connection utabaki kuangaza sharubu ati[emoji23]

Kidding lol
 
Maana nchi ishakua ngumu hii bila connection utabaki kuangaza sharubu ati[emoji23]

Kidding lol

Kwa dozi hizo walizoleta mwanzo nadhani zitaishia kwa makundi maalum na raia wachache kwa ile mikoa vipaumbele
 
Kwa dozi hizo walizoleta mwanzo nadhani zitaishia kwa makundi maalum na raia wachache kwa ile mikoa vipaumbele
Okay wacha tuvute subira sie wazee chini ya miaka hiyo[emoji28]
 
Back
Top Bottom