Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

hivi barabara zetu zinaruhusu hizi kweli jamani au mimi ndiyo sielewi!

Ndugu yangu unatoka mbeya unaenda mwanza! Kwenye hamsini unashuka hamsini nje ya hapo lazima ufidie! Ndo hizo 100 to 140 ni reasonable, sasa kama unaenda 80 si utafika keshokutwa? Kwani tuna king'amuzi kwa gari ndogo?
 
Ha
Kaka Goldman,hizo zinazokula mafuta old Model ni za engine gani? 5S, 2AZ au 1MZ?
Kuna tofauti kati ya Normal Harrier ya Engine ya 5S na Harrier Lexus,Normal Harrier engine 2AZ na Harrier Lexus katika ulaji wa mafuta?Nini kinabadilika ikiwa engine zina ukubwa sawa? Naomba kuelimishwa kabla jamaa yangu hajaingia mkenge,anataka kuagiza Harrier Lexus Old Model la engine ya 2AZ mwaka 2002.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lexus ni V6 engine kubwa kidogo, pia siyo jila ikiandikwa lexus ukadhan ni lexus, lexus ni luxury brand radio na speaker ni kubwa zaidi ni full leather, show ya ndani ni wooden finished touch na engine kubwa.
 
Watu wengi hasa wabongo hatujui magari na tunapenda sana kufata mkumbo.

Toyota nyingi (si zote) zina tatitzo moja kubwa, hazitulii barabarani tofauti na Nissan ama gari nyingi za ulaya, na hii ni miongoni mwa sababu kubwa zinazosababisha ajali.

Binafsi nimeachana na toyota muda mrefu sana, ni mwendo wa Nissan ama gari za ulaya pamoja na changamoto za gharama za kuendesha magari hayo ila kwa upande wangu safety first!
ume generalize mno mkuu. Haya vx,sijui ma v8 yote si ni Toyota? unasema hayajatulia barabarani? Anyway natafuta Grand vitara , nipe somo kuihusu
 
Kweli kabisa mkuu.. Safari ndefu usitake kulazimisha eti utembee above 140km/hr..

Mimi safari zangu ndefu zote natembea si zaidi ya 130km/hr..
Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.
 
Pamenoga wadau


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni gari nzuri, kuhusu swala la kupata ajali ni umakini wa dereva binafsi nilishatembea nayo kutoka moro had arusha ubaya niliuona kwenye kona iliponikosa kunipiga mtama @140kph

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa eti mtu anakwambia 180kph ni ndogo eti anakushauri ununue gari yenye 260kph, sasa unajiuliza unanunua gari uende nayo kwenye rally? Me nijuavyo mtu ukitembea speed ya 160 tu ujue upo katika hatari ya kupoteza maisha incase anything happens. Me binafsi sy muumini wa mibio hata kama nasafiri mbali 100kph nimezidi sana 130kph basi.
Kweli kabisa mkuu.. kwanza hatuna hata hizo barabara za kutembea 160kph and above.. barabara zimejaa mashimo hiyo 160 unajitafutia kifo tu.

Mimi sizidishi 130 tena hapo nina uhakika barabara naifahamu vizuri na nafika safari yangu kwa muda mzuri tu
 
Naunga mkono hoja,harrier kwangu naionaga haiko stable ukiwa kwny mambio.
Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulishindwa kwenye lipi maana ndo gari nayoichangia hela ili niinunue kwa sababu inafaa kifamilia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
ilikuwa na tatizo kwenye control yake, niliinunua kwa mtu sikutoa show room.
Kimbembe chake ilikuwa inajipiga starter yenyewe😂😂 yani niko zangu ndani nimelala nasikia gari inawaka niliipeleka garage na kuuza hukohuko.
 
Back
Top Bottom