Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Hapana nakushauri chukua Volvo au BMW... Speed kuanzia 240 na zinakamata lami... Utaenjoy

Jr[emoji769]
Hii gari nikiiyona roho inaniuma sana, naitamani sana..
14786_2520706_2.jpg
 
Nilianza na lexus inakula wese zaidi kwa town trip! Pia kuuza inasumbua kidogo, old model bado its okay lkn badala ya kununua old model bora ukae kwenye ist, mambo yakiwa sawa una upgrade kwenye tako la nyani pia zinazid kushuka bei kadri mda unavyoenda!
tuma picha za hiyo lexus tunaeza fika bei mkuu. Tunaomba na bei yake pia
 
Nilimsaidia jamaa yangu kuitoa hiyo gari bandarini alikua kakwama, tukawa tumekubaliana nimpe gari yangu ndogo na ela kiasi maana mambo yalimwendea kombo kidogo,
Baada ya kuanza kuliendesha kama mwezi niponea kupiga chini, nilibadili makubaliano akamuuzia jamaa mwingine, maana kwa nnavyojijua ile gari ingekuja niacha kilema km sio kuniua.

Sent using Jamii Forums mobile app

Watu wengi hasa wabongo hatujui magari na tunapenda sana kufata mkumbo.

Toyota nyingi (si zote) zina tatitzo moja kubwa, hazitulii barabarani tofauti na Nissan ama gari nyingi za ulaya, na hii ni miongoni mwa sababu kubwa zinazosababisha ajali.

Binafsi nimeachana na toyota muda mrefu sana, ni mwendo wa Nissan ama gari za ulaya pamoja na changamoto za gharama za kuendesha magari hayo ila kwa upande wangu safety first!
 
Ni gari nzuri ni comfortable ndani kama huna mapepe, if you are here next level is landcruiser, spare zipo za kutosha, mafuta kawaida, but dont overspeed! Ingawa ina matatizo ya shockups but its good car! Had two of them! Asingekuwa jiwe ningekuwa kwa v8! Dis life!
pole sana, tupambane tu kwa hopes
 
Bora ukae 100-140 ukizid kwa corner inaweza kufanya yake! Haiko stable kwa corner in high speed ni gari ya suburban yaani siyo ya safari sana haiatmii barabara ishanitoa wenge mara nyingi tuu just dont overspeed.

hivi barabara zetu zinaruhusu hizi kweli jamani au mimi ndiyo sielewi!
 
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
Ulishindwa kwenye lipi maana ndo gari nayoichangia hela ili niinunue kwa sababu inafaa kifamilia zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni gari comfortable sana na iko stable sana kwa barabara, khs kupata ajali sana labda kama ulivyosema zipo nyingi na wengi wanapenda sana kuzitumia kwa safari za masafa marefu, ila ukitembea kwa speed moderate 100km/h mpk 120 , hakuna shida....kimsingi gari yyt ukileta ujuaji mwingi inakumwaga.
Kweli kabisa mkuu.. Safari ndefu usitake kulazimisha eti utembee above 140km/hr..

Mimi safari zangu ndefu zote natembea si zaidi ya 130km/hr..
 
Back
Top Bottom