Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

GARI HILI TAKO LA NYANI ZAIDI NI LA WANAWAKE KILA ANAENDESHA KATIKA 10 9 WANAWAKE NA IST NI GARI LA UBBER
 
Umenikumbusha siku niliyoambiwa "toa hiyo compressor tukuwekee kipu.mbu", ubaridi wake ni hatari. Nilicheka sana!!!
 
Kluger inameza mkuu!! Nimeidalalia juzi,mteja katoa hela nusu! Baada ya kuitumia kidogo ananiambia nifanye mpango arudishe hata Robo tatu ya kiasi alichonipa tuli re-sell!! Hata hizo "Tako la nyani" anazozisema Mshana Jr si zote zinakula mafuta kidogo! Kuna zinazomeza kama majini!! Maana si zote ni vVti engines! Sijui mengi kuhusu hii gari ila nilimuuliza mtaalamu mmoja akaniambi kwa kifupi tu kuwa zipo ambazo ni Hybrid,na ambazo si Hybrid!! Sikumwelewa sana ila ninachoelewa ni kuwa kuna zinazokula mafuta mengi na zisizokula mengi!

HYBRID MAANA YAKE INA MTUNGI WA GESI HAITUMII MAFUTA INATUMIA GESI
 
Waambie tu ukweli mkuu usiwafiche, Harrier inakimbia sana ila ni nyepesi mno, yaani ni kama vile engine imezidi body....Harrier kuhama njia ni kitu kirahisi mno, na kama uko speed kali na ukakata kona haishiki chini so ni rahisi kupinduka tofauti na Sedan yoyote ile! Mtu anayependa speed kwa kweli simshauri kabisa anunue Harrier

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kuna jamaa yangu ananiambia zile Harrier za Engine ya 1MZ (Jini) ambazo ni cc 3000 ziko na uwiano mzuri kati ya bodi na nguvu,uzito wa Engine. Shida aliyoniambia ni kuwa gari inakula mafuta na engine ya 1MZ siyo nzuri kama 2AZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kuna jamaa yangu ananiambia zile Harrier za Engine ya 1MZ (Jini) ambazo ni cc 3000 ziko na uwiano mzuri kati ya bodi na nguvu,uzito wa Engine. Shida aliyoniambia ni kuwa gari inakula mafuta na engine ya 1MZ siyo nzuri kama 2AZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah hiyo sio mbaya, au mtu kama ana mapenzi makubwa na muonekano wa Harrier basi bora achukue Lexus RX330 ambazo ni Luxurious Version of Harrier, hizi ziko vizuri kwenye uwiano wa body na engine, pia zinaaminika zaidi kuliko Harrier za Toyota

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni gari comfortable sana na iko stable sana kwa barabara, khs kupata ajali sana labda kama ulivyosema zipo nyingi na wengi wanapenda sana kuzitumia kwa safari za masafa marefu, ila ukitembea kwa speed moderate 100km/h mpk 120 , hakuna shida....kimsingi gari yyt ukileta ujuaji mwingi inakumwaga.

Mimi na bmw na naenda 200km/hr na gari haipepesuki ni imara barabarani
 
Chombo LA kizazi sana......
tfl_motorgroupltd_2___BtLE72Wn1Z2___.jpeg
tfl_motorgroupltd_1___BtLE72Wn1Z2___.jpeg
tfl_motorgroupltd_3___BtLE72Wn1Z2___.jpeg
 
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model... Lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan..
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ualji mdogo wa mafuta... Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza...
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa Kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo... Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka.. Yule mwenye makalio mekundu...
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard. Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe... Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta...
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya... Wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari

Jr[emoji769]
Jamani ata kapicha ili wasiojua sijui km na mimi nimo tujue..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom