Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Bila kusahau Subaru Legacy na Forester kila mtu....kidogo kidogo na Impreza Hatchaback zimeanza kuvamiwa
Yeah Subaru ziko MOB. Nahisi hata wajapani wakijaga Bongo wanajiskia wako nyumbani kabisa
 
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
Mkuu, mie nina 'Lexus' mwaka wa nne sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…