Kaka Goldman,hizo zinazokula mafuta old Model ni za engine gani? 5S, 2AZ au 1MZ?Nilianza na lexus inakula wese zaidi kwa town trip! Pia kuuza inasumbua kidogo, old model bado its okay lkn badala ya kununua old model bora ukae kwenye ist, mambo yakiwa sawa una upgrade kwenye tako la nyani pia zinazid kushuka bei kadri mda unavyoenda!
Kuna tofauti kati ya Normal Harrier ya Engine ya 5S na Harrier Lexus,Normal Harrier engine 2AZ na Harrier Lexus katika ulaji wa mafuta?Nini kinabadilika ikiwa engine zina ukubwa sawa? Naomba kuelimishwa kabla jamaa yangu hajaingia mkenge,anataka kuagiza Harrier Lexus Old Model la engine ya 2AZ mwaka 2002.
Sent using Jamii Forums mobile app