The Watchman JF-Expert Member Joined Nov 7, 2023 Posts 2,186 Reaction score 4,940 May 27, 2025 #1 Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
Wakuu, Katika pitapita zangu mjini Instagram nimekutana na hii post ya St Bongo TV inayohoji, Unaonaje hali ya siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu? Na haya ni majibu ya baadhi ya wanamioto
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 May 27, 2025 #2 Haya🐼
Poor Brain JF-Expert Member Joined Jul 5, 2019 Posts 28,865 Reaction score 58,677 May 27, 2025 #3 Haya 🦁
Bunda Kwet JF-Expert Member Joined Feb 24, 2025 Posts 274 Reaction score 392 May 27, 2025 #4 Mi huwa najiuliza hawa wabunge kazi yao kubwa ni kumsifia tu mama ushungi badala ya kutetea majimbo yao? Kweli mjinga silaha yake kuu ni kujipendekeza
Mi huwa najiuliza hawa wabunge kazi yao kubwa ni kumsifia tu mama ushungi badala ya kutetea majimbo yao? Kweli mjinga silaha yake kuu ni kujipendekeza
Bobwe2 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 2,712 Reaction score 2,891 May 27, 2025 #5 Hii nchi ishafitinika
Auto-Marvelt JF-Expert Member Joined Jul 13, 2019 Posts 2,661 Reaction score 5,583 May 27, 2025 #6 Wabunge wanaamini kumsifia rais ndio ticketi ya kurudi mjengoni