Crown ni 4GR-FSE 2.5 mashine halafu ni very advanced engine kuliko hio 2AZ-FE 2.4 in terms of fuel efficiency as well as peformance.Kwa hiyo shida ya Harrier ni nini? stability au mwendokasi? Maana zote zina 180kph lakini kwa mimi ambaye nimeendesha zote nitakwambia Crown athlete ina take of kubwa zaidi
Bila kusahau Subaru Legacy na Forester kila mtu....kidogo kidogo na Impreza Hatchaback zimeanza kuvamiwaIn short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
Gari ikishakua na high ground clearance yani umbali wa bodi hadi ardhini kama mrefu kukimbia unatafuta matatizo kama gari husika ina uzito mdogo..Juzi kati imeua mtu mahali, gari haina stability ikiwa kasi, labda hayo matako yake sijui halafu zinakufa sana kwa chini sijui shoker au nini ngongongo kibao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipi sasa fafanuaHizi gari nyingine muwe mnaachia akina dada. Kwasababu wanawake wako makini(waoga). Mwanaume mguu mzito chukua gari ambayo iko stable
LOFA WEYEKwa pamoja Twende na JpM2020
Mkuu mshana heshima yakoNi model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.
Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari
Jr[emoji769]
Nadhani hujanielewa Harrier zina matoleo mengi.. Hii ninayoongelea hapa ni VVT-I na ninachokisema ni sahihi sijalinganisha na gari nyingine kumbuka.. Nimeijadili yenyewe kutokana na matoleo mengine ya harrier....Mkuu mshana heshima yako
Sijawahi kukupinga kwa lolote bali kwa hili nakupinga
Hii harrier haichanganyi haraka kama ulivyo sema na wala haina umeme mwingi kama ulivyo sema,,
mm nilikua nayo ya kwanza nikauza nakanunua nyingine ambayo ninayo mpaka sasa,,sifa kubwa ya harrier toleo hili kwanza inachelewa kuchanganya ukilinganinisha na mnyama Mark x au crown za the same year,Hizi harrier hata ukichukua ya CC kubwa bado huwezi linganisha na Mark X au Crown za cc ndogo
Mafuta inakunywa kuliko MARK X au Crown ,,
MKuu jaribu hizo gari utakuja nambia
Baba mdogo hadi sasa ana kesi Geita baada ya tako la nyani kuacha barabara na kumgonga mpita njiaTAKO LA NYANI! siku nimesikia hili jina kwa mara ya kwanza nilicheka sana! Kwakweli hii issue ja ajali ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
130mil
CHIEF naona neno TAKO LA NYANI ndio limekusukuma kukurupupuka kuandika uzi huu kwa mihemko ya juu kabisa ukidhani labda unawaletea wana jf msamiati mpya kabisa. Kifupi Ila jina LA siku nyingi tu na watu wanalijua... Anyway umefanikiwaNi model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.
Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari
Jr[emoji769]
Vp kuhusu ALPHAD VBora ukae 100-140 ukizid kwa corner inaweza kufanya yake! Haiko stable kwa corner in high speed ni gari ya suburban yaani siyo ya safari sana haiatmii barabara ishanitoa wenge mara nyingi tuu just dont overspeed.