Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua unachoongea. Sasa vijana wanaburuza hizo Harrier kama Crown Athlete au GX110 matokeo yake zinawamwaga.Nilishaliendesha Dar to Songea zaidi ya mara tano nilijikuta natumia akili nyingi sana, maana mimi napenda sana mbio, lakini lenyewe ukifika 140 unaona kabisa linataka kupaa. Nimebaki zangu na GX 110 ndo mpango mzima natembea hadi namaliza kisahani
Hazina shida mkuu, hukuipeleka kwa fundi kujua tatizo n nnHaukusumbui? Yani mkuu nilioinunua kwa mtu sijui iligusa maji control yake ikawa inajipiga stata yenyewe nikaona hapa kuna siku nitakuta imekanyaga vichwa watoto
Gari nzuri kwa wanawake.Tako la nyani ni gari nzuri sana
ila nililikwepa kwa sababu limependwa SANA wanawake.
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
mkuu naongelea mark X Zio hii hapa, sio zile mark x sedan typeTofauti kabisa mark X ni engine kubwa 2.5- 3000 tofauti kabisa na harrier
Jr[emoji769]
Ivi mnaposema hii gari ina speed mnazungumzia nini? Ile 180K/h ama?![]()
Kuna jamaa mmoja wa comoro alikuwa anauza yake Milion 10 nikaja nikakutana na mzungu mmoja anauza yake anatafuta hela ya kuondoka kwao milion 6..... Hii gari kwa speed ndiyo mahali pake
![]()
Kluger inameza mkuu!! Nimeidalalia juzi,mteja katoa hela nusu! Baada ya kuitumia kidogo ananiambia nifanye mpango arudishe hata Robo tatu ya kiasi alichonipa tuli re-sell!! Hata hizo "Tako la nyani" anazozisema Mshana Jr si zote zinakula mafuta kidogo! Kuna zinazomeza kama majini!! Maana si zote ni vVti engines! Sijui mengi kuhusu hii gari ila nilimuuliza mtaalamu mmoja akaniambi kwa kifupi tu kuwa zipo ambazo ni Hybrid,na ambazo si Hybrid!! Sikumwelewa sana ila ninachoelewa ni kuwa kuna zinazokula mafuta mengi na zisizokula mengi!
Kwani 180kph ndogo?Ivi mnaposema hii gari ina speed mnazungumzia nini? Ile 180K/h ama?
Sent using Jamii Forums mobile app
Juzi kati imeua mtu mahali, gari haina stability ikiwa kasi, labda hayo matako yake sijui halafu zinakufa sana kwa chini sijui shoker au nini ngongongo kibao tuNilimsaidia jamaa yangu kuitoa hiyo gari bandarini alikua kakwama, tukawa tumekubaliana nimpe gari yangu ndogo na ela kiasi maana mambo yalimwendea kombo kidogo,
Baada ya kuanza kuliendesha kama mwezi niponea kupiga chini, nilibadili makubaliano akamuuzia jamaa mwingine, maana kwa nnavyojijua ile gari ingekuja niacha kilema km sio kuniua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan naitafuta bmw wewe hebu weka kapichaBMW exclusive beast... Not for everybody [emoji848][emoji848][emoji144]
Jr[emoji769]
Niliipeleka wakaniambia tatizo control engine dah! Nikaipush haraka sana, niliempushia hana ham nayo tenaHazina shida mkuu, hukuipeleka kwa fundi kujua tatizo n nn
mshana bwanaa yaani umekoleza mwandiko kwenye tako la nyani. kuliko hapa gari yenyeweNi model ya gari ya Toyota Harrier kizazi cha vvt-i (umeme mwingi mafuta kidogo)... Huku kwetu tunaita new model... Lakini kimsingi sio new model kwa huko Japan..
Kwa kawaida Harrier ni gari zinazosifika kwa ulaji mbaya wa mafuta lakini model hii TAKO LA NYANI ni tofauti na model nyingine
Uundwaji wake umezingatia starehe zaidi, kasi, nguvu na ualji mdogo wa mafuta... Hivi vigezo vimewavutia wa bongo wengi mpaka kuifanya ndio gari ya kuuzia sura kwa sasa yani ndio gari inayouza...
Huwezi kukaa dakika kumi mahali yanapopita magari bila kuiona hii gari mpaka sasa inaelekea kuwa Kama sare ya taifa
Neno TAKO LA NYANI limetokana na hii gari taa zake za nyuma zilivyo... Yani zimekaa kama makalio ya nyani gendaeka.. Yule mwenye makalio mekundu...
Lakini ni wangapi wanajua hatari za hii gari gumzo la jiji? Kwa taarifa yako ndio gari zinazoongoza kwa ajali zikifuatiwa na Alphard. Unaweza kudhani zina tatizo lakini shida ni sisi wenyewe... Hatujazoea gari zenye take over kubwa na mwendokasi wa fasta...
Hivyo ndugu zangu kama kuna mwenye mpango wa kununua hii gari azingatie haya... Wepesi, mwendokasi na nguvu ya hii gari
Jr[emoji769]
Kwani toyota vits inangap? Kusema gari inaspeed maana yake nn???Kwani 180kph ndogo?
Vita kupata hio 180kph ni majaliwa, lakini Harrier,Crown,GX100,110, Brevis dakika chache tu mshale umelala.
Harrier ni Toyota mkuu!Bei zake kulinganisha na za Toyota?
Kumbuka hata za Nissan zipo. Lakini bei zake ni mama mkanye mwanao.