Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Kluger inameza mkuu!! Nimeidalalia juzi,mteja katoa hela nusu! Baada ya kuitumia kidogo ananiambia nifanye mpango arudishe hata Robo tatu ya kiasi alichonipa tuli re-sell!! Hata hizo "Tako la nyani" anazozisema Mshana Jr si zote zinakula mafuta kidogo! Kuna zinazomeza kama majini!! Maana si zote ni vVti engines! Sijui mengi kuhusu hii gari ila nilimuuliza mtaalamu mmoja akaniambi kwa kifupi tu kuwa zipo ambazo ni Hybrid,na ambazo si Hybrid!! Sikumwelewa sana ila ninachoelewa ni kuwa kuna zinazokula mafuta mengi na zisizokula mengi!
Ulaji wa mafuta unategemea na ukubwa wa engine

Jr[emoji769]
 
Hii ngoma inatembea mzee... Vx ikikaa kizembe naipiga kijiko...
53278997_1278211518985635_7003925266917490688_n.jpg
Duu next time usiende huo mwendo

Jr[emoji769]
 
Control engine ilipata shida likawa linajipiga starter lenyewe mkuu, lingenikanyaga watoto naishi mazingira yenye watoto wadogo wengi mno
Duu hii kali... Wengine wangesema limerogwa

Jr[emoji769]
 
Ninayo na mimepanga kwenda nayo Mbeya from Dar na Kurudi nipite Dodoma ndo nirudi Dar mwezi wa nne. Kwa comments za watu humu inabidi nitembee not more than 100Km/h maana nitakuwa na familia. Honger Mshana Jr kwa bandiko lako.
[emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Hii gari inasimama sh ngapi mkuu ukiagiza? Binafsi napenda Sana harrier sema nilikuwa kaogopa mafuta, sasa Kwa kuwa mafuta sio issue kumbe naweza kuichukua
Zinacheza 15- 30

Jr[emoji769]
 
Umenikumbusha siku niliyoambiwa "toa hiyo compressor tukuwekee kipu.mbu", ubaridi wake ni hatari. Nilicheka sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Hivi gari kama Kluger 3000CC kula mafuta sana yaani lita moja kwa kilomita 5.5 ni sawa au kuna tatizo? Mshana Jr na wengine mnaoelewa nijuzeni!
Kuna shida kidogo range yake ni 7.. Lakini pia inategemea na uendeshaji

Jr[emoji769]
 
Kluger inameza mkuu!! Nimeidalalia juzi,mteja katoa hela nusu! Baada ya kuitumia kidogo ananiambia nifanye mpango arudishe hata Robo tatu ya kiasi alichonipa tuli re-sell!! Hata hizo "Tako la nyani" anazozisema Mshana Jr si zote zinakula mafuta kidogo! Kuna zinazomeza kama majini!! Maana si zote ni vVti engines! Sijui mengi kuhusu hii gari ila nilimuuliza mtaalamu mmoja akaniambi kwa kifupi tu kuwa zipo ambazo ni Hybrid,na ambazo si Hybrid!! Sikumwelewa sana ila ninachoelewa ni kuwa kuna zinazokula mafuta mengi na zisizokula mengi!
Hivi Mkuu tunapozungumzia ulaji wa mafuta inakula sana au haili kabisa wastani wake ni upi kwa mfano Gari ikiwa ktk mizinguko ya kawaida au safarini iwe kwa wastani wa Lita moja itembee kilomita ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,unatulisha tango pori.Vijana walimalizwa?Wa mtaa gani?kijiji kipi?kata ipi ?wilaya gani?mkoa upi? mji upi? jiji lipi?manispaa ipi?kabla lipi? uko upi?Ume-generalize mno.Ungesema kuna vijana wamekufa kutokana na gari hizi kwa sababu vijana wanapenda sifa na kuosha nyota ili jamii itambue kuwa wapo matawi ya juu.Hata baiskeli ukienda over speed inakuua sembuse gari?

Mbona vijana bado wapo wengi hawajaisha?Hahahahahaaa!!!
Gari zilizomaliza vijana ni altezza na gx100......zikafatia verossa na noah

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom