Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Kwa hiyo shida ya Harrier ni nini? stability au mwendokasi? Maana zote zina 180kph lakini kwa mimi ambaye nimeendesha zote nitakwambia Crown athlete ina take of kubwa zaidi
Crown ni 4GR-FSE 2.5 mashine halafu ni very advanced engine kuliko hio 2AZ-FE 2.4 in terms of fuel efficiency as well as peformance.

Crown iko stable zaidi and more fun to drive.
 
In short bongo watu wananunua gari kwa upepo, sahivi Mark X imeisha, uelekeo ni Crown, Harrier, Prado na IST. Kila mtu anaeagiza gari analenga humo! Mwanzo ilikuwa Vits na Raum kabla ya upepo kuhamia IST!
Bila kusahau Subaru Legacy na Forester kila mtu....kidogo kidogo na Impreza Hatchaback zimeanza kuvamiwa
 
Juzi kati imeua mtu mahali, gari haina stability ikiwa kasi, labda hayo matako yake sijui halafu zinakufa sana kwa chini sijui shoker au nini ngongongo kibao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Gari ikishakua na high ground clearance yani umbali wa bodi hadi ardhini kama mrefu kukimbia unatafuta matatizo kama gari husika ina uzito mdogo..
Sasa hizi harrier ka nyepesi hivi hmafu zipo juu juu kwny kona kama upo kibati mbona dk 0 nying chali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.

Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine

Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.

Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa

Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.

Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.

Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.

Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari

Jr[emoji769]
Mkuu mshana heshima yako

Sijawahi kukupinga kwa lolote bali kwa hili nakupinga

Hii harrier haichanganyi haraka kama ulivyo sema na wala haina umeme mwingi kama ulivyo sema,,

mm nilikua nayo ya kwanza nikauza nakanunua nyingine ambayo ninayo mpaka sasa,,sifa kubwa ya harrier toleo hili kwanza inachelewa kuchanganya ukilinganinisha na mnyama Mark x au crown za the same year,Hizi harrier hata ukichukua ya CC kubwa bado huwezi linganisha na Mark X au Crown za cc ndogo

Mafuta inakunywa kuliko MARK X au Crown ,,

MKuu jaribu hizo gari utakuja nambia
 
Nadhani hujanielewa Harrier zina matoleo mengi.. Hii ninayoongelea hapa ni VVT-I na ninachokisema ni sahihi sijalinganisha na gari nyingine kumbuka.. Nimeijadili yenyewe kutokana na matoleo mengine ya harrier....

Jr[emoji769]
 
Ni model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan.

Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine

Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ulaji mdogo wa mafuta. Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza.

Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa kama sare ya taifa

Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo.Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka yule mwenye makalio mekundu.

Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard.

Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe. Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta.

Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari

Jr[emoji769]
CHIEF naona neno TAKO LA NYANI ndio limekusukuma kukurupupuka kuandika uzi huu kwa mihemko ya juu kabisa ukidhani labda unawaletea wana jf msamiati mpya kabisa. Kifupi Ila jina LA siku nyingi tu na watu wanalijua... Anyway umefanikiwa
 
Back
Top Bottom