Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hamu nayo tena😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijicho cha watu hicho... Wale wenye roho ya korosho
Jr[emoji769]
ume generalize mno mkuu. Haya vx,sijui ma v8 yote si ni Toyota? unasema hayajatulia barabarani? Anyway natafuta Grand vitara , nipe somo kuihusu
Kitu mitsu... RVR.Tanzania gari zina gender. Nakumbuka Wakati ule wa Kitchen Party. Zilikuwa bei rahisi mno. Kimbembe ilikuwa vipuri. Zilitumika sana kuhonga michepuko. Leo ukiiona barabarani katambike.
Weka comparison ya HP&Torque ya Duet vs harrier hapa,ujionee utofauti.
Ina maana sisi wabongo uwezo wetu umeishia kuyapa magari nick names. Hatuna kabisa mpango au uwezo wa kutengeneza magari ya kwetu na kuyapa majina ya kikwetu ?
Kiuhalisia Harrier haina starehe yoyote ile ukitaka starehe inabidi ununue Lexus RX 330 hio ndo luxury version ya harrier ila harrier imependwa na watu wengi sababu Tanzania watu tunaishi kwa kuigana sana mfano wa gari zikizowahi kupendwa Tanzania ni GX ,100, GX110, Mark X, Altezza sasa hivi Crown zimevamiwa sana
Iyo gari kimeo, nenda Safari utaoina inachemka pia inaweza unguza cylinder head
Gari gani ?Nilitaka kuingia humu nikatishwa sana na fundi mmoja hivi akasema gearbox nitatizo sugu kwa garihizi sijui kuna ukweli kiasigani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss hii ni perception na mindset tu, hakunaga jinsia kwenye gari, kama ilivyo kwenye nguo kiasi ukivaa sketi mwanaume watu watakushangaa na kukuona kituko.....ndy mana hizo gari unazosema za wanawake wanaume pia huendesha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji125][emoji125][emoji125]Tunazo gari aina ya nyumbu na hata NIT majuzi kati hapa walitengeneza gari ila limeundwa kwa kutumia ma'grill'.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hata hiyo 130 kph sifiki huko nacheza kati ya 95 to 110kph. Bado kama ni Mbeya nawahi vizuri tu. Tatizo ni hizo sehemu nyingi za 50kph. Tanzania tumepoteza maana ya highway.Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.
Hizo harrier tuachie michepuko, brevis 300 inanifaa zaidi kuuzia sura hapa mjini
Kwa wazoefu tunaweza kupanga vipi ulaji wa mafuta wa gari hizi kuanzia linalokula sana hadi la nafuu
1. Verossa 1G cc 1980
2. Veross 1JZ/2JZ cc 2500
3. Brevis cc 2500 na cc 3000(1JZ/2JZ)-D4
4. Mark X cc 2500 na 3000
5. Crown Athlete na Crown Royal Saloon cv 2500 na 3000.
Please kwa wajuzi watuambie na ukiondoa Athlete,Mark X huwa na shida gani? Naona kama gari iko poa sana. Mwenye ujuzi atujuze
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.
Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari
Jr[emoji769]
Mambo ya kichawi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Control yake mkuu ilipata hitilafu ikawa inafanya mambo ya kichawi, nipo ndani naskia gari inawaka