Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Crown ni 4GR-FSE 2.5 mashine halafu ni very advanced engine kuliko hio 2AZ-FE 2.4 in terms of fuel efficiency as well as peformance.Kwa hiyo shida ya Harrier ni nini? stability au mwendokasi? Maana zote zina 180kph lakini kwa mimi ambaye nimeendesha zote nitakwambia Crown athlete ina take of kubwa zaidi
Crown iko stable zaidi and more fun to drive.