kiloriti
JF-Expert Member
- May 12, 2016
- 483
- 1,135
Hivi gari kama Kluger 3000CC kula mafuta sana yaani lita moja kwa kilomita 5.5 ni sawa au kuna tatizo? Mshana Jr na wengine mnaoelewa nijuzeni!
utakuwa umenunua jini hilo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi gari kama Kluger 3000CC kula mafuta sana yaani lita moja kwa kilomita 5.5 ni sawa au kuna tatizo? Mshana Jr na wengine mnaoelewa nijuzeni!
Please Google. But it's way too quick than Vits. Na ujue tofauti kubwa pia utaiona kutoka 100-180kph. Seriously unajaribu kuiweka Vits na Harrier?
Mshana hivi Honda Fit kwetu hazifai?...ni cheap na kwenye ulaji wa mafuta ni mdogo. Nadhani kwa wanaofanya biashara ya Taxi watafaidi.
Kwa mazingira yetu vipi sivioni kabisa.
Huewezi niambia mimi nitaiona kati kutoka 100-180kph. Mimi sina harrier, sema gari inatumia muda gani kutoka 0 -180kph, hivyo ndo hua inapimwa acha blahblahPlease Google. But it's way too quick than Vits. Na ujue tofauti kubwa pia utaiona kutoka 100-180kph. Seriously unajaribu kuiweka Vits na Harrier?
Huo mzigo bado upo??![]()
Kuna jamaa mmoja wa comoro alikuwa anauza yake Milion 10 nikaja nikakutana na mzungu mmoja anauza yake anatafuta hela ya kuondoka kwao milion 6..... Hii gari kwa speed ndiyo mahali pake
![]()
Acha uvivu tafuta mwenyewe. Siwezi kupoteza muda kwa mtu anaejaribu kulinganisha Vits na Harrier! Kila kitu kipo kwenye simu yako hio Acha uvivuHuewezi niambia mimi nitaiona kati kutoka 100-180kph. Mimi sina harrier, sema gari inatumia muda gani kutoka 0 -180kph, hivyo ndo hua inapimwa acha blahblah
Sent using Jamii Forums mobile app
Safe speed 100-120kph hata mafuta utatumia vizuri.Ninayo na mimepanga kwenda nayo Mbeya from Dar na Kurudi nipite Dodoma ndo nirudi Dar mwezi wa nne. Kwa comments za watu humu inabidi nitembee not more than 100Km/h maana nitakuwa na familia. Honger Mshana Jr kwa bandiko lako.
kuna carina takonla nyani piaTAKO LA NYANI! siku nimesikia hili jina kwa mara ya kwanza nilicheka sana! Kwakweli hii issue ja ajali ni kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitambo sana mkuu 2016Huo mzigo bado upo??
me too, haijawahi kunivutia kabisaSijawahi kuipenda Harrier, naliona kama gari ya hovyo tu
Kuna zile za zamani kabisa yaani 1998-2002 je nazo pia zina matishio kama hayo ya Tako la Mbuzi?aka nyani?Nilimsaidia jamaa yangu kuitoa hiyo gari bandarini alikua kakwama, tukawa tumekubaliana nimpe gari yangu ndogo na ela kiasi maana mambo yalimwendea kombo kidogo,
Baada ya kuanza kuliendesha kama mwezi niponea kupiga chini, nilibadili makubaliano akamuuzia jamaa mwingine, maana kwa nnavyojijua ile gari ingekuja niacha kilema km sio kuniua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Overspeed mkuu ni general term je kuanzia 100-120kph ni normal na 140-160kph ni overspeeding na je haina balance?Ni gari nzuri ni comfortable ndani kama huna mapepe, if you are here next level is landcruiser, spare zipo za kutosha, mafuta kawaida, but dont overspeed! Ingawa ina matatizo ya shockups but its good car! Had two of them! Asingekuwa jiwe ningekuwa kwa v8! Dis life!
Mmeanza kuwanga mchanaKwa pamoja Twende na JpM2020
Kuna mtu nilimuuzia akala nayo mzinga ila mungu mwema hakuna madhara makubwa aliyopataPole sana..ukafasolve vp
Overspeed mkuu ni general term je kuanzia 100-120kph ni normal na 140-160kph ni overspeeding na je haina balance?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo kiongozi. Kuna gari za wanawake na wanaume. Strange enough hatuwezi kutengeneza hata baiskeli.Hii ndy kwanza naskia kwako......"Tanzania gari zina gender"