Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Nissan xtrail model ya 2008 inanitoa sana udenda, kwa mlowah kutumia vp speed yake ukifananisha na model ya zaman?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukijibiwa nitag. Maana mimi magar mengine hata siekewi. X trail ndyo ugonjwa wangu. Gar yangu ya kwanza ilikuwa x trail. Nkapiga mzinga. Na nikarudia kununua x trail nyingne.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari kupiga mzinga ni udereva wa mtu tu.. Niliendesha Cresta GX100 kipindi hicho wanaziita chinja chinja tena masafa marefu(Dar -Arusha/Dar-Tanga) na sikuwahi hata kukwaruzwa.. Watu wanaendesha gari zenye speed zaidi ya 200 na wanamaliza speedometer wasipate ajali ije kua harrier ya speed 180? Nadhani watu wananunua magari na kuanza mbwembwe kabla hawajazijua njia.. Kuna jamaa alivuta Mark X mpya kajifunza kuendesha alipojua kuendesha barabarani tu akataka kwenda kuonyesha kwao Lushoto.. Walishafukia!
 
Ndio maana mtoa mada alisema tatizo liko kwa madereva. Huwezi kuendesha Harrier kama unavyoendesha Crown Athlete ingawa zote zina 180kph.
 
Naliona Takola nyani hapa

Ndio maana mtoa mada alisema tatizo liko kwa madereva. Huwezi kuendesha Harrier kama unavyoendesha Crown Athlete ingawa zote zina 180kph.
Kwa hiyo shida ya Harrier ni nini? stability au mwendokasi? Maana zote zina 180kph lakini kwa mimi ambaye nimeendesha zote nitakwambia Crown athlete ina take of kubwa zaidi
 
Kwa hiyo shida ya Harrier ni nini? stability au mwendokasi? Maana zote zina 180kph lakini kwa mimi ambaye nimeendesha zote nitakwambia Crown athlete ina take of kubwa zaidi
Harrier iko juu, Crown iko chini. Nafikiri unajua centre of gravity ya Harrier iko juu kuliko Crown na effect yake kwenye stability unaijua.
 
Harrier iko juu, Crown iko chini. Nafikiri unajua centre of gravity ya Harrier iko juu kuliko Crown na effect yake kwenye stability unaijua.

Hapo umeongea ila kw amujibu wa Mshana Jr yeye hakuongelea hilo la stability aliongelea wepesi labda kama alimaanisha wepesi kama stability

Yeye Kasema:"Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari"
 
Ni tamu kisenge hio,lina features za ukweli sana kwa gari ya miaka ile shida tu ni hio 4.3l,V8 foleni zetu hizi ni balaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah yani liko kama Benz kabisa. By that time lilikuwa ahead of luxury cars of its class kama Kina Benz na Bmw.
Hahah ubaya wa V8 haina VVti manina! Wabongo lazma wengi watoke mbio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…