Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Maoni yangu kuhusu gari aina ya Harrier maarufu "Tako la Nyani"

Tako la nyani ni gari nzuri sana
ila nililikwepa kwa sababu limependwa SANA wanawake.
Mkuu usiendekeze sana mambo ya jinsia wakati mwingine hayanaga tija sana unaweza kosa vitu vzr kwasababu hy, kuna nchi moja niliwahi dhuru ulaya, wanawake ndy wanaongoza kwa kuendesha magari makali aina ya SUV, kumuona binti au mwanamama mremboooo katulia kwenye Audi Q7, au INFINITY QX30 au QX 80, au Range rover, Porse, Mercedes ML5000 nk ni kitu cha kawaida sana....ushauri wangu usijiwekee sana mipaka isiyokuwa na lazima kwa vitu na mmb ya ndoto yako.
 
Mkuu, nimenunua hii kitu kwa mtu miezi sita iliyopita ikanishinda nikauza niliyemuuzia kapiga mzinga maeneo ya senkenke kwa mbele mwezi uliopita, nilipata mshituko sana nikahisi kama ilikuwa inanitafuta.
.....
Ila jamaa mzima
Mbona mshana anasema halinywi wese..nn kimekushinda mkuu
 
53186701_1694478164031982_709294491516796928_n.jpg

Kuna jamaa mmoja wa comoro alikuwa anauza yake Milion 10 nikaja nikakutana na mzungu mmoja anauza yake anatafuta hela ya kuondoka kwao milion 6..... Hii gari kwa speed ndiyo mahali pake
3056987_orig.jpg
Nilimtumishia misuli na kiberiti changu hakufua dafu.
 
Mkuu usiendekeze sana mambo ya jinsia wakati mwingine hayanaga tija sana unaweza kosa vitu vzr kwasababu hy, kuna nchi moja niliwahi dhuru ulaya, wanawake ndy wanaongoza kwa kuendesha magari makali aina ya SUV, kumuona binti au mwanamama mremboooo katulia kwenye Audi Q7, au INFINITY QX30 au QX 80, au Range rover, Porse, Mercedes ML5000 nk ni kitu cha kawaida sana....ushauri wangu usijiwekee sana mipaka isiyokuwa na lazima kwa vitu na mmb ya ndoto yako.
Tanzania gari zina gender. Nakumbuka Wakati ule wa Kitchen Party. Zilikuwa bei rahisi mno. Kimbembe ilikuwa vipuri. Zilitumika sana kuhonga michepuko. Leo ukiiona barabarani katambike.
 
Mbona mshana anasema halinywi wese..nn kimekushinda mkuu
Control engine ilipata shida likawa linajipiga starter lenyewe mkuu, lingenikanyaga watoto naishi mazingira yenye watoto wadogo wengi mno
 
Tanzania gari zina gender. Nakumbuka Wakati ule wa Kitchen Party. Zilikuwa bei rahisi mno. Kimbembe ilikuwa vipuri. Zilitumika sana kuhonga michepuko. Leo ukiiona barabarani katambike.
Hii ndy kwanza naskia kwako......"Tanzania gari zina gender"
 
Ina maana sisi wabongo uwezo wetu umeishia kuyapa magari nick names. Hatuna kabisa mpango au uwezo wa kutengeneza magari ya kwetu na kuyapa majina ya kikwetu ?
 
Back
Top Bottom